GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea.
Ni kwanini haya Majibu yao Mawili huwa wameyaandaa kabisa na huyatoa huku wakiwa Wanajiamini sana wakati Kiuhalisia huwa Wanadanganya / Wanatudanganya?
Nimekaa pale kusoma Comments zenu.
Ni kwanini haya Majibu yao Mawili huwa wameyaandaa kabisa na huyatoa huku wakiwa Wanajiamini sana wakati Kiuhalisia huwa Wanadanganya / Wanatudanganya?
Nimekaa pale kusoma Comments zenu.