Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

Usilmbe uwe umezaa nae, au ume mkopa. Utakoma simu mpaka usiku wa mana e.
Saa 7 Kamili ( dakika chache tu ) nita Log Out ili nipumzike ( nilale ) ila hii Post yako iliyonichekesha hakuna mfano ndiyo inanifungia Siku. Kuna Members mna Vituko sana hapa JamiiForums na mnasaidia kuondoa Stress. Mbarikiwe!!!!
 
Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea.

Ni kwanini haya Majibu yao Mawili huwa wameyaandaa kabisa na huyatoa huku wakiwa Wanajiamini sana wakati Kiuhalisia huwa Wanadanganya / Wanatudanganya?

Nimekaa pale kusoma Comments zenu.
ha ha rafiki napenda sana maandishi yako japo tunashangilia timu tofauti but you are my great friend hapa,Mola akupe uhai na afya uendelee kuandika
 
ha ha rafiki napenda sana maandishi yako japo tunashangilia timu tofauti but you are my great friend hapa,Mola akupe uhai na afya uendelee kuandika

Great friend kwa kuandika nini mkuu Au sijakuelewa
 
Wengine wanakusifu kwa unafiki ndugu. Shtuka.

IMG_8580.jpg
 
Back
Top Bottom