GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuepuka haya ni kuacha umalayaNi Hawara yako ( Demu wako ) kabisa ( japo una Mke ) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia ( atakujibu ) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea.
Ni kwanini haya Majibu yao Mawili huwa wameyaandaa kabisa na huyatoa huku wakiwa Wanajiamini sana wakati Kiuhalisia huwa Wanadanganya / Wanatudanganya?
Nimekaa pale kusoma Comments zenu.
Kuna Mtu Kanikera na kasababisha hata nisipewe Tamu yangu Usiku huu kwa Kunibipu Kwake Kizembe. Kesho atanikoma labda nisiamke.Wenye michepukoo yenuu mkuje hapa mnaitwaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke Mmoja huwa hanitoshi.Kuepuka hayo yote inabidi ubakie njia kuu. Acha michepuko inafilisi.
Mwanaume haitwi Malaya bali huitwa Muhuni / Mhuni sawa? Kubwa zima hujui Lugha yako ya Kiswahili.Kuepuka haya ni kuacha umalaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na mkeo mtie blacklist mchepozz, unakwama wapiiii??Kuna Mtu Kanikera na kasababisha hata nisipewe Tamu yangu Usiku huu kwa Kunibipu Kwake Kizembe. Kesho atanikoma labda nisiamke.
Na hii ndiyo shida ya kuwa na Mihawara Mibwegebwege hapa duniani.
Me sa hiv niko single.Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea.
Ni kwanini haya Majibu yao Mawili huwa wameyaandaa kabisa na huyatoa huku wakiwa Wanajiamini sana wakati Kiuhalisia huwa Wanadanganya / Wanatudanganya?
Nimekaa pale kusoma Comments zenu.
Huyo ni mke kasoro ndoa..4yrs mingi mno anachimba tu?Mwamba kwa kuacha kodi ya meza tu yuko vere
Tukusaidieje mdogo anguMe sa hiv niko single.
Nikitaka mchumba ntakwambia unitafutie.Tukusaidieje mdogo angu
Nilidhani ana Ustaarabu na Matured.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na mkeo mtie blacklist mchepozz, unakwama wapiiii??
Je, unatoa Eye?Me sa hiv niko single.
Pepo shendwaaaaa.🤨Je, unatoa Eye?