GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Saa 7 Kamili ( dakika chache tu ) nita Log Out ili nipumzike ( nilale ) ila hii Post yako iliyonichekesha hakuna mfano ndiyo inanifungia Siku. Kuna Members mna Vituko sana hapa JamiiForums na mnasaidia kuondoa Stress. Mbarikiwe!!!!Usilmbe uwe umezaa nae, au ume mkopa. Utakoma simu mpaka usiku wa mana e.
Eye hutoi? Si ujibu tu Dada mbona Hasira?Pepo shendwaaaaa.🤨
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Genta bhana, poleeeeNilidhani ana Ustaarabu na Matured.
Sitoi eye natoa jicho.Eye hutoi? Si ujibu tu Dada mbona Hasira?
Usiku Mwema nyote. I'm signing out.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Genta bhana, poleeee
Baki njia kuu acha kupita vichochoroKuna Mtu Kanikera na kasababisha hata nisipewe Tamu yangu Usiku huu kwa Kunibipu Kwake Kizembe. Kesho atanikoma labda nisiamke.
Na hii ndiyo shida ya kuwa na Mihawara Mibwegebwege hapa duniani.
Na utaokoka kweli mkuu.Uchokoz huu,nmeokoka[emoji4]
ha ha rafiki napenda sana maandishi yako japo tunashangilia timu tofauti but you are my great friend hapa,Mola akupe uhai na afya uendelee kuandikaNi Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea.
Ni kwanini haya Majibu yao Mawili huwa wameyaandaa kabisa na huyatoa huku wakiwa Wanajiamini sana wakati Kiuhalisia huwa Wanadanganya / Wanatudanganya?
Nimekaa pale kusoma Comments zenu.
Wengine wanakusifu kwa unafiki ndugu. Shtuka.
ha ha rafiki napenda sana maandishi yako japo tunashangilia timu tofauti but you are my great friend hapa,Mola akupe uhai na afya uendelee kuandika
[emoji23][emoji23]Mchokozi huyoKuna Mtu Kanikera na kasababisha hata nisipewe Tamu yangu Usiku huu kwa Kunibipu Kwake Kizembe. Kesho atanikoma labda nisiamke.
Na hii ndiyo shida ya kuwa na Mihawara Mibwegebwege hapa duniani.
Kwa Kuandika vitu vya Kufuta Ujinga na Ujuha wako unaokukabili na Kukusumbua kwa muda mrefu.Great friend kwa kuandika nini mkuu Au sijakuelewa
Kama ambavyo nawe pia Wanakusifu kwa Upumbavu ( Upopoma ) wako Ndugu. Shtuka.Wengine wanakusifu kwa unafiki ndugu. Shtuka.
kuwa mkweli we huna mchepuko??Wenye michepukoo yenu mkuje hapa mnaitwaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo njia kuu, michepuko sio shida zangu.kuwa mkweli we huna mchepuko??
OukUsiku Mwema nyote. I'm signing out.