Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari wakuu I real hope you are doing good
Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha
Hii imekaaje ndugu zangu?
 
Hata Mimi ningefanya hivyo hivyo ni ngumu kumfanya mtu atoe pesa yake creativity, fighting spirit and next level customer care is needed.
 
Kama ambavyo kwenye ndege huduma za vinywaji, chakula, bites ni BURE KABISA! Hulipii hata sumni!
Hapo unaweza kuwa unachajiwa hudumu kupitia fare unayotoa,hapa nazungumzia wapita njia wasiohitaji kuchangia huduma Toka ktk mgahawa husika
 
Sio maji safi na salama ni ya kujichotea tu, hivyo unapewa ukapambane na typhod mbele huko
 
Ulivosema Hotelini maji bure ulinishtua mkuu.. Hizi Tittle za nyuzi hizi 😂😂
 
Back
Top Bottom