DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Una dalili zote za kujinyonga ww”Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so test less
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairmen
People are so greed now.
The old is gold forever.
🎶Jackson Allan "Remember when"
Mh! haya mfano nimekupenda nakutongoza hunitaki na wewe ndo furaha yangu!, hapo furaha yangu huoni umeshaitia ndimu mama..??Furaha inatengenezwa na wewe mwenyewe!
🤣🤣🤣🤣Mh! haya mfano nimekupenda nakutongoza hunitaki na wewe ndo furaha yangu!, hapo furaha yangu huoni umeshaitia ndimu mama..??
Wacha uwongo furaha inatengenezwa na mzunguFuraha inatengenezwa na wewe mwenyewe!
Nitakununulia dunia baby ukae mimi na wewe na watoto wetu hapo unasemaje shibela wangu..?🤣🤣🤣🤣
Mwanaume hakataliwi ongeza swaga!!
Bila kusahau Pilau la christmass,lilikua na utamu WA kipekee Sana!Kuna ule ubwabwa maharage wa hapo miaka ya tisini na kitu, ukipikwa nyumbani mtaa mzima unanukia, siku ukiwekwa na nazi ndio balaa.
Ni kweli kabisa ladha zimepotea katika kila kitu.
Kivipi??Wacha uwongo furaha inatengenezwa na mzungu
Hata kachumbari ikikatwa ilikua inanukia tofauti yani ukikaa pembeni lazma mate yajae mdomoni, lakini sahivi waaapi.....Bila kusahau Pilau la christmass,lilikua na utamu WA kipekee Sana!