Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

Maisha ya siku hizi ni kama kunywa chai yenye sukari tele, hainogi. Ndiyo yalivyo. Porno za kumwaga, vichekesho badala ya kusubiria Mizengwe, unavipata muda wote kwenye simu. Mambo na starehe nyingi zinapatikana fasta, inakinai.
 
Kama mtu una miaka 20’s au 30’s Maisha ya zamani matamu yalikuwa mwaka gani?
Zile zama familia zikitembeleana, wageni wanakuja home watoto mnafurahia na watoto wenzenu, hadi ugeni uondoke wote ni furaha tu.

Fast forward, leo akija mgeni sote tunajua anavyopokelewa!! Ni kweli maisha yamekosa ile ladha ya zamani.
 
aani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Weekend iliyopita nilienda club baada ya muda mrefu nilichokikuta na uhalisi niliotarajia (zoea) ni vitu viwili tofauti. Hakuna vibe kabisa na hapo ndipo niligundua kuwa sasa mimi ni muhenga.
 
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.

Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k

Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k

Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.

Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k

Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment

People are so greed now.

The old is gold forever.

🎶Jackson Allan "Remember when"
Technology na utandawizi vinaharibu, kwasababu tumeshindwa handle kwa usahihi haya mambo..
 
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.

Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k

Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k

Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.

Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k

Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment

People are so greed now.

The old is gold forever.

🎶Jackson Allan "Remember when"
The poor man is not the one who has so little is one who craving for more.
 
Sio kwa wote , mbona mimi naona maisha ni matamu sana ? Ukiweka thamani yako ipimwe kwa vitu lazima maisha utayaona mabaya tu
Ukiangalia hata bia za sasa, taste yake na zile za zamani ni mbingu na ardhi kbs, hizi za sasa ukinywa ni kama unakunywa mkojo! Naunga mkono mada ya mleta mada.
 
Naomba kujifunza yafuatayo:


au yeye anatumia mbinu gani kuwabana?

hello, naomba unijibu maswali haya tafadhali. DR HAYA LAND 30 JR
Maisha yamekosa maana kwa sababu ya ubinafsi & uchoyo wa watu kama wewe DR HAYA LAND 30 JR , ona kwenye huu uzi nimekuuliza unisaidie ktu kdogo tu hapo lakn umepiga kimya kama hujaona swali langu.

na hapa ni beyond the keyboards je kwenye maisha live utaweza msaidia mtu kweli? mana najua hujajibu makusudi unaogopa nitakua competitor kwenye biashara yako ya kukopesha walimu wakati hujui hata nipo mkoa gani, na hii nchi ina walimu kibaooo utakopesha wote ww mwenyewe?
 
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.

Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k

Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k

Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.

Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k

Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment

People are so greed now.

The old is gold forever.

🎶Jackson Allan "Remember when"
Huu ni ukweli mtupu Dr.
Maisha ya zamani yalikuwa na furaha na kujumuika pamoja, kusherehekea pamoja na kulia pamoja.

Nadhani kuna sehemu kama tunakosea au ni utandawazi na kwenda na usasa vimetuathiri.
 
Naungana na mleta uzi, vitu vingi kwa sasa ni tasteless, mfano wanawake wa sasa hawana uasili wao, wamejaa mikorogo , mawigi , nywele na vitu vingi vya bandia, wana rangi nyingi zaidi ya upinde wa mvua na papuchi zao sio kabisa
Ukimwi wa zamani sio wa siku hizi
Umeme wa zamani ulikuwa balaa sana, kulikuwa na matukio mengi ya watu kunaswa na umeme hasa majiko ya umeme
Kwa sasa ule ukaribu uliokuwepo zamani umetoweka, hata mkikutana marafiki wa zamani physically baada ya dk zisizozidi kumi kikao kinapoa kila mtu yuko busy na simu yake.
Kwa ufupi maisha yametawaliwa na ubinafsi mkubwa sana kuwahi kushuhudiwq
 
Binadamu tuna hulka ya kupenda vitu ambavyo havipatikani kwa urahisi, maisha yamekosa ladha kwasabab vitu vingi vinapatikana urahisi.

Zamani kunywa soda ni hadi sikukuu za Eid, Christmas nk ukinywa soda Yani utamu hadi unausikilizia..sasa hv kila muda wa chakula mtu anakunywa na soda hapo ladha lazima ipotee
Zamani kupata mwanamke wa kula papuchi ujue ameshakuzungusha si chini ya mwaka hadi miaka, siku unamla yani ni kama huamini Yan utamu wake unausikilizia vilivyo....lakini sasa ngono unapata mda wowote hadi ladha imezoeleka haina msisimko ule tena

Na mengine mengi ya mfano wa hayo,
 
Ukiangalia hata bia za sasa, taste yake na zile za zamani ni mbingu na ardhi kbs, hizi za sasa ukinywa ni kama unakunywa mkojo! Naunga mkono mada ya mleta mada.
😁 tafuta pesa bwashee ,uache kunywa local bia
 
Ni wachache wanaoweza jitengenezea furaha yao wenyewe.

Wengi hutegemea vitu na watu, hapo ndo changamoto.

Zamani watu walikuwepo, muda mwingi mko home, kitaa, kijiweni nk ila siku hizi hamna mambo hayo.
 
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.

Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k

Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k

Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.

Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.

Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k

Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment

People are so greed now.

The old is gold forever.

🎶Jackson Allan "Remember when"
Maisha hayana maana tena,
1.ubinafsi
2.mashindano
3.uchoyo
4.pesa as a major means of exchange
 
Binadamu tuna hulka ya kupenda vitu ambavyo havipatikani kwa urahisi, maisha yamekosa ladha kwasabab vitu vingi vinapatikana urahisi.
Ndyo
Zamani kunywa soda ni hadi sikukuu za Eid, Christmas nk ukinywa soda Yani utamu hadi unausikilizia.
Acha kabisa.
.sasa hv kila muda wa chakula mtu anakunywa na soda hapo ladha lazima ipotee
Zamani kupata mwanamke wa kula papuchi ujue ameshakuzungusha si chini ya mwaka hadi miaka, siku unamla yani ni kama huamini Yan utamu wake unausikilizia vilivyo....lakini sasa ngono unapata mda wowote hadi ladha imezoeleka haina msisimko ule tena

Na mengine mengi ya mfano wa hayo,
Hapa sipingi kabisa mbunye imekuwa rahisi mno kupatikana na kibaya zaidi nyingi zina magonjwa so zinakata stmu mapema
 
Back
Top Bottom