Mwalimu failure mbona una kisirani hivyo?
Nani alikutuma ufeli wakati wenzako wanapambana wafaulu wakafanye kazi zenye kuheshimika na jamii?
Walimu lazima mkubaliane na ukweli nyinyi ni failure mliokosa pakwenda mkaamua kwenda ualimu ambako ndipo failures hukimbilia.
Muwe mnavumilia japo masaa matatu yapite ndiyo mkatoe hivyo vilaki tatu vyenu.
Mimi huwa siendi kutoa hela ATM tarehe za mshahara maana utakutana na foleni ya walimu hadi inafika mita 50 kitoka ATM.
Kama umewazidi waalimu lakini ulipitia kwa hao walimu basi wewe ni komando.
Kuna generation tatu
1.Golden generation
2.Silver generation
3.Bronze Generation
Ukiwa mtafiti utajua kila set-up ya binadamu ina strength and weakness zake.
In Tanzaniakuna mgawanyo mbaya wa resources ndo maana Kuna gap kubwa sana la malipo..Na bado unacholipwa ni kuendeleza xircle ya chini.
Ukiwa kwenye group moja Kuna vikwazo vikubwa sana kupanda group la juu sababu watu Wana banana na kilichopo ili usipande.
Wachimbaji wa madini ni wengi sana migodini lakini wanapata madini kwa wingi ni wale wenye vifaa vya kisasa na wenye connection za matajiri wa kuwatoa Giza na kuwapaisha juu.
Ukiona watu wanafanya vacation ni Matokeo ya serving lakini huyo mwalimu unaomcheka alipoanza kazi alikutana na changamoto ya kukosa sehemu ya kuishi akaamua kujenga kwa mkopo,hii ni stutas quo,akijenga atalipa mkopo huo kwa miaka mitano tayari watoto wake watahitaji elimi.bora huku wakiwa na uwezo mdogo kutokana na make up.
Waafrika hatujui kufanya mapinduzi ya generations,unakuta mzazi anamuacha mtoto bila kumpa codes za maisha sababu ya migogoro ya familia,huenda ni Matokeo ya umaskini lakini wenzetu wahindi wanapeana codes,waarabu wanapeana connection za biashara za malori sisi Swahili people tunapigana majungu sana.
Ukianzisha biashara mtu wa kwanza kukuponda ni yule unaeshinda nae kwenye mzunguko wako(Circle).
Sisi waswahili hatuna muda wa kutafuta circle vizuri sababu sisi ni daraja la matajiri niliowataja hapo juu. In fact mpaka mwafrika anafikia level ya Silver lazima apate mentor mahili ili aweze kumpa koneksheni ya kazi na vitu vingine vya kufanya apande hapo juu.
Swala la imani nalo linakuwa kikwazo sababu hizi dini ni mapokeo tokea nje.
Tunahitaji mifumo ya familia ambayo haitaingiliana na fitna na CHUKI za kiafrik,Kuna midume inafanya kafara ngumu kuwezesha kupanda daraja la Silva lakini Matokeo yanatokea hayana mwendelezo sababu ile Silva imepanda kwa njia isiyo sahihi hivyo watoto wote wanaokuja hapo wanakuwa very allogant hawana vinasaba vya gold gen,hawana muunganiko wa incestor wa mwendelezo as result wakizubaa wanakuwa walevi,malaya,hatimaye wanarudi kwenye Bronzi.
Unaweza jitahidi kufanya mazuri lakini nyuma yako huna mwongozaji hatimaye unadondokea kwemye circle ya maskini Tena sababu waswahili tunapenda matako ya wanawake na sio genetical make up.
Ukiwa makini ukipata mafanikio sababu ya CHUKI hakuna mtu atakuongoza kwenye ndoa unadondokea.kwa aduai yako bila wewe kujua mzunguko unaanza upya.
Usimcheke mtu kila mtu anashida kwa kila maisha.