Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Sasa we danga una nini zaidi ya kusubiri wanaumeSio Walimu isipokuwa most of Six figure earners are living paycheck to paycheck life .
Kama umekaa na Askari police , wanajeshi n.k mshahara ukitoka lazima utajua na ukiwa unafanya biashara karibu na wanapoishi siku hiyo mauzo yako yatakuwa juu.
Sasa ikiwa wanajeshi wenye vyeo wanapanga foleni na kupigiana simu je utakuaje hao walimu wa Primary wanaopata laki moja baada ya makato ya kodi na mikopo mbalimbali