Mufupi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 945
- 910
Noma sana mkuuSema walimu, manesi, polisi, wanajeshi na watumishi wa halmashauri ndo tabia zao!

Si mpaka awe nayo hayo mambo ya kufanya. Mwenzio ametulia kwenye getto la shemeji yake hapo Hana wasiwasi.Achana nao fanya mambo yako.....
Poleni sana walimu wetuYani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Tatzo kuna namna walimu wanaishi maneno ya watu ile kufogoshwa.Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativity in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Hii nchi Ina watu wa hovyo sana.Kwahiyo kama ana eneo na kalima mchicha na wateja ndo hao asiuze? Auache tu kisa gari la mil 10 la mkopo?
Na si ajabu karibia mshahara wote wanaenda kulipia madeni,wanachobakiza ni kiduchu!!,,tokana na mchecheto na uko kuropoka,vibaka nao uwapora,,kwa kweli wanahitaji elimu yanidhamu ya fedha.😂😂Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Ni sawa na mpangaji anayejikopa mahala na kununua gari la kutembelea,ambalo halizai chochote,ni bora mara mia angenunua kipande cha aridhi na kujijengea kajumba kake akajisitiri.Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativity in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Kawaida hiyo,tajiri kacheka nasi tunacheka!Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Certificate ya kupika bishoro na kutengeneza rubisi veta, muleba.Hiki kiingereza vipi, mbona kama kinatia shaka?
Ulikuwa field ukisoma level gani ya elimu?
Naomba kujifunza yafuatayo:
au yeye anatumia mbinu gani kuwabana?
hello, naomba unijibu maswali haya tafadhali. DR HAYA LAND 30 JRShida kubwa hawakubali kujifunza mambo mapya .
Kwakuwa walimu hapa Tanzania unaweza kufikiri wanazaliwa na mama mmoja jinsi akili zao zilivyo.
Kuna uncle wangu ni mwalimu anawakopesha hela walimu wenzake Kadi za bank na vitambulisho wanaweka kwake Kama dhamana yaani hela ikiingia yeye ndo anaenda ATM kuchukua hela anayowadai
Na wanajisifu kuwa wanakula maisha .
AiseeYani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Wapi?Walimchukulia rais fomu