Halafu wewe ndio waona aibu ila kwao wao shangwe tuYani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Mkuu kila mtu anakipaumbele chake Kama huyo itakua ndoto yake ilikua kumiliki Gari, na Mwingine anaona walimu wenzake wana miliki magari na yeye ikabidi afate mkumbo ili aonekane na yeye siyo mnyonge.Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativeness in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Laki Moja Kmmk how they're supposed to live!?Sio Walimu isipokuwa most of Six figure earners are living paycheck to paycheck life .
Kama umekaa na Askari police , wanajeshi n.k mshahara ukitoka lazima utajua na ukiwa unafanya biashara karibu na wanapoishi siku hiyo mauzo yako yatakuwa juu.
Sasa ikiwa wanajeshi wenye vyeo wanapanga foleni na kupigiana simu je utakuaje hao walimu wa Primary wanaopata laki moja baada ya makato ya kodi na mikopo mbalimbali
We acha tu mkuu Adonae ndo anabariki Ila the game is not easy.Laki Moja Kmmk how they're supposed to live!?
😂😂😂 hiyo ndo maana halisi ya 3rd world countries..Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Kwasababu wapo wengi kuliko kada zingine na kingine Viongozi wao wanatumia Bank zingine tofauti hizi zilizopo kila Wilaya, na idara zingine wafanyakazi wake wanakua na pesa za wizi na wanakua na Account nyingi kwenye Bank tofauti, Askari, Walimu wao asilimia kubwa wanakua na Bank moja tu ndiyo maana kwenye kutoa mishahara wanaonekana wana njaa, na wanao jaa kwenye kutoa ni Wafanyakazi wa vyeo vya chini.Sema walimu, manesi, polisi, wanajeshi na watumishi wa halmashauri ndo tabia zao!
Ndo uwezo wao jamani..Inasikitisha sana.. Tuwahurumie sana hao watu.. Kuna mmoja alikopa milion 4. Bank fulani, akawa anakatwa laki na 65 kwa mwezi ndani ya miaka mi4
Akili bila hela sio sawa na hela bila akiliTukiacha utani ,fani ya ualimu na madaktari ndizo zilizobeba watu wajanja na wenye uwezo wa kiakili..Yaani sikuwa najua mishahara ila tangu shule msingi nilikuwa naona walimu wana mafanikio sana ya ujanja ujanja,ukija kwa madaktari napo ni hivyo hivyo.
Sitanii ila walimu despite ya kuwa na mishahara midogo kama mnavyodai ila wana akili sana za maisha , ukienda maeneo ya vijijini walimu wako vyema sana ..Mimi mjomba wangu alikuwa mwalimu ila alikuja kuacha baada ya miaka zaidi ya kumi ,ameacha akiwa na nyumba mbili ,kwa sasa ni Afisa kwenye kada za maendeleo ya jamii.
Duh karibia anarudsha Mara 2 ya hiyo hela . Kopa hela izidiz miaka 3.Inasikitisha sana.. Tuwahurumie sana hao watu.. Kuna mmoja alikopa milion 4. Bank fulani, akawa anakatwa laki na 65 kwa mwezi ndani ya miaka mi4
True bro. It's system problem pia dependents wana pressure mpaka wanachukua shark loans.Ndo uwezo wao jamani..
Kumbuka mishahara midogo ni tatizo la kimfumo (systematic problem) ,linalosababishwa na uchumi mbovu wa nchi.
Aya sasa tujiulize watalipwaje mamilioni mengi?Je wao binafsi wana uwezo wa ku influence uchumi wa nchi kua mkubwa?Jibu ni Big No ,it is out of their control .Badala ya kuwadharau inatakiwa tuwasifie na kuwapa moyo kwa uzalendo wa kujenga nchi yao katika mazingira hayo magumu.
Ni binadamu gani hataki kupata kikubwa kwa ujira wa kazi anayoifanya (rational thinking)??
We should not blame the victim and it should not be a victim blaming game period !!
Unakuta mkopo una run business anapata faida zaid hata ya salary.Laki Moja Kmmk how they're supposed to live!?
Walimu ni MAJANGA kweli ila Kwa hapa nawatetea hiyo ni tabia ya wafanyakazi wote wa serikaliYani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Hela wanazoAkili bila hela sio sawa na hela bila akili
OkYani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Hawapo creativity siyo,huko mashuleni sijui kuna shida gani siku hizi!!!!?Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativity in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Mwalimu failure mbona una kisirani hivyo?Sasa we danga una nini zaidi ya kusubiri wanaume