Mzungu sii ndio anatengeneza hela zetu weye....ukiwa na hela tayari unafuraha. Matatizo mengi mwanadamu anajitafutia mwenyewe lakini money =happinessKivipi??
Mzungu sii ndio anatengeneza hela zetu weye....ukiwa na hela tayari unafuraha. Matatizo mengi mwanadamu anajitafutia mwenyewe lakini money =happinessKivipi??
Swaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣= pesa kama sikosei, au nimeshalewa🥲🤣🤣🤣🤣
Mwanaume hakataliwi ongeza swaga!!
Walafi utawajua tuuHata kachumbari ikikatwa ilikua inanukia tofauti yani ukikaa pembeni lazma mate yajae mdomoni, lakini sahivi waaapi.....
Ukila huo ubwabwa unabaki na kazi ya kuwanusisha watu mikono tu kwa ushahidi, ila sahivi wala mikono hainukii tena
Sijaelewa madamMaisha ya zamani mliishi wapi wakuu? Mi ndio nimeanza kuishi zamani nilikuwa nasavaivu.
If you see setbacks means you have a devil’s inside,that’s the one blocking your happinessKwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so test less
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment
People are so greed now.
The old is gold forever.
🎶Jackson Allan "Remember when"
Kama mtu una miaka 20’s au 30’s Maisha ya zamani matamu yalikuwa mwaka gani?Sijaelewa madam
Utakuta hata kwichi za zamani ndo zilikuaga tamu 🤔🤔Walafi utawajua tuu
Labda ya hapo 2005 madam😅Kama mtu una miaka 20’s au 30’s Maisha ya zamani matamu yalikuwa mwaka gani?
Kwani uwongo..zamani punene tyt sio hizi zenu za kisasa breki mbupuzUtakuta hata kwichi za zamani ndo zilikuaga tamu 🤔🤔
Mitandao ya kijamii imechangia kwa kiasi kikubwa kufanya maisha yaonekane ya kisanii (artificial); hakuna tena uhalisia.Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so test less
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have funny kila mwisho wa mwaka n.k
Ila Maisha ya sasa kama yamepoteza ladha kuanzia katika Maisha halisi ya mtaani hadi mitandaoni.
Yaani kila ukihitaji kuufurahia wakati you have to back in past.
Kuanzia Muziki
Kuanzia Chakula
Kuanzia marafiki
Kuanzia ndugu n.k
Watu wanamiliki kila kitu Ila hawana furaha , wapo na Psychomotor impairment
People are so greed now.
The old is gold forever.
🎶Jackson Allan "Remember when"
Zamani bao ni zinaunganishwa hadi tatu ndo mapumziko, lakini nyie sahivi kusimama tu inasimama kwa maringoKwani uwongo..zamani punene tyt sio hizi zenu za kisasa breki mbupuz
Kipengele ni kwamba tumejengewa imani kwamba pesa au mali ndio zitazotupa furaha na ustawi ilhali mambo hayo hayana nafasi katika kupata amani,uaminifu na upendo mwisho wa siku kuishia kua wahanga wa hiki asemacho muandishi.Sio kwa wote , mbona mimi naona maisha ni matamu sana ? Ukiweka thamani yako ipimwe kwa vitu lazima maisha utayaona mabaya tu
Itasimamaje vizuri wakati hapo unawaza umetuma hela ya nauli mara mzinga wa wigi mbususu yenyewe imepigwa ubaridi kwenye bodaboda, utelezi unanukaZamani bao ni zinaunganishwa hadi tatu ndo mapumziko, lakini nyie sahivi kusimama tu inasimama kwa maringo
Sasa anajua hamna maajabu ataachaje kuomba nauli hata ungekua ni weweItasimamaje vizuri wakati hapo unawaza umetuma hela ya nauli mara mzinga wa wigi mbususu yenyewe imepigwa ubaridi kwenye bodaboda, utelezi unanuka
Mda mwingine sio kujengewa iman,ni kweli bila pesa kutoboa ni ngumuKipengele ni kwamba tumejengewa imani kwamba pesa au mali ndio zitazotupa furaha na ustawi ilhali mambo hayo hayana nafasi katika kupata amani,uaminifu na upendo mwisho wa siku kuishia kua wahanga wa hiki asemacho muandishi.
Kama hamna maajabu kwa nini uendeSasa anajua hamna maajabu ataachaje kuomba nauli hata ungekua ni wewe
Si ndo hivi hivi maisha yashakosa ladha hamna namna, anakuja basi tu ila anajua kabisa anakuja kunywa uji wa sembe usio na sukari wala chumviKama hamna maajabu kwa nini uende