Kwanini MAISHA ya sasa yamepoteza ladha tofauti na zamani

Hata kachumbari ikikatwa ilikua inanukia tofauti yani ukikaa pembeni lazma mate yajae mdomoni, lakini sahivi waaapi.....

Ukila huo ubwabwa unabaki na kazi ya kuwanusisha watu mikono tu kwa ushahidi, ila sahivi wala mikono hainukii tena
Walafi utawajua tuu
 
If you see setbacks means you have a devil’s inside,that’s the one blocking your happiness
 
Mitandao ya kijamii imechangia kwa kiasi kikubwa kufanya maisha yaonekane ya kisanii (artificial); hakuna tena uhalisia.

Kwa asili, binadamu ana unafiki ndani yake, na tamaa ya pesa imeongeza mchanganyiko huu.

Ongezeko la watu nalo limefanya nadharia ya ‘survival for the fittest’ ionekane dhahiri na kufanya life kuwa banzoka.

Kwa mbali, ladha ya maisha halisi ya kibinadamu ipo vijijini—kule ndani ndani Tukuyu, Muleba, Rombo na Isangawana.

Hukohuko usiwe na presha ya kuwa ‘smart,’ cheza ling'oma, kula magimbi na samaki mbasa, kula mboga yenye kipome, tembea kwa miguu hadi kikao cha kijiji, usiwe na simu ya smati.

Maisha ya mjini yamebaki kuwa bidhaa ya viwandani—‘life made in Shanghai, China. trako fake, tt fake, ntu fake, hela fake, kazi fake, marafiki fake, ndugu fake, ugali fake, papai fake nk nk
 
Mnatoa wapi furaha ya maisha wakati nchi inaliwa na wanafamilia wachache wengine mmebakia kuwa chawa tu, mtakula jeuri yenu mkimbiwa ukweli mnanza ooh sijui nani anaupiga mwingi anaupiga mwingi wakati wewe hata chai hujanywa, nchi yetu ni tajiri sana kama kungekua na viongozi wasio wabinafsi kama ssahivi, angalia wanavyopigana vikumbo kuhangaika na nafasi za uongozi ndio ujue hilo ni shamba la bibi. Wahuni wanaendesha nchi na hawataki kutoka.
 
Sio kwa wote , mbona mimi naona maisha ni matamu sana ? Ukiweka thamani yako ipimwe kwa vitu lazima maisha utayaona mabaya tu
Kipengele ni kwamba tumejengewa imani kwamba pesa au mali ndio zitazotupa furaha na ustawi ilhali mambo hayo hayana nafasi katika kupata amani,uaminifu na upendo mwisho wa siku kuishia kua wahanga wa hiki asemacho muandishi.
 
Zamani bao ni zinaunganishwa hadi tatu ndo mapumziko, lakini nyie sahivi kusimama tu inasimama kwa maringo
Itasimamaje vizuri wakati hapo unawaza umetuma hela ya nauli mara mzinga wa wigi mbususu yenyewe imepigwa ubaridi kwenye bodaboda, utelezi unanuka
 
Kipengele ni kwamba tumejengewa imani kwamba pesa au mali ndio zitazotupa furaha na ustawi ilhali mambo hayo hayana nafasi katika kupata amani,uaminifu na upendo mwisho wa siku kuishia kua wahanga wa hiki asemacho muandishi.
Mda mwingine sio kujengewa iman,ni kweli bila pesa kutoboa ni ngumu
 
Hata mboro za siku hizi zimekosa ladha kabisa.

Zamani enzi za mwalimu unapigwa pumbuh mpaka unajishangaa papuchi inatoa mvuke.

Mbunye zilivurugwa na kuchapwa haswaaa mpaka akina mama wakaunda vikundi vya unyago vya kupeana pole na asante.

Cc: Poor Brain Mbaga Jr

Mbamizwa Tukuyu Monetary doctor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…