Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Scary!!!

 
Kawaida mkuu kuna mwingine Mzee alisema azikwe shambani kwake karibu na mti watu tukamzika kwenye makaburi ya umma bwanaaa weeeeh kila mkizika kesho jeneza mnalikuta ndani tena,,
tulizika mara3 akaja mtot wake akasema baba inabid azikwe shamban kwake baada ya kumzika shamban Hali ikawa shwari kabis
 
We unasema ya mwendokasi. Kipindi cha nyuma kuna eneo la makaburi lilijaa kwa hiyo wakaleta system ya makaburi ya double decker, yaani majeneza matatu au hata manne kwenye kaburi moja
 
Futi sita ndio nzuri ili siku ya ufufuo wote waliolala waamke fasta. Maana siku hiyo hakuna kupoteza muda.
 

Kwani walipoanza kufukua walijua kina cha kaburi? Hao walidhamiria, hata angekuwa futi 10 wangemfikia tu.
 
Ardhi ya kule ruvu huwezi chimba zaid ya futi 4nne mkuu huwa wanazika kwa futi 3, 4 mwisho 5

Ardhi yake ni ngumu sana
 
Nadhani ili marehemu asije kufufuka akaja kutudai hela zake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…