Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Scary!!!

Tulitaka akifufuka tena tupige maana ule usumbufu mtu inabd ufe Mara moja tu upumzike mkuu sio yule had mara4 anafufuka tu,,,
Kipindi anafufuka Mara ya 3 tulimkuta anaosha vyombo vilivyotumika kwenye msiba wake Jana yake amna mtu aliebaki Apo kila mtu mbio
 
Kawaida mkuu kuna mwingine Mzee alisema azikwe shambani kwake karibu na mti watu tukamzika kwenye makaburi ya umma bwanaaa weeeeh kila mkizika kesho jeneza mnalikuta ndani tena,,
tulizika mara3 akaja mtot wake akasema baba inabid azikwe shamban kwake baada ya kumzika shamban Hali ikawa shwari kabis
 
We unasema ya mwendokasi. Kipindi cha nyuma kuna eneo la makaburi lilijaa kwa hiyo wakaleta system ya makaburi ya double decker, yaani majeneza matatu au hata manne kwenye kaburi moja
1.kuepusha maiti kufukuliwa kirahisi na wanyama kama fisi njaa kali

2.kuepusha adha za mizoga (kunuka harufu kali)

3.kuepusha/kusitiri marehemu kwani ardhi ipumue itakavyopumua lakini mpaka kufikia udongo wa levo aliyopo mtu basi kila kitu kitakuwa kimeoza (si rahisi kuona masalia yake ya mifupa)

4.ni utaratibu uliokutwa yaani uliowekwa tangu enzi mfano kwa waislam kuna maelekezo na maelezo maalumu kabisa ya namna kaburi linavyotakiwa kuwa

5.Hatahivyo, si kweli kwamba ni lazima futi sita bali ni urefu unaokadiriwa tu kwa macho na of course inasemwa tu uwe 'urefu wa kutosha' au kadiri. Nadhani kama wapo wanaopima kina cha kaburi kwa futikamba basi ni wachache sana

6.pia kuna makaburi ya mwendokasi kitu unakuta inakomea kwenye magoti haahaa. Kama huamini angalia andhaa kanoon[emoji23]
 
Futi sita ndio nzuri ili siku ya ufufuo wote waliolala waamke fasta. Maana siku hiyo hakuna kupoteza muda.
 
kuna jamaa alifariki na madeni ya watu zaid ya 7+million.sasa wakati wanamzika wanandugu walichimba kina kifupi,usiku wakulungwa walikuja kumfukua wakamuweka juu wakaacha wameandika "tunataka hela yetu".(walikata mkono wa kushoto wakaondoka nao)

nadhani ingekuwa kina kirefu wasingeweza kwa sababu ya muda na wangegundulika haraka wakat wanafukua coz wangetumia muda mrefu


all in all binadamu wabaya sana.inasadikika pia wao ndo walifanya mpango wa kumuua.

Kwani walipoanza kufukua walijua kina cha kaburi? Hao walidhamiria, hata angekuwa futi 10 wangemfikia tu.
 
Ardhi ya kule ruvu huwezi chimba zaid ya futi 4nne mkuu huwa wanazika kwa futi 3, 4 mwisho 5

Ardhi yake ni ngumu sana
 
Nadhani ili marehemu asije kufufuka akaja kutudai hela zake..
 
Back
Top Bottom