Kwanini makanisa ya ndani ambayo mengi ni ya kilokole hayana msaada kwenye jamii zaidi ya kunufaisha wanafamilia ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini

Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k.

Familia zao huishi maisha ya juu lakini waumini maisha yao yapo chini sana na wamejazwa falsafa ya kukemea shida badala ya kuzitatua
 
Nasoma comment
 
makanisa hayo bado machanga, unataka yatoe msaada gani?
 
Back
Top Bottom