Nasoma commentHaya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini
Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k.
Familia zao huishi maisha ya juu lakini waumini maisha yao yapo chini sana na wamejazwa falsafa ya kukemea shida badala ya kuzitatua
πππTaasisi yoyote lazima iwe na vyanzo vya uwezeshaji na ndio faida yenyewe
sawa sawaTaasisi yoyote lazima iwe na vyanzo vya uwezeshaji na ndio faida yenyewe
makanisa hayo bado machanga, unataka yatoe msaada gani?Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini
Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k.
Familia zao huishi maisha ya juu lakini waumini maisha yao yapo chini sana na wamejazwa falsafa ya kukemea shida badala ya kuzitatua
Tatizo hata huo uwekezaji sio nafuu katika kutoa huduma . Shule a hospital zote kupata huduma ni gharama .Taasisi yoyote lazima iwe na vyanzo vya uwezeshaji na ndio faida yenyewe