Swali zuri labda na mimi nikuulize je kuna faida gani ya kufanya tofauti na wanavyofanya ?
Pili labda kutuma pesa laki moja mpaka 199,999/ anakatwa Tshs 1000/= sasa hapo tungeweka kwa percentage tungeweka vipi wakati hii kitu ina utafauti wa asilimia anayekatwa mtu anayetuma 100,000 na yule 199,999/= in so far as the latter anatoa pesa ndogo ? (percent kidogo) ?
Unless ingekuwa kila pesa ni constant kwamba unachajiwa asilimia moja kwa kila Tshs hapo ndio ingekuwa rahisi, lakini hapa ni wenyewe tu wanajiwekea za kuchaji kulingana na wanavyoona miamala ambayo ni common na ku incertivise watu kutuma pesa kubwa kwa kuwakata kidogo
Kinachofanyika nadhani ni more user friendly pia kuliko otherwise au kuna kitu nime miss unaona percentage igekuwa more friendly ?