Diego Santana
Senior Member
- May 10, 2025
- 147
- 218
Sasa si ubadilishe wewe uweke kwenye asilimia.Kwanini mtu akitoa au kutuma pesa kiasi cha 100,000/= hakatwi "in terms of percentage" bali anakatwa kwa gharama kwa mfumo wa "range" from this amount to that??
What's the rationale behind this??
Mimi sio senior officer wa BOT au kampuni yoyote ile ya mawasiliano.Sasa
Sasa si ubadilishe wewe uweke kwenye asilimia.
Kwa mfano ukitoa/kutuma 100,000/= makato ni kiasi gani?Mimi sio senior officer wa BOT au kampuni yoyote ile ya mawasiliano.
LOGICALLY, mtu wa kawaida ajue kiasi alichokatwa. Usi-complecate mzee!Kwanini mtu akitoa au kutuma pesa kiasi cha 100,000/= hakatwi "in terms of percentage" bali anakatwa kwa gharama kwa mfumo wa "range" from this amount to that??
What's the rationale behind this??
Kwani kama makato ni let's say 10% katika transaction ya 100,000/= mtu hawezi kujua kama alikatwa 10,000??LOGICALLY, mtu wa kawaida ajue kiasi alichokatwa. Usi-complecate mzee!
Una point nzuri sana shida watu hawataki kujadili hoja, ila umeongea kitu logic kabisa ni kama VAT unalipa kutokana na %.Mimi sio senior officer wa BOT au kampuni yoyote ile ya mawasiliano.
Asante sana mkuuUna point nzuri sana shida watu hawataki kujadili hoja, ila umeongea kitu logic kabisa ni kama VAT unalipa kutokana na %.
Una point nzuri sana shida watu hawataki kujadili hoja, ila umeongea kitu logic kabisa ni kama VAT unalipa kutokana na %.
Bado hujaelewa swali ?LOGICALLY, mtu wa kawaida ajue kiasi alichokatwa. Usi-complecate mzee!
VAT ni 18 Percent; Lakini percentage unavyotuma ina vary kutokana na unatuma ngapi mara nyingi ukituma nyingi unachajiwa ndogo per unit na inawezekana miamala fulani kutakana na utumaji ni mkubwa wanaweza kuongeza percentage fulani hata 0.05 lakini ikaleta faida kubwa sana...Una point nzuri sana shida watu hawataki kujadili hoja, ila umeongea kitu logic kabisa ni kama VAT unalipa kutokana na %.
NARUDIA TENA USI-COMPLECATE MZEE!!Kwani kama makato ni let's say 10% katika transaction ya 100,000/= mtu hawezi kujua kama alikatwa 10,000??
Inawezekana hii ndio ikawa sababu mkuu. Illiteracy among most of Tanzanians."SIYO WOTE WANAJUA KUCHEZA NA % KM WW"