Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wanafuga majiniUMMY SUBIAN
ummy subian ni jini wa kike ni malkia wa jide chini ya bahari mavazi yake mekundu Pete zake nyekundu ni moja kati ya majini wakorofi akiwa kwako harafu hujatafuta Pete yake atakuadabisha huyu ummy subian yupo chini ya utawala wa sharif sultan bin daud subian ni miongoni mwa maruhaniyat wa kisharifu apa nazungumzia subian mwema kwanza jini huyu ummy subian ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan hizi ni koo kubwa za kijini zinazoelewana sana ummy subian ni miongoni mwa majini wenye cheo ujinini na Wana Mali sana wakikutunuku kitu shida utakisikia Kwa jirani tu na kama yupo Kwa mwanaume basi mwanaume huyo atakua na mvuto mkali sana Kwa wanawake ila jini uyu anapenda uwe msafi ujipende apo mtaendana arafu ukiwa wapenda nguo nyekundu utamfurahisha ummy subian ana uwezo wa kubadilika zaidi ya mara Tano mtu MWENYE jini huyu ukimkorofisha kimbia subian hapend mtu wake aonewe ni jini mwenye Mali ila mkorofi Mali zake zikitumiwa vibaya ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan ila ruhan yeye Mpore mara nyingi utakuta yeye anakutawala sana kuliko ruhani japo ruhani ni mkubwa Kwa subiani ruhan yeye anatoa tu amri subian anatekeleza ruhan ni kiongoz wake subian yupo Kwa ulinzi ila ruhan ni bosi mtoa amri labda itokee jambo zito apo ruhan ataingilia kutetea ila mara nyingi utakuta yeye ametulia tu anampa amli subian ukienda nao sana Kila kitu kwako kitakua mtelemko ukiona wateseka ujue wamefungwa au wanadai Pete yao ili wakutumikie na sio Kila mtu anao Kuna baadhi ya wanadamu Wana nyota Kali kiasi Cha kuwavutia Hawa viumbe mara nyingi wanakuja kwako Kwa kuvutiwa na nyota yako ili wakupe kile walichojaaliwa na muumba wao na kukuwekea ulinzi ili wanadam na majini wabaya wasikudhuru hiyo ni Pete ya ummy subian
View attachment 2978858
utajuta, achana na hizo habari. mwisho wa siku jini litakutoa wewe mwenyewe kuwa sadaka baada ya kukuonyesha mapichapicha ya kutoshaHaya nipe namba yako nataka hilo jini tupate pesa sasa, tumechoka na haya maisha!!.
siyo kwamba ametajwa kwenye kitabu cha Ayubu, bali kwamba ni yule shetani aliyeenda kumtengenezea zengwe Ayubu na kumletea majaribu,na hizo story zipo kwenye kitabu cha AyubuKuna sehemu wanasema ametajwa kwenye kitabu Cha Ayubu ndio Niko hapa nimetulia nachimbua Hadi nimpate,
kwenye biblia haina maelezo mengi ya majini. labda toka kwenye sources zingineTatizo kubwa la wakristo ni kuwa hawataki kukubali kuwa majini ni viumbe vilivyoumbwa na Mungu kama tulivyo sisi, wanakula na kuzaana kama sisi na wanaongea lugha tunazoziongea na tunaishi nao katika mazingira yetu humu humu duniani.
Kamuulize pastor yeyote ambae anafanya Exorcism atakupa ukweli juu ya haya ninayoyaandika hapa.
🤣🤣🤣🤣Ukiwa na akili timamu, wala hutakaa uufikirie upuuzi wa kitabu cha biblia wala quran. Ni ujinga mwingi mno ulioandikwa humo kwa mtu unayefikiria ipasavyo.
Kuna jamaa kwenye ukurasa wa kwanza anasema kulitokea gharika dunia nzima wakapona watu wanane tu.
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi nisimulia upumbavu huo nikakusikiliza tu
Mkuu ungezungumzia mambo ya afya ingetosha.Waanzilishi wa Majini Ni WAARABU hapo kabla!
Kipindi kabla ya Uislamu hakukuwa na Neno Jini lililofahamika mpaka Kipindi cha Mtume ambapo ilikuwa Hadithi ama Aya ama maelekezo kuwa Kizazi cha kwanza kuumbwa kilikuwa ni kizazi cha majini
Kwa akili kisoda za namna hii kweli tutaacha kutawaliwa?Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc
Kwanini?
Uthibitisho wa kimaandishi unapatikana wapi?Lucifer ni sifa sio jina. Ni kama nikuite mrembo.
Jina lake ni Samael
Endelea kusoma post zilizofata zimejibuUthibitisho wa kimaandishi unapatikana wapi?
Kuanzia post namba ngapi?Endelea kusoma post zilizofata zimejibu
Hilo jibu hapo si ndo theilogua yenyewe au ?!!!!Hiyo nimekujibu kulingana na biblia.
Utaniruhusu nikupe mtazamo mwingine wa ki theologia?
Hilo jibu ni kuhusu biblia ilichosema.Hilo jibu hapo si ndo theilogua yenyewe au ?!!!!
Ooh okHilo jibu ni kuhusu biblia ilichosema.
Theologia ni kuhusu wachambuzi wa hayo maandiko walichosema.
Wanefili wanaelezewa katika Biblia kwa njia hii:Ooh ok
Ulishakuwa Judaism!Umewahi Kuwasikiliza?
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini na Wanawachukia Sana wakristo na wanawatupia lawama fulani na Wanawachukia zaidi Waislamu kwa Kuleta Miungu ya Kigeni...
Wanatofautianaje na Wakristo?Yeah mpaka Tanzania na wana Biblia Zao za Kiswahili Na ninayo Huwa naipitia Pitia
MImi Ni msomi wa Theolojia Pia Mkuu..Mkuu ungezungumzia mambo ya afya ingetosha.
Wanatofautiana sana zaidi ya 75%Wanatofautianaje na Wakristo?