Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Ok sasa Nifatilize hapa Chini..
Andiko Hilo Limetoka kwenye Genesis/Mwanzo au Bere'shit 6 : 2..

In Hebrew inaandikwa Hivi..

וַיִּרְאוּ בְנֵי־הָאֱלֹהִים אֶת־בְּנוֹת הָאָדָם כִּי טֹבֹת הֵנָּה וַיִּקְחוּ לָהֶם נָשִׁים מִכֹּל אֲשֶׁר בָּחָרוּ׃

inasomeka hivi..

Wayyir'u v'nei haElohim et-B'not haAdam Ki tovot hena vayik'chu lahem nashim mikol asher bacharu..
Kwa Lugha ya Mfalme charles..

That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose.

Sasa kwenye Tafsiri ambayo imekuchanganya ni hiyo niliyowekea Rangi nyekundu..

Yaani:-

וַיִּקְחוּ לָהֶם נָשִׁים מִכֹּל אֲשֶׁר בָּחָרוּ
(vayik'chu lahem nashim mikol asher bacharu
)

Neno וַיִּקְחוּ (vayik'chu) - ni Nafsi ya Tatu Wingi Kama kingereza wangesema "They took" na hapo ni Katika wakati uliopita ambayo imetokana na verb "לקח" (lakach), ambayo inamaanisha kujichukulia ,Kuchukua,Kutwaa "to take."

Neno לָהֶם (lahem) -linamaanisha kwa ajili yao wenyewe yaaani "to them" au "for themselves."

Neno נָשִׁים (nashim) - Ni wingi wa Neno "אישה" (isha), Ambayo Linamaanisha "mwanamke(Woman)" au "Mke."

Neno מִכֹּל (mikol) - linamaanisha kutoka kwa wote au kwa wote ("of all" or "from all.")

Neno אֲשֶׁר (asher) -Ni relative pronoun inamaanisha "that" au "which."

Neno בָּחָרוּ (bacharu) - Hii ni Mafsi ya Tatu wingi iliyotokana na verb "לבחור" (libokhar), ambayo humaanisha Kuchagua ( "to choose.")..

Sasa baada ya kukuchambulia Hiyi nafikiri Umenielewa Kiasi..

Sasa tujikite kwnye neno vayik'chu..
Nataka nikurudishe Nyuma Nikupe mfano mmoja tu kwenye mwanzo hapo hapo sitaki kwenda mbali

Neno Hilo Vayik'Chu limetumika Sana kwenye Biblia likimaanisha kuchukua au kutwaa/Kujitwalia

Kwenye Mwanzo/Geneis 4:19..

Lameck anajitwalia Wake wawili..inasomeka hivi..

Mwanzo 4:19

"Lameki akajitwalia wake wawili, jina la wa kwanza ni Ada, na jina la wa pili ni Sila."

'And Lamech took unto him two wives: the name of the one was Adah, and the name of the other Zillah."

Nakupeleka kwa Lugha ya Kiebrania..

וַיִּקַּח־לוֹ לְמֶךְ שְׁתֵּי נָשִׁים שֵׁם הָֽאַחַת עָדָה וְשֵׁם הַשֵּׁנִית צִלָּה׃

vayikach-lo Lemech shtey nashim shem ha'achat Adah ve-shem ha'shenit Tzillah..

Umenielewa sasa?

Kwahyo kwa Mujibu Wa Tafsiri Hizo umeelewa Maana ya They Took uliyokuwa unataka??
Ujue shida ipo hapa kwenye uzazi kusema Malaika waliwapa mimba mabinti hii haileti maana, Maama malaika hawazaliani
 
Kabla ya kujibu hilo la babeli.

Nimeweka hayo maandiko kukuonyesha kuwa Lucifer sio jina ni sifa. Maana yake ni nyota ya asubuhi. Kama Yesu anaitwa Nyota ya asubuhi, iweje na Shetani aitwe Lucifer Wakati maana ya Lucifer ni Nyota ya asubuhi?

Lucifer ni sifa sio jina ndio maana hata Yesu anaitwa Nyota y asubuhi ambayo ni Lucifer.

Kuhusu babel. Nitaweka kwa Kiingereza ili kuondoa utata, maana kuna maneno ya kiingereza yana maana tofauti lakini hayo hayo maneno kwa Kiswahili yana maana moja. Mfano shiny na bright (nitatumia Lucifer kama jina ndivyo ilivyotumiwa kwenye biblia)

Lucifer is a transliteration of the Hebrew word Helel which means Lucent, Shiny or sometimes Bright. (kiswahili cha shiny na bright ni ng'aa, haina tofauti)

The full name (prase) is Helel ben Shachar which means Shining one, Son of the Morning. So how do we get Lucifer from Helel?

Chanzo chake
Shahar (Shachar) and Shalim were two deities from the Urgarit (Canaanite religion) pantheon, one representing Dawn and the other representing Dusk.

In Greek mythology, they were known as Phosphorus (morning star) and Hesperus (evening star), and they were both a representation of the planet Venus rising and setting, both in the east at dawn and in the west at dusk. It's my guess that they're a early depiction of a day, and where it begins and ends.

The naming of phosphorus in Latin is Luciferus and Hesperus in Latin is Vesperus, which is how we get the word Lucifer (and Vesper) from Helel.

Did Lucifer serve as the King of Babylon?

Nabonidus, the Babylonian king during the fall of Babylon, as mentioned in the book of Isiah 14:12, was in charge of Babylon with his son Belshazzar. In 539 BCE, Babylon was conquered by the Persian King Cyrus the Great.

Cyrus found the presence of foreign exiles (prisoners and war captives) in Babylon such as the Jews distasteful and one of his first acts was to allow these exiles to return to their homelands and were made to take with them the images of their gods, their “sacred vessels” and much of their personal belongings.

And so ended the exile of the Jews in Babylon.

This passage pertains to the former Babylonian King Nabonidus...

Lucifer, son of the morning, how have you fallen from the heavens? You, the one who weakened nations, have been cut down to the ground!

The creation was meant to mock the previous Babylonian ruler, who was also a 'God King'. Therefore, it is absolutely true that 'Lucifer' was the king of Babylon.

Satan is famous for convincing people that he doesn't exist. He's also adept at concealing his true name and making them believe he's someone else.

I hope that helps, Digest well 🙏
I STAND TO BE COLLECTED.

Si jambo la kujadilika kuwa Lucifer si Jina.
Turudi kwenye morning star..kuna verses kama si 4ama 5 zinazo ongolea morning star.
Katika Job 38:7tunaona morning stars malaika(wengi)wakiimba pamoja.

Na katika revelation tunaona Yesu akiahidi kuwapa(kumpa)...nyota ya Asubuhi.

Katika hii verse revelation Yesu ni mtoaji wa Nyota ya Asubuhi apart from being called himself morning star bado ni mtoaji pia.
Kwangu mimi hii verse ndiyo ina distinction Yesu na hao malaika wengine wanaotumia ilo jina.
Yesu ni morning star na ni mtoaji wa morning star wakati wengine ni morning star kwa jina tu na si watoaji.

So,swali hapa la msingi ni vipi malaika waitwe morning star(si shetan na Yesu tu) na Yesu nae ajiite morning star?. Ili ndiyo inabidi lijadiliwe.

Ukitaka kujadili kwa kuwa-single out malaika wengine katika huu mjadala,mjadala unakowa maana automatically maana hata Shetan alikuwa malaika pia na tumeona katika Job 38:7 malaika wengine(wengi)pia wakiitwa morning star.
Nb: Similarities ya za shetan na Yesu katika biblia si hii tu..katika Biblia Yesu anajiita Simba wa Yuda na Shetan nae kuna sehemu anaitwa Simba aungumae akitafuta mtu ammeze.
 
Yote uliyoyaongea hapo ni uthibitisho kua morning star ni sifa sio jina. Mfano hao malaika wengi wanaoimba pamoja na kuitwa morning star sio majina yao ila ni sifa waliyopewa lakini kila malaika ana jina lake. Kama vile unavyosema wanakwaya (sifa) lakini kila mmoja ana jina lake.

Hata Yesu kuitwa simba wa yuda sio jina ni sifa. Hakuna sehemu nime single out malaika wengine. Nimekuonyesha jina la Lucifer lilikotokea na maana yake. Hata Yesu kuitwa nyota ya asubuhi ni sifa sio jina lake.

Kama unakataa kuwa Lucifer sio sifa ni jina. Ina maana wale malaika wote walioongelewa kwenye Job 38:7 wana jina moja nyota ya asubuhi.
Yesu nae anajina nyota ya asubuhi, simba wa kabila la yuda,
Shetani nae anaitwa nyota ya asubuhi.
Huoni hiyo nyota ya asubuhi ni sifa waliyopewa? Maana kila mmoja ana jina lake.

Wewe unaitwa let the caged bird sings lakini unaweza pewa sifa kama mwelevu, msomi nk. Je kuitwa msomi au mwelevu ni jina au sifa?
 
Naeza changia hapa??
 
  • Thanks
Reactions: 511
Ujue shida ipo hapa kwenye uzazi kusema Malaika waliwapa mimba mabinti hii haileti maana, Maama malaika hawazaliani
According to the holy Bible

In Genesis 6 we learn that the primary cause of the flood was the emergence of a new, insidious threat to God's plan of redemption. Fallen angels, called "sons of God" (ben Elohim) in Genesis 6, were taking women, called "daughters of men," for sexual relationships. The result of these unions were a grotesque being scripture calls Nephilim. The Nephilim were giants, people who were grossly distorted by their unnatural origins.

Gen. 6:1 Now it came about, when men began to multiply on the face of the land, and daughters were born to them,
Gen. 6:2 that the sons of God saw that the daughters of men were beautiful; and they took wives for themselves, whomever they chose.

Gen. 6:4 The Nephilim were on the earth in those days, and also afterward, when the sons of God came in to the daughters of men, and they bore children to them. Those were the mighty men who were of old, men of renown.

Satan instigated this plan hoping to polute the human "seed" to stop God's plan to bring forth a Messiah, the Seed, promised to come one day and destroy (i.e., bruise) Satan:

Gen. 3:15: And I will put enmity
Between you and the woman,
And between your seed and her seed;
He shall bruise you on the head,
And you shall bruise him on the heel.”

Clearly, the Lord could not stand by and allow such an attempt to succeed. Peter also refers to this occasion in his second letter in explaining the Lord's response:

2Pet. 2:4 For if God did not spare angels when they sinned, but cast them into hell and committed them to pits of darkness, reserved for judgment;
2Pet. 2:5 and did not spare the ancient world, but preserved Noah, a preacher of righteousness, with seven others, when He brought a flood upon the world of the ungodly;

The Lord punished the demons and destroyed the fruit of their evil labors. Clearly, the act of mating happened, and the demons involved in this sin paid a dear price, but apart from these references, we have little to help us understand how spiritual creatures can mate with physical beings. We do not know specifically how the demons impregnated women, but we do know of other circumstances when angels appear to men in the form of bodies. For example, Abraham is met by three "men" in Genesis 18:

Gen. 18:2 When he lifted up his eyes and looked, behold, three men were standing opposite him; and when he saw them, he ran from the tent door to meet them and bowed himself to the earth,

Later in the chapter, we observe these men eating with Abraham and speaking with him, yet they were not men. One was the Lord Himself and the other two were angels. So clearly, angels can take the form of men when desired.

Secondly, we know that the Holy Spirit impregnated Mary. While we're not suggesting that demons' abilities are equal to God's, nevertheless it demonstrates that Spirit and flesh can interact in ways we don't completely understand.

So the cripture testifies that demons and women mated in some way to produce a race of creatures called Nephalim.

Bible say what it says, adding nothing and taking nothing away.
 
Yote uliyoyaongea hapo ni uthibitisho kua morning star ni sifa sio jina. Mfano hao malaika wengi wanaoimba pamoja na kuitwa morning star sio majina yao ila ni sifa waliyopewa lakini kila malaika ana jina lake. Kama vile unavyosema wanakwaya (sifa) lakini kila mmoja ana jina lake.

Hata Yesu kuitwa simba wa yuda sio jina ni sifa. Hakuna sehemu nime single out malaika wengine. Nimekuonyesha jina la Lucifer lilikotokea na maana yake. Hata Yesu kuitwa nyota ya asubuhi ni sifa sio jina lake.

Kama unakataa kuwa Lucifer sio sifa ni jina. Ina maana wale malaika wote walioongelewa kwenye Job 38:7 wana jina moja nyota ya asubuhi.
Yesu nae anajina nyota ya asubuhi, simba wa kabila la yuda,
Shetani nae anaitwa nyota ya asubuhi.
Huoni hiyo nyota ya asubuhi ni sifa waliyopewa? Maana kila mmoja ana jina lake.

Wewe unaitwa let the caged bird sings lakini unaweza pewa sifa kama mwelevu, msomi nk. Je kuitwa msomi au mwelevu ni jina au sifa?
Hukunielewa kabisa,ebu rudia kunisoma.
Nimesema" si jambo la kujadilika kuwa Lucifer si jina".
So,nimeandika kwa kuzia kuwa kuwa Lucifer si jina.
Rudia kunisoma.
Na sijasema umesingle out malaika,ni mimi ndiyo nimetoa angalizo ilo kuwa tusijadili kwa kusingle out malaika wengine wanaoitwa nyota ya asubuhi.
 
  • Thanks
Reactions: 511
According to the holy Bible

In Genesis 6 we learn that the primary cause of the flood was the emergence of a new, insidious threat to God's plan of redemption. Fallen angels, called "sons of God" (ben Elohim) in Genesis 6, were taking women, called "daughters of men," for sexual relationships. The result of these unions were a grotesque being scripture calls Nephilim. The Nephilim were giants, people who were grossly distorted by their unnatural origins.

Gen. 6:1 Now it came about, when men began to multiply on the face of the land, and daughters were born to them,
Gen. 6:2 that the sons of God saw that the daughters of men were beautiful; and they took wives for themselves, whomever they chose.

Gen. 6:4 The Nephilim were on the earth in those days, and also afterward, when the sons of God came in to the daughters of men, and they bore children to them. Those were the mighty men who were of old, men of renown.

Satan instigated this plan hoping to polute the human "seed" to stop God's plan to bring forth a Messiah, the Seed, promised to come one day and destroy (i.e., bruise) Satan:

Gen. 3:15: And I will put enmity
Between you and the woman,
And between your seed and her seed;
He shall bruise you on the head,
And you shall bruise him on the heel.”

Clearly, the Lord could not stand by and allow such an attempt to succeed. Peter also refers to this occasion in his second letter in explaining the Lord's response:

2Pet. 2:4 For if God did not spare angels when they sinned, but cast them into hell and committed them to pits of darkness, reserved for judgment;
2Pet. 2:5 and did not spare the ancient world, but preserved Noah, a preacher of righteousness, with seven others, when He brought a flood upon the world of the ungodly;

The Lord punished the demons and destroyed the fruit of their evil labors. Clearly, the act of mating happened, and the demons involved in this sin paid a dear price, but apart from these references, we have little to help us understand how spiritual creatures can mate with physical beings. We do not know specifically how the demons impregnated women, but we do know of other circumstances when angels appear to men in the form of bodies. For example, Abraham is met by three "men" in Genesis 18:

Gen. 18:2 When he lifted up his eyes and looked, behold, three men were standing opposite him; and when he saw them, he ran from the tent door to meet them and bowed himself to the earth,

Later in the chapter, we observe these men eating with Abraham and speaking with him, yet they were not men. One was the Lord Himself and the other two were angels. So clearly, angels can take the form of men when desired.

Secondly, we know that the Holy Spirit impregnated Mary. While we're not suggesting that demons' abilities are equal to God's, nevertheless it demonstrates that Spirit and flesh can interact in ways we don't completely understand.

So although the details the cripture testifies that demons and women mated in some way to produce a race of creatures called Nephalim.
"We do not know specifically how the demons impregnated women, but we do know of other circumstances when angels appear to men in the form of bodies. For example, Abraham is met by three "men" in Genesis 18:,,"

"Later in the chapter, we observe these men eating with Abraham and speaking with him, yet they were not men. One was the Lord Himself and the other two were angels. So clearly, angels can take the form of men when desired.,,"
While we're not suggesting that demons' abilities are equal to God's, nevertheless it demonstrates that Spirit and flesh can interact in ways we don't completely understand.

1.. So clearly, angels can take the form of men when desired.
This is the form of men like but not actually men

2.Secondly, we know that the Holy Spirit impregnated Mary. While we're not suggesting that demons' abilities are equal to God's, nevertheless it demonstrates that Spirit and flesh can interact in ways we don't completely understand.

Yehova and mary they never sex to make jesus, its just the womb receive an order prepare thw flesh for your God
3. So although the details the cripture testifies that demons and women mated in some way to produce a race of creatures called Nephalim.

Mated in some ways to produce nephilim, thia show clear they mated in some ways but never like Human do, "sex"
This is mutation techology sons of God had, na ukitaka kujua hawa malaika wana uwezo mkubwa kufikiri before hivi kuna vitu waliwafundisha na arys mbalimbali hawa wanadamu.
Na mutation haikuishia kwa wanadam tu ilienda mpaka kwa viumbe wengineo sema zimewekwa kama story za kutungwaa lakin zina uwalakin
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kuna aina fulani ya watu humu wale (much knows) watakuja kuleta ujuaji hapa ili hali hili swali linaonekana kutokuwa na jibu la moja kwa moja 🤒😎

Acha niwasubiri 😤
ummy subian ni jini wa kike.
Pita mikoa ya Dar, Tanga na pwani yote,matangazo ya waganga wanaandika kirabu na majina ya kiislamu, ila sijui kwanini majini ni ya kiarabu na wanasayansi ni wazungu?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Nimedanganya nini?.
Nadhani tujifunze kusoma vitu kwa ufahamu na asili yake.
Hato mabano uliyoweka si maneno ya Quran.
Mimi nimesoma Quran yenyewe kavu,imesema" aliyekuwa adui wa Jibril ndiye aliyeishusha quran".
Wewe umeleta andiko na kupachika maneno.
So,hadi sasa hujaonyesha kile unakiita uongo.
Kuna alama ya mkato, mbona unaunganisha sentensi mbili tofauti ili kupotosha maana?
 
Isome Quran kwa kiarabu utaona kuna neno "fainnahu"...."nazzalahu"....hii suffix "hu" inamrejea aliyezungumziwa mwanzo ambaye ni Jibril".

Isome lugha vizuri ili uache upotoshaji wa kijinga. Hata waarabu wakristo watakucheka kwa ujuha wako
 
Alama ya mkato haimaanishi msemaji amemqliza kusema,inamaanisha sentence bado inaendelea.
Nb
Umeleta aya moja katika lugha 3 tofauti.
Kiarabu,kiingereza na kiswahili.
Ile ya lugha kiingereza katika mabano haina Neno Jibril(mabano yapo empty)ila hii ya kiswahili ukapachika neno/jina Jibril ili kuleta maana unayoitaka wewe.
Usidanganye ukajikuta unapata dhambi bure hata kwa Mungu unaemuabudu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240503_124917.jpg
    Screenshot_20240503_124917.jpg
    242 KB · Views: 5
  • Thanks
Reactions: 511
Hukunielewa kabisa,ebu rudia kunisoma.
Nimesema" si jambo la kujadilika kuwa Lucifer si jina".
So,nimeandika kwa kuzia kuwa kuwa Lucifer si jina.
Rudia kunisoma.
Na sijasema umesingle out malaika,ni mimi ndiyo nimetoa angalizo ilo kuwa tusijadili kwa kusingle out malaika wengine wanaoitwa nyota ya asubuhi.
Ok. Kama unakubali Lucifer sio jina ni sifa, no problem at all.
 
"We do not know specifically how the demons impregnated women, but we do know of other circumstances when angels appear to men in the form of bodies. For example, Abraham is met by three "men" in Genesis 18:,,"

"Later in the chapter, we observe these men eating with Abraham and speaking with him, yet they were not men. One was the Lord Himself and the other two were angels. So clearly, angels can take the form of men when desired.,,"
While we're not suggesting that demons' abilities are equal to God's, nevertheless it demonstrates that Spirit and flesh can interact in ways we don't completely understand.

1.. So clearly, angels can take the form of men when desired.
This is the form of men like but not actually men

2.Secondly, we know that the Holy Spirit impregnated Mary. While we're not suggesting that demons' abilities are equal to God's, nevertheless it demonstrates that Spirit and flesh can interact in ways we don't completely understand.

Yehova and mary they never sex to make jesus, its just the womb receive an order prepare thw flesh for your God
3. So although the details the cripture testifies that demons and women mated in some way to produce a race of creatures called Nephalim.

Mated in some ways to produce nephilim, thia show clear they mated in some ways but never like Human do, "sex"
This is mutation techology sons of God had, na ukitaka kujua hawa malaika wana uwezo mkubwa kufikiri before hivi kuna vitu waliwafundisha na arys mbalimbali hawa wanadamu.
Na mutation haikuishia kwa wanadam tu ilienda mpaka kwa viumbe wengineo sema zimewekwa kama story za kutungwaa lakin zina uwalakin
Hiyo nimekujibu kulingana na biblia.
Utaniruhusu nikupe mtazamo mwingine wa ki theologia?
 
Isome Quran kwa kiarabu utaona kuna neno "fainnahu"...."nazzalahu"....hii suffix "hu" inamrejea aliyezungumziwa mwanzo ambaye ni Jibril".

Isome lugha vizuri ili uache upotoshaji wa kijinga. Hata waarabu wakristo watakucheka kwa ujuha wako
Chief, Quran zote zilizotafsiri kutoka lugha mama zimetafsiri na wanazuoni wakubwa.
Hiyo aya kwa kiarabu inasema kitu kile kile.
Mengine haya ni ubishi tu
 
Back
Top Bottom