Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc

Kwanini?
Nadhani elimu yako ni ndogo, hao malaika huitwa Jibreel(Gabriel), Israail (Israel mtoa roho), Mikail (Michael) hata kiarabu kina majina ya malaika.

Majina ya kitu inategemea aliyekufuundisha elimu husika anawaitaje.
Mfano, kuna kitu kimoja kinaitwa Solomon's Seal waarabu wanaita Khatam Sulaiman..........wazungu wanaita hivyo na wanaitumia katika mambo yao. Ni michoro fulani hivi isiyoeleweka.

Vitu kama talasimu (neno la kiarabu) kiingereza huitwa talisman.
Hizi elimu zote huku Waafrica tumeletewa, inategemea nani amekufikishia. Lugha sio ishu.
 
Waanzilishi wa Majini Ni WAARABU hapo kabla!
Kipindi kabla ya Uislamu hakukuwa na Neno Jini lililofahamika mpaka Kipindi cha Mtume ambapo ilikuwa Hadithi ama Aya ama maelekezo kuwa Kizazi cha kwanza kuumbwa kilikuwa ni kizazi cha majini
Wale yesu aliwafukuzia kwa nguruwe wakaingia baharini walikuwa wasukuma sio majini kumbe humu kuna watu akili hawana
 
Biblia Ni hadithi za Waebrania kuhusu Mungu wa Waebrania..

Kwa kukueleza Zaidi Waebrania walianza Lini..
Baada ya Gharika Ya dunia Nzima Walibaki watu Nane Duniani..

Wakiwemo watoto watatu wa Nuhu ambao ni Shem, Ham na Yafeth..

Na hao Ndo Dunia Yote kwa Mujibu wa Biblia..

  • Watoto wa Hamu ni Kushi (Ethiopia na waafrika wengine) Misri, na Putu, na Kanaani..
  • Shem ndo alimzaa Eberi...
SAsa Huyo Eberi ndo uzao wa Ebrani wote Duniani na hapo ndo wakapatikana wayahudi na makabila 12 ya Israel..

na kupitia makabila Hayo ndo Tukapata Kujua Hadithi/Story za Malaika na Biblia Kuandikwa..

Umeanielewa??
Kwanini Neno kipi Kilianza Nitakujibu Kuw Walianza waebrania Ambao ndiyo waliandika Habari kwenye Biblia
Kama uzao wa binadamu chanzo chake ni Nuhu mbona unawakataa waparestina wao hawakuumbwa?. Pia jina bible lilianza kutumiwa na kanisa katoliki baada ya kukukusanya maandiko mbalimbali waliyoyachagua nakuyaweka pamoja
 
Umesoma vizuri ulichokiandika au mimi ndio sielewi?
 
Hizo ni lugha tu, ni kama mtu aseme Grace halafu aulize kwa kiswahili ni nini na mtu amjibu ni Neema
Makata, Gabriel etc yote yana maana kwa kiswahili
Shida imekuja Waafrika tunapenda kutumia vya watu kuliko vyetu

Muhimu ni Basata watupe kiswahili chake, hizo ni lugha za kiingereza na Kiarabu kiswahili chake hakiwezi kukosekana
Ni BAKITA sio BASATA last born
 
Waanzilishi wa Majini Ni WAARABU hapo kabla!
Kipindi kabla ya Uislamu hakukuwa na Neno Jini lililofahamika mpaka Kipindi cha Mtume ambapo ilikuwa Hadithi ama Aya ama maelekezo kuwa Kizazi cha kwanza kuumbwa kilikuwa ni kizazi cha majini
Waanzilishi, kwa namna gani?
 
Ukiwa na akili timamu, wala hutakaa uufikirie upuuzi wa kitabu cha biblia wala quran. Ni ujinga mwingi mno ulioandikwa humo kwa mtu unayefikiria ipasavyo.

Kuna jamaa kwenye ukurasa wa kwanza anasema kulitokea gharika dunia nzima wakapona watu wanane tu.

Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi nisimulia upumbavu huo nikakusikiliza tu
 
Yah na hiki ndicho ninakifaham kwa uchache . Hiz stori ni za wajuaji ndio wamezi craft. Na hata ukitafuta kujua essence yake, unakosa kabisa.
Mfano utakutana na stori za mwanamke wa kwanza kuubwa ni Lilith na sio Eve, sasa unajijliza how come hakujawah kuwa na records zake katika gospels au books laws au books of prophecy ambazo zinamgusia japo kidogo, why???

Kwann iwe kwenye hizo vitabu zingine tu?
Unaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa
Source ya biblia ni Tanakh ya kiyahudi au Jewish Bible.
Itafute uisome halafu uje hapa ukosoe kuwa vitabu vya biblia haviko kwenye Tanakh.
Kupata ufahamu zaidi tafuta kujua sababu ya kuanzishwa kwa RC ambao ndio walitafsiri hiyo bible unayotumia kutoka Tanakh. Ukivijua hivyo utajua ukweli. RC walichofanya ni kuchagua vitabu walivyotaka na kuacha walivyoona haviko sawa kulingana na lengo lao.

Hivi mroma anajua ukweli kuliko Myahudi alieongelewa kwenye hayo maandiko? Na vizazi vyao ndivyo vimeyatunza mpaka yalipochukuliwa na warumi na kutafsiriwa na Jerome, leo hii alietafsiri yuko sahihi kuliko source 😅

Mbona hushangai RC kuwa na vitabu 72 na Martin akavipunguza mpaka 66?
Biblia ilichuchwa kupata yale tu wayapendayo kwa malengo yao.
Screenshot_20240503-093954~2.png
 
Yah ingawa ndio hivyo hawawez kututhibitishia kwa facts tuamini na sisi pia haruwez kuwakatalia kwa vithibitisho inabaki kila mtu na kile anachokiamini
Duuh
Sasa mtu uliechukua maelezo kwake, halafu unamchallenge kuwa maelezo yake hayana uthibitisho ila ulichoandika kutokana na maelezo yake ndicho kina uthibitisho 🙌
 
Katika biblia Shetan kaitwa Nyota ya asubuhi na Yesu pia anajiita Nyota alfajiri.
Alfajiri na Asubuhi si kitu moja.
Isaya 14:12
SUV Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

AMP How have you fallen from heaven, O light-bringer and daystar, son of the morning! How you have been cut down to the ground, you who weakened and laid low the nations [O blasphemous, satanic king of Babylon!]

KJV How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!g

KJV ametumia neno LUCIFER na version zingine wametumia neno NYOTA YA ALFAJIRI. Maana yake Lucifer tafsiri yake ni Nyota ya Asubuhi. Biblia tunazotumia zimetokana na KJV's

Mtafsiri wa kiswahili ndie alitofautisha NYOTA YA ASUBUHI NA NYOTA YA ALFAJIRI kutokana na ufinyu wa msamiati aliokuwa nao.
Ukisoma biblia ya kiswahili pekee, kuna mikanganyiko mingi kutokana na tafsiri lakini soma na version ya kiingereza utaona utofauti.
NB Biblia ya kiswahili (SUV) imetokana na biblia ya kiingereza (KJV)
 
Kuna uwezekano mkubwa verse ya isaya ilikuwa inamuongelea Mfalme wa Babylon.
So far isaya anaongelea mwana wa nyota ya Asubuhi,si nyota ya Asubuhi. Yesu ndiye anajiita nyota ya Asubuhi wakati andiko la Isaya linaongelea Mwana wa Asubuhi.
Kwa mjibu wa biblia kupitia Neno(Yesu) vitu vyote viliumbwa include Satan As well.
Lakini kama nilivyotangulia kusema hapo juu wajuzi wanasema hiyo verse ilikuwa inamuongelea mfalme wa Babeli.
 
Kama uzao wa binadamu chanzo chake ni Nuhu mbona unawakataa waparestina wao hawakuumbwa?. Pia jina bible lilianza kutumiwa na kanisa katoliki baada ya kukukusanya maandiko mbalimbali waliyoyachagua nakuyaweka pamoja
Kuna Sehemu Nimewakataa Wapalestina Kuwa hawakuumbwa???
Mkuu nionyeshe..
Biblia imetumika tangu zamani na ilikuwa ikiitwa Chuo Cha manabii Na sio Biblia..
Yesu Mwenyewe Alisoma Chuo cha Nabii isaya
 
Kuna uwezekano mkubwa verse ya isaya ilikuwa inamuongelea Mfalme wa Babylon.
So far isaya anaongelea mwana wa nyota ya Asubuhi,si nyota ya Asubuhi. Yesu ndiye anajiita nyota ya Asubuhi wakati andiko la Isaya linaongelea Mwana wa Asubuhi.
Kwa mjibu wa biblia kupitia Neno(Yesu) vitu vyote viliumbwa include Satan As well.
Lakini kama nilivyotangulia kusema hapo juu wajuzi wanasema hiyo verse ilikuwa inamuongelea mfalme wa Babeli.
Kabla ya kujibu hilo la babeli.

Nimeweka hayo maandiko kukuonyesha kuwa Lucifer sio jina ni sifa. Maana yake ni nyota ya asubuhi. Kama Yesu anaitwa Nyota ya asubuhi, iweje na Shetani aitwe Lucifer Wakati maana ya Lucifer ni Nyota ya asubuhi?

Lucifer ni sifa sio jina ndio maana hata Yesu anaitwa Nyota y asubuhi ambayo ni Lucifer.

Kuhusu babel. Nitaweka kwa Kiingereza ili kuondoa utata, maana kuna maneno ya kiingereza yana maana tofauti lakini hayo hayo maneno kwa Kiswahili yana maana moja. Mfano shiny na bright (nitatumia Lucifer kama jina ndivyo ilivyotumiwa kwenye biblia)

Lucifer is a transliteration of the Hebrew word Helel which means Lucent, Shiny or sometimes Bright. (kiswahili cha shiny na bright ni ng'aa, haina tofauti)

The full name (prase) is Helel ben Shachar which means Shining one, Son of the Morning. So how do we get Lucifer from Helel?

Chanzo chake
Shahar (Shachar) and Shalim were two deities from the Urgarit (Canaanite religion) pantheon, one representing Dawn and the other representing Dusk.

In Greek mythology, they were known as Phosphorus (morning star) and Hesperus (evening star), and they were both a representation of the planet Venus rising and setting, both in the east at dawn and in the west at dusk. It's my guess that they're a early depiction of a day, and where it begins and ends.

The naming of phosphorus in Latin is Luciferus and Hesperus in Latin is Vesperus, which is how we get the word Lucifer (and Vesper) from Helel.

Did Lucifer serve as the King of Babylon?

Nabonidus, the Babylonian king during the fall of Babylon, as mentioned in the book of Isiah 14:12, was in charge of Babylon with his son Belshazzar. In 539 BCE, Babylon was conquered by the Persian King Cyrus the Great.

Cyrus found the presence of foreign exiles (prisoners and war captives) in Babylon such as the Jews distasteful and one of his first acts was to allow these exiles to return to their homelands and were made to take with them the images of their gods, their “sacred vessels” and much of their personal belongings.

And so ended the exile of the Jews in Babylon.

This passage pertains to the former Babylonian King Nabonidus...

Lucifer, son of the morning, how have you fallen from the heavens? You, the one who weakened nations, have been cut down to the ground!

The creation was meant to mock the previous Babylonian ruler, who was also a 'God King'. Therefore, it is absolutely true that 'Lucifer' was the king of Babylon.

Satan is famous for convincing people that he doesn't exist. He's also adept at concealing his true name and making them believe he's someone else.

I hope that helps, Digest well 🙏
 
Najua Unazungumzia Nini so Realm ya Kuzimu Ni 5th Dimension Anticlockwise au Ni 5th dimension Kushuka Chini...
Sefirat?
Kwa uelewa wangu kuzimu ni 1 Dimension kushuka chini, ninjee yaipaka ya earth realm kabisaa
 
Back
Top Bottom