Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Yaani waafrika tulishawezwa huwezi kukuta waarabu au wazungu wakajadili mambo haya lakini sisi Kila wakati kazi yetu ni kujadili yaliyoletwa na mwarabu vs yaliyoletwa na mzungu upuuzi mtupu
 
Waarabu wanafuga majini
 
Haya nipe namba yako nataka hilo jini tupate pesa sasa, tumechoka na haya maisha!!.
utajuta, achana na hizo habari. mwisho wa siku jini litakutoa wewe mwenyewe kuwa sadaka baada ya kukuonyesha mapichapicha ya kutosha
 
Kuna sehemu wanasema ametajwa kwenye kitabu Cha Ayubu ndio Niko hapa nimetulia nachimbua Hadi nimpate,
siyo kwamba ametajwa kwenye kitabu cha Ayubu, bali kwamba ni yule shetani aliyeenda kumtengenezea zengwe Ayubu na kumletea majaribu,na hizo story zipo kwenye kitabu cha Ayubu
 
kwenye biblia haina maelezo mengi ya majini. labda toka kwenye sources zingine
 
Reactions: 511
🤣🤣🤣🤣
 
Waanzilishi wa Majini Ni WAARABU hapo kabla!
Kipindi kabla ya Uislamu hakukuwa na Neno Jini lililofahamika mpaka Kipindi cha Mtume ambapo ilikuwa Hadithi ama Aya ama maelekezo kuwa Kizazi cha kwanza kuumbwa kilikuwa ni kizazi cha majini
Mkuu ungezungumzia mambo ya afya ingetosha.
 
ila kweli we mfano ukute jini linaitwa jini Depal au jini Numbisa hata haiji!.. jina la jini linatakiwa liwe na tashtwitwi mfano jini maimuna,ukizubaa tu linakumung'unya!..😂
 
Wanefili wanaelezewa katika Biblia kwa njia hii:

Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.

— Mwanzo 6:4 (Biblia Takatifu)

Kulingana na mafundisho ya utawala wa kidunia wa mwanadamu, Mungu aliwapa wanadamu mamlaka aliyowakabidhi katika sayari hii. Mungu alimuumba mwanadamu tu kama kiumbe chenye nyama na nafsi. Wanatheolojia wengi wanaamini kwamba mapepo ni malaika walioanguka na nafsi au roho lakini hawana mwili . Wanyama wana mwili na akili, lakini hakuna nafsi au roho ya milele. Kwa mfano wa Mungu, mwanadamu ameumbwa kwa namna ya pekee kama kiumbe cha utatu, kinachojumuisha roho, nafsi (akili, mapenzi, na hisia), na mwili wake.

Mungu alimpa mwanadamu uwezo wa kutawala duniani kama mtawala wake kwa sababu alimuumba kwa mfano wake kama kiumbe cha utatu. Chini ya Mungu, ni mwanadamu tu aliyeumbwa kwa mavumbi ya ardhi ndiye anayeweza kumiliki mamlaka. Biblia haionyeshi kwamba roho waovu wanaweza kuchukua mwili, na hakuna uthibitisho wa hilo. Malaika, wawe wa mbinguni au walioanguka, wanaweza kuonekana katika umbo la kibinadamu, lakini bado ni viumbe wa roho, kama tujuavyo.

Katika mstari wa 24, Mungu anasema katika Mwanzo sura ya kwanza kwamba dunia inapaswa kutokeza viumbe hai kulingana na ‘aina’ zao. Samaki haruhusiwi kuzaliana na ndege. Haiwezekani kwa wanadamu kuzaana na wanyama au mapepo. Aina zote za viumbe duniani zina mifumo yao ya kipekee ya kuzaliana.

Biblia katika kifungu inasema,

Wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri…

Ben elohim ni neno la Kiebrania linalomaanisha 'wana wa Mungu', ambalo ni tafsiri halisi ya 'wana wa Mungu'. “Wana wa Mungusi malaika (au roho waovu) kama wengine wanavyofikiri. Wazao wa Sethi walikuwa wale walioweka imani katika Mungu aliye hai (wana wa Mungu) , wakati “binti za wanadamu” walikuwa ni wazao wa Kaini.

Maelezo ya Luka kuhusu nasaba ya Yesu yanafunua hili:

Luka 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²³ Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

³⁸ wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.

Pia tunajua kutoka kwa Yesu mwenyewe kwamba malaika hawaoi (Mathayo 22:30, Marko 12:25).

Taswira ya Luka inaenea zaidi ya hapo:
Luka 20 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³⁴ Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa;
³⁵ lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi;
³⁶ wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.

Kwa kiswahili naona kama hatutapata maana halisi

The speculation that angels had sexual intercourse with women seems to revolve around the word “Nephilim”. Genesis 6:4 in the NASB says “The Nephilim were on the earth in those days, and also afterward, when the sons of God came in to the daughters of men, and they bore children to them. Those were the mighty men who were of old, men of renown.”

“Nephilim” comes from a Hebrew word that can be translated as “those that cause others to fall down” or “the fallen ones”. The assumption is that “Nephilim” is a race of giants that are the offspring of angels and human. BUT

The word “Nephilim” appears again in Numbers 13. If the “Nephilim” were only the product of angels with humans then why do we see them again 2,000 years after they were all destroyed by the Flood?

“Nephilim” is NOT a race of giants, it’s just the Bible word for giants. There is nothing special or unique about the Nephilim other than the fact that they were giant men who could fight. 1You can think of Goliath the Philistine, who fought David and measured over 9′ tall, as a “Nephilim”. But no Bible scholar would consider him a descendant of fallen angels. He was just a brute human who could fight.

What about Job 1:6? Now there was a day when the sons of God came to present themselves before the Lord, and Satan also came among them.

This verse has been interpreted to mean that “angels” are the “sons of Godbecause who else would present themselves before God? BUT

Job 38:4, 7 says: Where were you when I laid the foundation of the earth? Tell Me, if you have understanding, . . . when the morning stars sang together, and all the sons of God shouted for joy?

In the passage above, God is speaking to Job directly. Notice how God makes a distinction betweenthe morning stars” and the “sons of God”.

We know that Satan was called “Lucifer, Son of the Morning” (Isaiah 14:12) so we can safely say that “the morning stars” are angels. But who are the sons of God?


The Bible does NOT explain this directly but it hints at beings from unfallen worlds who did not disobey God after the manner of Adam. Think of them as the “Adams” of other worlds who never sinned. Had Adam been obedient to God, he too would have been able to join that heavenly council in Job 1 and 2.

When Adam sinned, he forfeited his spot in the Heavenly Council to Satan.

This is why in Job 1 and 2, God tells Satan about Job (a human) and his faithfulness. It is as if God were saying to Satan, “look at Job, he is more worthy to be here than you because He is obedient to My word.” Basically God was calling Job “a son of God.

Deuteronomy 32:8 : When the Most High gave to the nations their inheritance, when he separated the sons of men, he fixed the bounds of the peoples according to the number of the sons of God. (Revised Standard Version)

The language is similar in Hebrew to that used in Genesis 6 when it spoke of the “sons of God” and “daughters of men”.

To recap:

The “sons of God” are HUMANS who are obedient to God and follow His commandments. FOR THIS VERY REASON Jesus came to earth. John 1:12–13 says

But as many as received [Jesus], to them gave he power to become the sons of God, even to them that believe on his name: Which were born, not of blood, nor of the will of the flesh, nor of the will of man, but of God.

Sons of men and sons of God were a distinction between men who accepted God and were His followers (sons of God) and those who did not accept and follow God (sons of men or daughters of men) .
 
Umewahi Kuwasikiliza?
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini na Wanawachukia Sana wakristo na wanawatupia lawama fulani na Wanawachukia zaidi Waislamu kwa Kuleta Miungu ya Kigeni...
Ulishakuwa Judaism!

Mwaka 2011 ukasilimu!

Na inaonekana unao ufahamu wa Kikristo!

Wewe ni dini gani kwa sasa?
 
Mkuu ungezungumzia mambo ya afya ingetosha.
MImi Ni msomi wa Theolojia Pia Mkuu..
theolojia ya Dini ya Kikristo na Theolojia ya Dini ya Kiyahudi na kidogo Elimu ya Dini ya Kiislamu..
So ka.a una swali nakukaribisha..

Na kabla ya kuanza kutoa Msaada wa Afya Humu Jf nilikuwa Natoa Msaada wa Kitheolojia
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…