Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Kama huyu jini Hidaya anayeleta maafa weekend hii, na yeye jina lake ni la kiarabu according to gugo.

 
So elimu ya dini ya kiislamu ndio imekufunza kuwa majini wameanzishwa na waarabu?!.
 
Umewahi kutana na malaika na majini wapi ukawauliza majina yao au ndiyo umesoma kwenye vitabu vinavyoitwa vitakatifu?
 
Yapo mapepo ya kienyeji - sema weye huyajui...
 
Kabla ya Dini ya Kiislamu na kabla ya Kujua Arabs Unaweza Kuniambia neno Djini au Jini ilifahamika wapi??
Uislamu ndio dini aliyokuwa juu yake mtu wa kwanza na nabii wa kwanza aadam amani iwe juu yake, na kesi yake na kula mti aliokatazwa kwa ushawishi wa jini aliyeasi ambaye ni shetani bila shaka unaifahamu, kwasababu umesema unasoma theolojia, unataka kuniambia hujui kuwa shetani ni jini?.
 
Hahaha🤣🤣🤣 Ummy anapenda sana kukaa uchi, ila akiwa Msikitini anakuwa Mtulivu sana
 
Kwahiyo Adam alisilimu na kushuhudia kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na akamkiri Mtume Muhammad (SAW) kuwa ndio mtume wa mwisho wa Mungu
 
Ulielewa Nilichokiandika mwanzoni?
Nilisema kwamba Hadithi Aya na Sura kuhushlu Majini, Ufahamu wake Na Jinsi walivyo Uumbaji wake..na Wanavyoishi..

Imekuja baada ya Mtume Muhamadi (S.a.w) kuja Hapo kabla hakukuwa na Hadithi ,Maelezo au Masimulizi ya kina kuhsu Majini
 
Okay but Malaika inaonekana wapogo tu kabla hata ya kuumbwa Adam, hao Akina mikaeli, gabriel, lucifa woote walikuepo kabla ya stori za waebrania hazijaanza, hapo unasemaje Dokta?
Majini yalisilimu na kuwa MAislamu. kati ya waumini wa kwanza kabisa wa dini ya kiislamu walikuwa ni majini walisema wameipenda hii dini ya kumuabudu mungu wao.
 
Kwahiyo Adam alisilimu na kushuhudia kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na akamkiri Mtume Muhammad (SAW) kuwa ndio mtume wa mwisho wa Mungu
Yani Adam binadamu wa kwanza, amkiri mtume binadamu wa juzi tu, hili linahitaji uwe na kaswende ya ubongo kuliamini na kulielewa.

Yani maana yake wewe ulizaliwa kabla ya baba yako.
 
Unapewa jina kuendana na anayekumiliki. Majini ni mila za waislamu na mambo ya malaika ni mila za West
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…