Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Leta ushahidi wenye mashikoMajini yalisilimu na kuwa MAislamu. kati ya waumini wa kwanza kabisa wa dini ya kiislamu walikuwa ni majini walisema wameipenda hii dini ya kumuabudu mungu wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi wenye mashikoMajini yalisilimu na kuwa MAislamu. kati ya waumini wa kwanza kabisa wa dini ya kiislamu walikuwa ni majini walisema wameipenda hii dini ya kumuabudu mungu wao.
Leta ushahidi wenye mashiko
Kwa Hiyo hayo maneno 👆 ndio ushahidi?Suuratul jinn
1,2. Ewe Muhammad! Waambie watu wako: Nimepata wahyi kwamba kikundi cha majini kimesikia kusoma kwangu Qur'ani, nao wakawaambia wenzao: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya namna ya peke yake, hatujapata kusikia mfano wake kabla yake, inaitia kwenye uwongofu na usawa. Kwa hivyo tumeiamini hiyo Qur'ani tuliyo isikia; na kabisa hatutamshirikisha Mola wetu Mlezi aliye tuumba na kutulea na chochote katika waja wake.
Asubuhi ukienda kawaulize msikitiniKwa Hiyo hayo maneno 👆 ndio ushahidi?
Tunataka ushahidi wa majini wenyewe ili kujiridhisha sawa mkuu
Wajini yako misikitiniAsubuhi ukienda kawaulize msikitini
YesWajini yako misikitini
Kwa Hiyo hayo maneno 👆 ndio ushahidi?
Tunataka ushahidi wa majini wenyewe ili kujiridhisha sawa mkuu
Okay 😊,Suurati jinn inaendelea. Kwenye Quran yana sura yao kabisa. Hapa yanasema......
* 13. Na hakika sisi tulipo isikia Qur'ani tuliiamini. Na mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi hachelei kupunguziwa chochote katika mema yake, wala kudhulumiwa kwa kuzidishiwa maovu yake.
* 14. Na hakika kati yetu wapo Waislamu wenye kuikubali Haki, na miongoni mwetu wapo wenye kuiacha njia ya uwongofu. Basi wenye kusilimu hao wameifuata njia ya Haki, na ni wenye kufanya jitihada katika kuikhiari njia hiyo.
Okay 😊,
Je wewe ulisha Wai kuwaona majini yakiswali hapo msikitini?
Ukiingia msikitini lazima uyasilimie ya kushoto na ya kulia.Okay 😊,
Je wewe ulisha Wai kuwaona majini yakiswali hapo msikitini?
Mmetohoa kutoka kwenye Kingerrza Na hata Uislamu ulianzishwa Na kanisa KatolikiWacha uwongo
Gabriel - جبريل (Jibril)
Michael - ميخائيل (Mikha'il)
Raphael - رافائيل (Rafā'īl)
FaizaFoxy hebu njoo huki
Ningeshtuka ingekuwa ni mashetani.Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc
Kwanini?
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc
Kwanini?
Unaona hlina "jibu la moja kwa moja" kwa kuwa halijaulizwa "moja kwa moja".Kuna aina fulani ya watu humu wale (much knows) watakuja kuleta ujuaji hapa ili hali hili swali linaonekana kutokuwa na jibu la moja kwa moja 🤒😎
Acha niwasubiri 😤
Hapo umechanganya madawa, Wayahudi wengi Wapalestina.Kwann yawe ya kiyahud na sio ya kipalestina?
Malaika hawana majina Ya kizungu ila Ni Majina ya Kiyahudi na Majinu yameanza kufahamika Story zake kutoka kwa Waarabu so Kabla ya Hapo hakukuwa na Story za MAJINI...
KWAHYO WAANZILISHI WA Story za Malaika ni wayahudi na ndo maana Malaika wana majina ya kitahudi na WAANZILISHI WA MAJINA YA Majini ni WAARABU ndo maana wana majina ya Kiarabu
Mbona hata neno "malaika" ulilolitumia ni la Kiarabu?Palestina Imetokana na Jina Philistine au Wafiliti wafilisti hawakuwa Miongoni mwa Waebrania..
Na majina ya Malaika,Biblia Na theology imetoka kwa Waebrania