Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Okay but Malaika inaonekana wapogo tu kabla hata ya kuumbwa Adam, hao Akina mikaeli, gabriel, lucifa woote walikuepo kabla ya stori za waebrania hazijaanza, hapo unasemaje Dokta?Biblia Ni hadithi za Waebrania kuhusu Mungu wa Waebrania..
Umeanielewa??
Kwanini Neno kipi Kilianza Nitakujibu Kuw Walianza waebrania Ambao ndiyo waliandika Habari kwenye Biblia