Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
OKay.Biblia haijaweka wazi malaika kaumbwa Lini..
Hakuna!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OKay.Biblia haijaweka wazi malaika kaumbwa Lini..
Hakuna!
Kama unayochief Maelezo ya Malaika Kaumbwa Luni Natamani Kujifunza With refference from the bible lakini MkuuOKay.
hayo majina ukiyatamka kiarabu yanakua kama majina ya majini kiufupi waarabu hawaaaminiki kwenye sekta ya majiniWacha uwongo
Gabriel - جبريل (Jibril)
Michael - ميخائيل (Mikha'il)
Raphael - رافائيل (Rafā'īl)
Hapana mimi nilikua natafuta kujifunza ndio maana ukaona nauliza sana. Si kwamba nilikua naku challenge, la hasha, was just curious for learningKama unayochief Maelezo ya Malaika Kaumbwa Luni Natamani Kujifunza With refference from the bible lakini Mkuu
Na miki pia maana japo sio msomaji sana wa biblical scriptures ila Jina Samael hilo sijawah kuliona mahala popoteNa Mimi ndio najua hivyo...
Pete yake inapatikana wapi?UMMY SUBIAN
ummy subian ni jini wa kike ni malkia wa jide chini ya bahari mavazi yake mekundu Pete zake nyekundu ni moja kati ya majini wakorofi akiwa kwako harafu hujatafuta Pete yake atakuadabisha huyu ummy subian yupo chini ya utawala wa sharif sultan bin daud subian ni miongoni mwa maruhaniyat wa kisharifu apa nazungumzia subian mwema kwanza jini huyu ummy subian ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan hizi ni koo kubwa za kijini zinazoelewana sana ummy subian ni miongoni mwa majini wenye cheo ujinini na Wana Mali sana wakikutunuku kitu shida utakisikia Kwa jirani tu na kama yupo Kwa mwanaume basi mwanaume huyo atakua na mvuto mkali sana Kwa wanawake ila jini uyu anapenda uwe msafi ujipende apo mtaendana arafu ukiwa wapenda nguo nyekundu utamfurahisha ummy subian ana uwezo wa kubadilika zaidi ya mara Tano mtu MWENYE jini huyu ukimkorofisha kimbia subian hapend mtu wake aonewe ni jini mwenye Mali ila mkorofi Mali zake zikitumiwa vibaya ukiwa nae huwez kosa jini kama ruhan ila ruhan yeye Mpore mara nyingi utakuta yeye anakutawala sana kuliko ruhani japo ruhani ni mkubwa Kwa subiani ruhan yeye anatoa tu amri subian anatekeleza ruhan ni kiongoz wake subian yupo Kwa ulinzi ila ruhan ni bosi mtoa amri labda itokee jambo zito apo ruhan ataingilia kutetea ila mara nyingi utakuta yeye ametulia tu anampa amli subian ukienda nao sana Kila kitu kwako kitakua mtelemko ukiona wateseka ujue wamefungwa au wanadai Pete yao ili wakutumikie na sio Kila mtu anao Kuna baadhi ya wanadamu Wana nyota Kali kiasi Cha kuwavutia Hawa viumbe mara nyingi wanakuja kwako Kwa kuvutiwa na nyota yako ili wakupe kile walichojaaliwa na muumba wao na kukuwekea ulinzi ili wanadam na majini wabaya wasikudhuru hiyo ni Pete ya ummy subian
View attachment 2978858
Haya nipe namba yako nataka hilo jini tupate pesa sasa, tumechoka na haya maisha!!.UMMY SUBIAN

Mimi pia kama wewe,sijakutana naloNa miki pia maana japo sio msomaji sana wa biblical scriptures ila Jina Samael hilo sijawah kuliona mahala popote
According to bible mkuu..Hii ni according what chief?
majina ya hao malaika kama walivyopewa na Muumba hakuna anayeyajua kwa sababu hakuna anayeijua lugha ya huko mbinguni. hayo uliyoyataja ni majina yenye maana ya kiarabu.Malaika hawana majina ya kizungu wala kiyahudi....Majina yao wamepewa na ALLAH ila wanadamu kutokana na kutofautiana lugha ndio unakuta tunawatambua kwa majina tofauti.
Mfano wazungu wanamtambua
Gabriel jina lake kwa waarabu ni JIBRIL
Azrael jina lake ni Malakul wawt
Raphael jina lake ni israfil
Michael jina lake ni Mikhail
Kuna Maalik
Ridhwaan
Munkar na Nakir
Atid
Raqib
Mayahudi ni watu waongo sana ....Wanajua fika kuwa malaika Jibreel ndie Gavriel kwasababu huyu ndiye malaika mkuu wa Mungu ambae kazi yake kubwa ilikuwa ni kushusha ufunuo kutoka kwa Mungu kuja kwa Mitume wake hapa duniani.Malaika hawana majina Ya kizungu ila Ni Majina ya Kiyahudi na Majinu yameanza kufahamika Story zake kutoka kwa Waarabu so Kabla ya Hapo hakukuwa na Story za MAJINI...
KWAHYO WAANZILISHI WA Story za Malaika ni wayahudi na ndo maana Malaika wana majina ya kitahudi na WAANZILISHI WA MAJINA YA Majini ni WAARABU ndo maana wana majina ya Kiarabu
View attachment 2978863
Kama umewahi Kusoma Angeology au Theology Hilo jina sio Geni ni Jina la shetani kipindi akiwa malaika..Na miki pia maana japo sio msomaji sana wa biblical scriptures ila Jina Samael hilo sijawah kuliona mahala popote
SIna shida na hii, i just want understand about Samael kama jina la malaika ibilisi. Maana iliyo bayana ni kwamba ibilisi hapo kabla aliitwa LuciferAccording to bible mkuu..
Lucifer=Nyota ya Asubuhi..
Hii siwezi kubaliana na wewe. Labda uniwekee refferencesEven Jesus Ni nyota ya Asubuhi
Hili pia sijui ulipolitoa labda uniwekee source ili nieleweWatakaokoka wameahidiwa Kuwa Nyota ya Asubuhi pia..
Hayo ndio majina yao halisi kwasababu Mtume Muhammad (pbuh) wakati anapewa ufunuo kwa mara ya kwanza alimuona malaika Jibreel akiwa katika umbo lake asilia akiwa na mbaya takribani 600 zikiwa zimetanda mashariki na magharibi.....na alijitambulisha kuwa jina lake ni Jibreelmajina ya hao malaika kama walivyopewa na Muumba hakuna anayeyajua kwa sababu hakuna anayeijua lugha ya huko mbinguni. hayo uliyoyataja ni majina yenye maana ya kiarabu.
Ila Siku hizi Wanapinga Sana na wanatetea Jina Wanasema haitwi Gabriel wala Jibreel anaitwa GavrielMayahudi ni watu waongo sana ....Wanajua fika kuwa malaika Jibreel ndie Gavriel kwasababu huyu ndiye malaika mkuu wa Mungu ambae kazi yake kubwa ilikuwa ni kushusha ufunuo kutoka kwa Mungu kuja kwa Mitume wake hapa duniani.
Wayahudi wameishi ndani ya mji wa madinah kwa karne kadhaa na hata Mtume Muhammad (pbuh) alipofika walimtambua na hawakuwahi kupinga juu ya jina la malaik Jibreel.
Imebidi Nika mgoogle Samael, aisee yupo.....Na miki pia maana japo sio msomaji sana wa biblical scriptures ila Jina Samael hilo sijawah kuliona mahala popote
Belzebuul ni evil spirit, satanic agency ndio maana hata Yesu kuna watu walishawah sema ana pepo wa belzebuul. Sio this is not straight reffering to Satan in personKama umewahi Kusoma Angeology au Theology Hilo jina sio Geni ni Jina la shetani kipindi akiwa malaika..
Ns lilibadilika Likawa Belzebuul Baada ya Uasi
Malaika walikuwepo kabla ya kuumbwa kwa misingi ya dunia na vyote vilivyomo! Walikuwepo wakisifu na kumtukuza Mungu.Biblia haijaweka wazi malaika kaumbwa Lini..
Hakuna!