Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Yah na hiki ndicho ninakifaham kwa uchache . Hiz stori ni za wajuaji ndio wamezi craft. Na hata ukitafuta kujua essence yake, unakosa kabisa.
Mfano utakutana na stori za mwanamke wa kwanza kuubwa ni Lilith na sio Eve, sasa unajijliza how come hakujawah kuwa na records zake katika gospels au books laws au books of prophecy ambazo zinamgusia japo kidogo, why???

Kwann iwe kwenye hizo vitabu zingine tu?
Unaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa
But wenyr Maandiko ya Biblia Wanasema Ni stiry za kweli..
Maana Biblia Imetoka kwao na Wana Talmud na Zohar wayahudi wanasema kuwa Vitabu vyao vyote Viko Sahihi ila Biblia ya wakristo haiko sahihi
 
Kupitia Andiko Mkuu..
Kwamba Walianza kuumbwa Malaika Baadae Mungu..
Biblia Inaanza na neno Bereshit' (Hapo Mwanzo w kitu chochote)..

Means hakukuwa na Kitu chochote na Ndo Maana Roho ya Mungu Ilitulia Juu ya Vilindi vya Maji
"Maana Roho ya Mungu Ilitulia Juu ya Vilindi vya Maji"
👆
Huo mstari huwa unanipa nguvu sana ya pale ninapoutimia kwenye Maombi.
Unaonesha Ukuu wa MUNGU
 
Niliwahi kuandika Hichi kitu hapa hapa Jf muda kidogo ngoja nikiandike tena..

Lucifer=Nyota ya Asubuhi=Venus=Light Bringer
Yesu =Nyota ya Asubuhi =Venus = light bringer
Archangel (Baadhi ya malaika wakuu) =Nyota za Asubuhi...

Lucifer kama Samael au Shetani mnavyoita..

Hapa hasa ndo Walipoanzia kujikita kwenye hilo jina...
Na maneno hayo yalianza kuonekana mwaka 405 AD kwenye Tafsiri ya Biblia ya Lugha ya latin au Latin vulgate baada ya Papa Damasus wa 1 ,Kumwambia Jorome atafsiri na ndiyo ilikuwa Tafsiri ya kwanza Standard ya kilatin...

Isaya 14:12
Latin vulgate origins..

"quomodo cecidisti de caelo Lucifer qui mane oriebaris corruisti in terram qui vulnerabas gentes."

Kwa kiswahili chetu cha mama samia

"Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni,
Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa
!"

Kwa Kingereza cha Anko Charles

"How art thou fallen from heaven, O Lucifer, son of the morning! how art thou cut down to the ground, which didst weaken the nations!"

Najua Wengi mnafahamu kuhusu huu upande wa Isaya naomba niwaletee upande mwingine wa Lucifer..

Yesu mwenyewe Na Confirm kwamba yeye ni Nyota ya asubuhi..

Ufunuo wa Yohana 22:16

"Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung’aa ya asubuhi.

"I Jesus have sent mine angel to testify unto you these things in the churches. I am the root and the offspring of David, and the bright and morning star"

Hold on bado Pia ameahidi kwamba kwa wale watakaofata anachoamuru na wao watapewa uwezo wa kuwa Nyota ya asubuhi (Lucifer- Kwa kilatin)

Ufunuo wa Yohana 2:28
"Nami nitampa ile nyota ya asubuhi."
"And I will give him the morning star"

Tight up your seat belt ,PopCorn and Buckle up bado naendelea..

Unakumbuka mwanzoni nilisema pia kuna group la malaika au viumbe walioko mbinguni ndo linaitwa morning stars (Lucifers)

Ayubu 38:7

"Hapo nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, Na wana wote wa Mungu walipopiga kelele kwa furaha?"

"When the morning stars sang together, and all the sons of God shouted for joy?"

Sasa ilikuaje zikaacha kuimba pamoja Sasa hapo ndo nakusihi urejee kwenye Isaya 14:12 kwamba kuna Mmoja aliasi Ndo huyo mnamuita.. shetani..

Sasa Yesu aliahidi kwenye ufunuo 2:28 kutoa nyota ya Asubuhi (Lucifer) kwa watu watakaomwamini Je mtume petro kipenzi Cha pili cha Yesu akitoka Yohana na Maria magdalena anasemaje kuhusu hilo..

Na nitaweka na Vulagate kabisa ili maana halisi ionekane

2 Petro 1:19

"Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu."

"We have also a more sure word of prophecy; whereunto ye do well that ye take heed, as unto a light that shineth in a dark place, until the day dawn, and the Morning star arise in your hearts:"

In Latin Vulgate..405 AD bible..

2 petro 1:19

"Et habemus firmiorem propheticum sermonem cui bene facitis adtendentes quasi lucernae lucenti in caliginoso loco donec dies inlucescat et lucifer oriatur in cordibus vestris."...

umenielewa????
Somehow this sound convincing but bado kuna mahala nashawishika kuamini kuna tafsiri haziko sawa sawa, linguistic complication, na hiz ni relative concepts kutokana na uelewa lakini pia language translation.

Mfano hii phrase ya
Ufunuo wa Yohana 2:28
"Nami nitampa ile nyota ya asubuhi."
"And I will give him the morning star"

Wewe umeitafsiri as "they will become the morning star" wakat wengine tutabaki na direct translation ya "they will be given..."

"to be given" doesnt specifically mean "to become"
 
But wenyr Maandiko ya Biblia Wanasema Ni stiry za kweli..
Maana Biblia Imetoka kwao na Wana Talmud na Zohar wayahudi wanasema kuwa Vitabu vyao vyote Viko Sahihi ila Biblia ya wakristo haiko sahihi
Yah ingawa ndio hivyo hawawez kututhibitishia kwa facts tuamini na sisi pia haruwez kuwakatalia kwa vithibitisho inabaki kila mtu na kile anachokiamini
 
Huu ndio uongo tusioutaka weka ushahidi wa kimaandiko haya unayoyanena.

Quran: Al-Baqarah 2:97

قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

English - Sahih International

Say, "Whoever is an enemy to Gabriel - it is [none but] he who has brought it [i.e., the Qur’ān] down upon your heart, [O Muḥammad], by permission of Allāh, confirming that which was before it and as guidance and good tidings for the believers."

Swahili -

Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo (Jibril) ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Nimedanganya nini?.
Nadhani tujifunze kusoma vitu kwa ufahamu na asili yake.
Hato mabano uliyoweka si maneno ya Quran.
Mimi nimesoma Quran yenyewe kavu,imesema" aliyekuwa adui wa Jibril ndiye aliyeishusha quran".
Wewe umeleta andiko na kupachika maneno.
So,hadi sasa hujaonyesha kile unakiita uongo.
 
Somehow this sound convincing but bado kuna mahala nashawishika kuamini kuna tafsiri haziko sawa sawa, linguistic complication, na hiz ni relative concepts kutokana na uelewa lakini pia language translation.

Mfano hii phrase ya
Ufunuo wa Yohana 2:28
"Nami nitampa ile nyota ya asubuhi."
"And I will give him the morning star"

Wewe umeitafsiri as "they will become the morning star" wakat wengine tutabaki na direct translation ya "they will be given..."

"to be given" doesnt specifically mean "to become"
Sijasema They Will become The morning star Nimesema Watapewa Morning star..

Lets assume kitu..
Hivi kwa mfano Nikikupa Mwanga Nitasema kuwa umekuwa mwanga au Umemulikiwa na mwanga niliokupa??

If He will give them Morning star means The Morning star(Lucifer) isn't a Person its Something like Cheo hivi na Sio Mtu kama yaani Becoming..
Sijui kama unanielewa Mtumishi
 
Yah ingawa ndio hivyo hawawez kututhibitishia kwa facts tuamini na sisi pia haruwez kuwakatalia kwa vithibitisho inabaki kila mtu na kile anachokiamini
Umewahi Kuwasikiliza?
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini na Wanawachukia Sana wakristo na wanawatupia lawama fulani na Wanawachukia zaidi Waislamu kwa Kuleta Miungu ya Kigeni...
 
Sijasema They Will become The morning star Nimesema Watapewa Morning star..

Lets assume kitu..
Hivi kwa mfano Nikikupa Mwanga Nitasema kuwa umekuwa mwanga au Umemulikiwa na mwanga niliokupa??

If He will give them Morning star means The Morning star(Lucifer) isn't a Person its Something like Cheo hivi na Sio Mtu kama yaani Becoming..
Sijui kama unanielewa Mtumishi
Kuna mahala kwenye post za nyuma uliiweke ika sound hivyo kwa wale wanaookolewa.
 
Umewahi Kuwasikiliza?
Mimi nimewahi kuwa Judaism So I know Jews Na wanachokiamini na Wanawachukia Sana wakristo na wanawatupia lawama fulani na Wanawachukia zaidi Waislamu kwa Kuleta Miungu ya Kigeni...
Hao watu ni watata tu kwaasili hata sio watu wa kuwachukulia serious.. sasa mtu ambaye mpaka leo anasema anasubiri ujio wa Masia huyo ni mzima kweli?
Sijawajui sana kwakwel hawa watu, hata dini yako siifaham sana
 
Lakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??

Tuanze na hapo
 
Lakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Kwa kutazama prophecy walikua na kila sababu ya kuamin ndiye waliyemngoja.
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??

Tuanze na hapo
I dont even know them. I keep my focus to the one n only prophecised! 😁
 
Back
Top Bottom