Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Malaika hawapo.

Malaika ni Fictional characters

Story za uwepo wa malaika ni sawa na stori za uwepo wa Dragons[emoji236]watemao moto midomoni.
 
Lakini kwanini uwaone kuwa wana shida kuamini kwamba Masiah bado hajaja?
Unamuamini Joseph smith na Mormons??
Au unamuamini Mtume Muhamadi??
Na kama huwaamini kwanini??

Tuanze na hapo
Unaweza kuelezea kidogo kuhusu Mormons juu ya imani yao ikoje?
 
Palestina Imetokana na Jina Philistine au Wafiliti wafilisti hawakuwa Miongoni mwa Waebrania..
Na majina ya Malaika,Biblia Na theology imetoka kwa Waebrania
Hapana mkuu, Palistine haitokani na jina Philistines.
Palestina ni eneo wakati Philistines ni ancient people waliohamia na kuishi maeneo ya pwani kusini mwa Caan. Eneo walilokuwa wakiishi ni karibu na ilipo Gaza.
Wapalestina na Wafilist hawana uhusiano wowote ule, zaidi ni kwamba Jamii ya Wafilist ilitoweka duniani.
 
Katika biblia Shetan kaitwa Nyota ya asubuhi na Yesu pia anajiita Nyota alfajiri.
Alfajiri na Asubuhi si kitu moja.
SIna shida na hii, i just want understand about Samael kama jina la malaika ibilisi. Maana iliyo bayana ni kwamba ibilisi hapo kabla aliitwa Lucifer

Hii siwezi kubaliana na wewe. Labda uniwekee refferences

Hili pia sijui ulipolitoa labda uniwekee source ili nielewe
 
According to bible mkuu..
Lucifer=Nyota ya Asubuhi..

Even Jesus Ni nyota ya Asubuhi
Watakaokoka wameahidiwa Kuwa Nyota ya Asubuhi pia..
Hakuna sehemu katika biblia Yesu anaitwa Nyota ya Asubuhi.
Katika biblia Shetan kaitwa Nyota ya Asubuhi na Yesu anajiita Nyota ya Alfajiri.
Hivi ni vitu mbili tofauti.
 
Kwa kutazama prophecy walikua na kila sababu ya kuamin ndiye waliyemngoja.
But Ukiangalia Prophecy za Agano La Kale Yesu hakutimiza hata Moja..
I dont even know them. I keep my focus to the one n only prophecised! 😁
Hahaha..
Sasa kama Huwaamini hizo Dini zingine Zilizokuja After Ukristo..

How comes Unataka wayahudi wakuamini wewe Mkristo 😅😅
 
Hapana mkuu, Palistine haitokani na jina Philistines.
Palestina ni eneo wakati Philistines ni ancient people waliohamia na kuishi maeneo ya pwani kusini mwa Caan. Eneo walilokuwa wakiishi ni karibu na ilipo Gaza.
Wapalestina na Wafilist hawana uhusiano wowote ule, zaidi ni kwamba Jamii ya Wafilist ilitoweka duniani.
Mkuu samahani Unajua Kihebrania??
Unajua Kiarabu??
Tuachane na Kingereza ulichoambiwa neno palestine..

Ukienda kwa Waarabu wanawaita wapalestine Philistine na hata Wayahudi wanawaita Philistine Au wafilisti wewe Ulichochanganywa ni Kingereza yaani jina hilo kubadilishwa kwa kingereza kati yako na Wayahudi nani ametunza story sana
 
Ungefuata Imani za Mababu zako na sio hizi za kufikia nadhani Mizimu ingekuwa na Majina ya Ki-Africa... kama Miungu mbalimbali kule Ugiriki ina majina ya Kigiriki....
 
Mkuu samahani Unajua Kihebrania??
Unajua Kiarabu??
Tuachane na Kingereza ulichoambiwa neno palestine..

Ukienda kwa Waarabu wanawaita wapalestine Philistine na hata Wayahudi wanawaita Philistine Au wafilisti wewe Ulichochanganywa ni Kingereza yaani jina hilo kubadilishwa kwa kingereza kati yako na Wayahudi nani ametunza story sana
Hapana mkuu, sijazingatia matumizi ya lugha kabisa. Nimejikita katika historia na tamaduni. Katika Lugha wanaweza wakawaita hivyo tu sababu labda waliwaona ni rivals kama wale wengine., ila mimi nimejikita zaidi kwenye historia ya wawili hao.
 
Back
Top Bottom