Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Wazungu hawakuwepo mashariki ya kati wala kushushiwa mtume inakuwaje malaika wawe na majina ya kizungu? Wazungu wamechakachua.
 
Wazungu hawakuwepo mashariki ya kati wala kushushiwa mtume inakuwaje malaika wawe na majina ya kizungu? Wazungu wamechakachua.

Hamna majina ya kizungu hata mtume mweny jina la kizungu ni ubadili wengi majina yanatoka mashsiriki ya kati .
 
Hakuna malaika anaitwa Gabriel, Wala Gadiel wala Rafael

Kuna Jibril, Israfil, Malakul Arsh, Munkar, Nakiir, Raqiib, Atiid Etc

Hao kina Gabriel ni malaika wa yule mungu mfu aliekufa kabla ya viumbe wake, tena kafa kwasababu ya dhambi za viumbe wake.
 
Kwa kutazama prophecy walikua na kila sababu ya kuamin ndiye waliyemngoja.
Angalia Hii video Kuhusu Prophecy zao na Yesu hakuzitimiza Huyu Ni Rabbi wa Jewz anaelezea kwamba Yesu halutimiza Unabii ulioahidiwa kutimizwa ila walileta unabii mpya halafu wakautimiza ule mpya ambao haukuandikwa


I dont even know them. I keep my focus to the one n only prophecised! 😁
😅😅
 
Hapana mkuu, sijazingatia matumizi ya lugha kabisa. Nimejikita katika historia na tamaduni. Katika Lugha wanaweza wakawaita hivyo tu sababu labda waliwaona ni rivals kama wale wengine., ila mimi nimejikita zaidi kwenye historia ya wawili hao.
Hiyo ni Historia Mkuu na Imerithishwa kwa muda mrefu..
Ni sWa na Kusema tu Tanganyika na Tanzania..

Soma hapo kwenye Current name
Screenshot_20240502_143437_Chrome.jpg
 
Nipo najiuliza hapa maswl nisiyokuw na majib nayo
1.malaika anakula!?
2.malaika wanawapenzi/mke au mume
3.je kuzimu kupo wapi!?
4.shetan anamke/mume
5.dunia inasemekana inaelea je chin ya dunia kuna nn km juu tunavyoona mawingu!!?

mwenye kujua anitag ila naona kuna usiri mkubw san ktk uumbaji wa dunia
 
Nipo najiuliza hapa maswl nisiyokuw na majib nayo
1.malaika anakula!?
2.malaika wanawapenzi/mke au mume
3.je kuzimu kupo wapi!?
4.shetan anamke/mume
5.dunia inasemekana inaelea je chin ya dunia kuna nn km juu tunavyoona mawingu!!?

mwenye kujua anitag ila naona kuna usiri mkubw san ktk uumbaji wa dunia
Ukizungumzia Uumbaji wa Mungu na Ukazungumzia Dunia Inayoelea unaenda kinyume moja kwa moja..

Biblia Haisemi kama Dunia Inazunguka au Inaelea Biblia Inasema Dunia Imesimikwa na Jua ndo linazunguka Dunia pamoja na Mwezi..

Kwa Mujibu wa Biblia Malaika Wanakula Wanaweza Kuzaa na wanaweza kuoa (Rejea Story ya Manefil)..
Kwa Mujibu wa Quran Malaika hali wala hawezi kuzaa..
Kuzimu Kwa mujibu wa quran na Biblia Ni chini..

Shetani hana Mke ila kwa Mujibu wa Jews na Talmud Na Baadhi ya Hadith za Wayahudi Shetani alimuoa Lilith..
 
Back
Top Bottom