stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ndio nimerekebisha hapo umepaona alafu mboni umenenepa hivyo kipindi kifupi hiki nilichokua kifungoniNimesema uelewa wangu!
Unaruhusiwa kunikosoa na kunirekebisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nimerekebisha hapo umepaona alafu mboni umenenepa hivyo kipindi kifupi hiki nilichokua kifungoniNimesema uelewa wangu!
Unaruhusiwa kunikosoa na kunirekebisha
😂😂😂 Basi ni coincidence maana umeitaka Grace bila kujua mleta uzi nae ana kisanga ichoSijui ndiyo kwanza nasikia leo
Sasa Bujibuji Simba Nyamaume kwanini ulijiita Giresi😂
Nilikua nakuchungulia kila muda haukua kifungoniNdio nimerekebisha hapo umepaona alafu mboni umenenepa hivyo kipindi kifupi hiki nilichokua kifungoni
Sasa haya majini yanapewaje majina na binadamu kwani wao hawana tawala zao na maisha Yao, wao inakuaje wapangiwe na binadamu na kwanini wahusishwe na jamii flani tu(waislamu). Ni viumbe wanaojitambua au mazombiUislamu unaamini kuna majini walisilimu baada ya kusoma quran na ukisilimu lazima upewe jina la Kiarabu hii ndiyo maana majini wana majina ya kiarabu waliyoyachagua baada ya kusilimu
Walinifunga Hawa kifungo cha Mwezi mmoja nili disturb the peace of JF for the moment and time being kwa hio wakanilisha Bunda la mkate ili nikae kimyaNilikua nakuchungulia kila muda haukua kifungoni
Binadamu ndio kiumbe cha thamani ya Juu kuliko viumbe vyoteSasa haya majini yanapewaje majina na binadamu kwani wao hawana tawala zao na maisha Yao, wao inakuaje wapangiwe na binadamu na kwanini wahusishwe na jamii flani tu(waislamu). Ni viumbe wanaojitambua au mazombi
Sasa wewe muafrika unakitu gani vitu vyote na elimi yetu umefichwa na wazungu na hao warabu ili tuwaamin waoHizo ni lugha tu, ni kama mtu aseme Grace halafu aulize kwa kiswahili ni nini na mtu amjibu ni Neema
Makata, Gabriel etc yote yana maana kwa kiswahili
Shida imekuja Waafrika tunapenda kutumia vya watu kuliko vyetu
Muhimu ni Bakita watupe kiswahili chake, hizo ni lugha za kiingereza na Kiarabu kiswahili chake hakiwezi kukosekana
Elimu yenu elimu yetu ipo kwenye Mawe tembelea mapangoni huko utaikuta ni mamichoro tu sijasema Mimi ni historia inasemaSasa wewe muafrika unakitu gani vitu vyote na elimi yetu umefichwa na wazungu na hao warabu ili tuwaamin wao
My moonerNitafutie Maimuna ya kizungu au Maruhan ya kizungu
Yesu Alikuwa Myahudi dada angu.."Mzungu" wanaitwa na wabantu, towa "z" kwenye hilo neno inabaki nini?
Sifahamu kwa Kiswahili ina maanisha nini.
Yesu "uyahudi" kautolea wapi?
Aliisomea wapi hiyo dini ya kiyahudi?Yesu Alikuwa Myahudi dada angu..
wayahudi ndo Huabudu Shabat, Wayahudi ndo huendeshwa na Sheria za Torah, Mwalimu wa kiyahudi Ndo Huitwa Rabi baada ya Kuhitimu..
Kila Dini na Taifa Lilihukumiwa kupitia Sheria zao (Kipindi cha Utawala wa Rumi) Yesu alikuwa
Myahudi na alihuKuhukumiwa kwa Sheria za Kiyahudi..
Kama unafahamu Kilichomfanya Paulo akaachiwa Na warumi na kushindwa Kuhukumiwa Ni kuwa na Mataifa Mawili na Alisingizia Kuwa na Dini Mbili..
Walipokuja wayahudi Alisema Yeye ni Mrumi kwahyo hawezi kuhukumiwa kwa Torati wala sheria za Kiyahudi....
Walipokuja warumi akawaambia Yeye Ni Myahudi na Amesoma Rank ya Juu ya Dini na Alikuwa Farisayo Hivyo ilibidi wamuachie tu...
So kwa maelezo hayo Yesu alikuwa ni Myahudi na Muebrania Kwa ushahidi Yakinifu sana uliopo..
Kwanza ni Zao la Mtoto wa Yakobo (Yakub) Yehuda (Yuda) Pili Ni Myahudi wa Kuzaliwa na Wa kusomea dini ya wayahudi
Uislamu hujitoshelezi ndiyo maana huwezi kuuzungumzia uislamu bila kutaja maandiko ya kwenye Biblia takatifu.Aliisomea wapi hiyo dini ya kiyahudi?
Angekuwa anaifata dini ya kiyahudi wangemhukumu kwa dhambi ya kutundikwa msalabani? Na wanafunzi wake wote kumkimbia (forsook him and fled)?
Kwa kukujuza tu, ukiifata "taurati" unakuwa Muislam.
Hakuna taurati kwenye biblia, usijidanganye.Uislamu hujitoshelezi ndiyo maana huwezi kuuzungumzia uislamu bila kutaja maandiko ya kwenye Biblia takatifu.
Biblia ilianza na hiyo torati (kumbukumbu la torati) ipo na baadae ikafuata Quran.
Waislamu wakachukua Torati wakaita taurati.
Usome kumbukumbu la torati kwenye Biblia uwe muislamu!😁😁 Kwanini usisome Quran ili uwe muislamu au lugha ya kiarabu ni ngumu?
Nakutana na waisalmu wanakuambia hawali nguruwe lkn muda wa kufuturu anaagiza sed na sigara hapo mchana hajara.
Inasomeka Kumbukumbu la Torati ila waislamu wakachakachua wakaita taurati ila ukiisoma ndiyo hiyo kumbukumbu la torati. Mlichukua vitabu 3 kutoka kwenye Biblia takatifu. Ikiwemo kumbukumbu la torati.Hakuna taurati kwenye biblia, usijidanganye.
Soma The Gospel Infancy Of Jesus Sura ya 20 Aya kuanzia ya 1 mpaka ya 16..Aliisomea wapi hiyo dini ya kiyahudi?
Samahani Dada Uko sawa kweli?Angekuwa anaifata dini ya kiyahudi wangemhukumu kwa dhambi ya kutundikwa msalabani? Na wanafunzi wake wote kumkimbia (forsook him and fled)?
Kwa kukujuza tu, ukiifata "taurati" unakuwa Muislam.
Hayo mabandiko yanakusuta.Soma The Gospel Infancy Of Jesus Sura ya 20 Aya kuanzia ya 1 mpaka ya 16..
View attachment 3049183
Samahani Dada Uko sawa kweli?
Literally I ment Uko sawa??
Adhabu Ya kutundikwa ilikuwa ni Adhabu ya Kiyahudi Kwa Myahudi yoyote ambaye aligeuza Mafundisho ya torati na Kutafanya Tofauti hivyo alionekana Amekufuru na Kufanyika Laana..
Kwenye Kibao Cha msalaba Huandikwa Dhambi zako Ulizofanya Ili kila mmoja akipita ajue kuwa Dhambi uliyofanya ni Ipi iliyokufanya Wew Kupata Laana ya Kutundikwa..
aliyetundikwa kabla ya Kuhukumiwa Hupelekwa Kwenye mabalaza ya Kidini Na hukumu Hutolewa Kidini na hati ya Hukumu Hupelekwa kwa Viongozi wa Kirumi ambao wao Huchunguza Makosa na Hati ya Hukumu na Huamua Kama kosa linaendana sawa na Hukumu iliyotolewa na wao.huruhusu hukumu hiyo...
Hiyo ilifanyika hata kwa yesu kuanzia kushtakiwa kwenye mabaraza ya Kiyahudi au wanaita SENHEDRIN..
Baada ya Senhedrin kumkuta Na hatia ya Kujiita Yeye ni Mwana wa Mungu na Mfalme wa wayahudi..
Wakapelekwa Hoja zao kwa Pilato kuhusu hukumu yao na Kwa kugongelea Msumali Walimwambia Pilato kuwa Mtu huyo anatishia Utawala wa Rumi kwa Kujiita yeye Ni Mfalme wa Wayahudi (Jambo ambalo lilihesabika kuwa ni Uhaini)...
sasa Dada Yangu faidha Nikueleweshe Kwa njia gani??
Hata kwenye Kibao cha Msalaba wa Yesu kulindikwa INRI..
Unajua INRI maana yake???
“INRI” ni abreviation kutoka katika Kilatini yaani “Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum” Yaani Yesu Mnazareth Mfalme wa Wayahudi
Umeona Neno la Mwisho hilo IUDAEORUM?
Adhabu ya Kutundikwa Msalabani ni Adhabu Kutoka kwenye Torati ambayo wayahudi walikuwa wakiifata na Ilitolewa Hukumu kupitia Mabaraza ya Senhedrin (Mabaraza ya Maamuzi ya Kidini kama mahakama Ni Kama Mahakama ya Kadhi tu)
Kumbukumbu La torati 21:22 mpaka 23
View attachment 3049205
Pia Unaweza ukasoma Story ys Esta..
ESTA 2:22-23
View attachment 3049207
WAGALATIA 3:13
View attachment 3049210
PIa usisahau Kuwa Yesu aliingia kwenye Masinagogi akasali na Kufundisha..
biblia imasema kama Ilivyokuwa Desturi yake..
Alikuwa akiingia Sinagogini na Kusali na Kufundisha Je kuna Mkristo anaweza kuingia Msikitini na Kufundisha na Kusalisha kama imamu na kukubaliwa kufanya Hivyo na Katibu (Mtumishi wa Msikiti) ampe Quran asome???
View attachment 3049213
MImi sijaegemea Upande wowote na Ndo maana Muda wowote Hubaki kwenye Ukweli na daima ntautetea Si sehemu Ukidanganya Kuhusu Uyahudi, Ukristo au Uislamu Nitakwambia tu
UKIFATA TAURAT unakuwa Muislamu?
Faiza Unajua hata Kuna Aina Ngapi za Torati??
Maana Torati mnaoisoma Wakristo na Waislamu Its Just a Tiny part of Torati....
Karibu Kujenga Hoja Na kuthibitisha
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc
Jini Sharif, Maimuna, etc
Kwanini?

Dah Kukuelewesha Wewe Ni kazi ngumu Sana..Hayo mabandiko yanakusuta.
Kwanza huyo zacheus hakuna panapoonesha alimfunsha Taurati.
TORATI na Qurani Haina tofauti..Hayo mabandiko yako mengine yote yanakusuta kuwa siyo taurati ni "kumbukumbu la....
Maana yuake nini isiwe Torati iwe kumbukumbu la....
Kumbukumbu ya nani huyo mwenye kuikumbuka?