Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Jibril,Mikaail,Israfiil,Malakul mawt,Hamalatul Arshi.
Hawa wote ni malaika.
Je kuna Jina la kizungu hapo!?
Sema sio mbaya ulikui hujielewi unachoongea.
Jini Magoma Jina Magoti Jini nani sijui hawa wanaonekana au uongo na hawana majina ya kizungu wote wana majina ya kizaramo na kindengereko wala hawana majina ya kiarabu
 
Jini Magoma Jina Magoti Jini nani sijui hawa wanaonekana au uongo na hawana majina ya kizungu wote wana majina ya kizaramo na kindengereko wala hawana majina ya kiarabu
Huyo anachopagawa yeye kitu kimoja,hajui kama hayo majina unaweza yatohoa kwa lugha tofauti tofauti.
Kama Malakul mauti kwa kiswahili izrael mtoa roho.
Jibril kwa kizungu Gabriel.
Pia Jibril hiyo hiyo kuna neno la kihebrew unamuita hauitamki Jibril kama Jibril.
 
Vizuri sana!
Lakini Usisahau kuwa Israel haiko Ulaya..
Na kingine Turkey/Uturuki iko kati ya Ulaya na Asia lakini watu wake hawawi Regarded kama Wazungu..
So Definition yako ya Mzungu inakataa kwa mantiki hizo..

Uko sahihi Kabisa kwamba waebrania si Lazma wawe wayahudi..
Na ndo maana nimekuambia kuwa Kuna waebrania ambao Wanatoka Ethiopia ni weusi na pia Ni wayahudi...

Yesu alikuwa Ni muebrania Na alikuwa Myahudi Pia
"Mzungu" wanaitwa na wabantu, towa "z" kwenye hilo neno inabaki nini?

Sifahamu kwa Kiswahili ina maanisha nini.

Yesu "uyahudi" kautolea wapi?
 
Hizo ni lugha tu, ni kama mtu aseme Grace halafu aulize kwa kiswahili ni nini na mtu amjibu ni Neema
Makata, Gabriel etc yote yana maana kwa kiswahili
Shida imekuja Waafrika tunapenda kutumia vya watu kuliko vyetu

Muhimu ni Bakita watupe kiswahili chake, hizo ni lugha za kiingereza na Kiarabu kiswahili chake hakiwezi kukosekana
Kwanini Grace, hujaona jina jingine kama Groly au unamchokoza mzee wetu 😂😂😂
 
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Nionyeshe Biblia yenye aya za Majini nikuonyeshe Msaafu wenye aya za Majini, vitu vingine usipende kubishania bishania ovyo Uislamu sio Qur'an sio nyinyi mnasema Majini wameumbwa kwa Moto au Wewe ni Mburushi? Pale juu comment #1 Jamaa anaelezea ABC zote Wewe unabisha nini?
 
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Uislamu is centrally controlled and physically connected directly proportional to the Majini, niseme hivyo maana nilivyosema mwanzo hujaelewa
 
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Masjid-Al-Jinn ndio Msikiti maarufu wanaoswali Majini tu upo huko Saudia Arabia sio wapi Saudia ya Arabia mji wakuitwa Mecca kule mwaenda kurusha mawe kwenye ule mjiwe mweusi hapo wanaingia kuswali Majini tu, kwa Msaada wa Google

Bisha tena na hapo
 
Huyo anachopagawa yeye kitu kimoja,hajui kama hayo majina unaweza yatohoa kwa lugha tofauti tofauti.
Kama Malakul mauti kwa kiswahili izrael mtoa roho.
Jibril kwa kizungu Gabriel.
Pia Jibril hiyo hiyo kuna neno la kihebrew unamuita hauitamki Jibril kama Jibril.
Nitafutie Maimuna ya kizungu au Maruhan ya kizungu
 
Back
Top Bottom