stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ndio Islam is connected to MajiniHatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Islam is connected to MajiniHatari sana
Jini Magoma Jina Magoti Jini nani sijui hawa wanaonekana au uongo na hawana majina ya kizungu wote wana majina ya kizaramo na kindengereko wala hawana majina ya kiarabuJibril,Mikaail,Israfiil,Malakul mawt,Hamalatul Arshi.
Hawa wote ni malaika.
Je kuna Jina la kizungu hapo!?
Sema sio mbaya ulikui hujielewi unachoongea.
Huyo anachopagawa yeye kitu kimoja,hajui kama hayo majina unaweza yatohoa kwa lugha tofauti tofauti.Jini Magoma Jina Magoti Jini nani sijui hawa wanaonekana au uongo na hawana majina ya kizungu wote wana majina ya kizaramo na kindengereko wala hawana majina ya kiarabu
Nani kadanganya sasa😂Kuna Watu ni Waongo
Kwabhiyo majini ni malaika waasi au waliumbwa hivyohivyo?Ndio Islam is connected to Majini
Sasa huyu ndio kaongea sahihi.Kuna Watu ni Waongo
Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.Ndio Islam is connected to Majini
"Mzungu" wanaitwa na wabantu, towa "z" kwenye hilo neno inabaki nini?Vizuri sana!
Lakini Usisahau kuwa Israel haiko Ulaya..
Na kingine Turkey/Uturuki iko kati ya Ulaya na Asia lakini watu wake hawawi Regarded kama Wazungu..
So Definition yako ya Mzungu inakataa kwa mantiki hizo..
Uko sahihi Kabisa kwamba waebrania si Lazma wawe wayahudi..
Na ndo maana nimekuambia kuwa Kuna waebrania ambao Wanatoka Ethiopia ni weusi na pia Ni wayahudi...
Yesu alikuwa Ni muebrania Na alikuwa Myahudi Pia
Kwanini Grace, hujaona jina jingine kama Groly au unamchokoza mzee wetu 😂😂😂Hizo ni lugha tu, ni kama mtu aseme Grace halafu aulize kwa kiswahili ni nini na mtu amjibu ni Neema
Makata, Gabriel etc yote yana maana kwa kiswahili
Shida imekuja Waafrika tunapenda kutumia vya watu kuliko vyetu
Muhimu ni Bakita watupe kiswahili chake, hizo ni lugha za kiingereza na Kiarabu kiswahili chake hakiwezi kukosekana
Mzee gani tena🤔Kwanini Grace, hujaona jina jingine kama Groly au unamchokoza mzee wetu 😂😂😂
Bujibuji.. au hujui skendo yake ya multiple id na kujiita Giresi?? 😂😂Mzee gani tena🤔
Sijui ndiyo kwanza nasikia leoBujibuji.. au hujui skendo yake ya multiple id na kujiita Giresi?? 😂😂
Nionyeshe Biblia yenye aya za Majini nikuonyeshe Msaafu wenye aya za Majini, vitu vingine usipende kubishania bishania ovyo Uislamu sio Qur'an sio nyinyi mnasema Majini wameumbwa kwa Moto au Wewe ni Mburushi? Pale juu comment #1 Jamaa anaelezea ABC zote Wewe unabisha nini?Uislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Uislamu is centrally controlled and physically connected directly proportional to the Majini, niseme hivyo maana nilivyosema mwanzo hujaelewaUislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Hakuna kitu km hicho Wewe Jini Magoma tuliaSasa huyu ndio kaongea sahihi.
Kwasababu hata huyo Mchina Gabriel anamuita ki namna ingine.
Ishu lugha tu basi.
Masjid-Al-Jinn ndio Msikiti maarufu wanaoswali Majini tu upo huko Saudia Arabia sio wapi Saudia ya Arabia mji wakuitwa Mecca kule mwaenda kurusha mawe kwenye ule mjiwe mweusi hapo wanaingia kuswali Majini tu, kwa Msaada wa GoogleUislam is not connected kwa hivyo vitu usitudanganye acha uongo sasa.
Wewe hapo umetulisha uongoNani kadanganya sasa😂
Nitafutie Maimuna ya kizungu au Maruhan ya kizunguHuyo anachopagawa yeye kitu kimoja,hajui kama hayo majina unaweza yatohoa kwa lugha tofauti tofauti.
Kama Malakul mauti kwa kiswahili izrael mtoa roho.
Jibril kwa kizungu Gabriel.
Pia Jibril hiyo hiyo kuna neno la kihebrew unamuita hauitamki Jibril kama Jibril.
Nimesema uelewa wangu!Wewe hapo umetulisha uongo