Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

Biblia Ni hadithi za Waebrania kuhusu Mungu wa Waebrania..

Umeanielewa??
Kwanini Neno kipi Kilianza Nitakujibu Kuw Walianza waebrania Ambao ndiyo waliandika Habari kwenye Biblia
Okay but Malaika inaonekana wapogo tu kabla hata ya kuumbwa Adam, hao Akina mikaeli, gabriel, lucifa woote walikuepo kabla ya stori za waebrania hazijaanza, hapo unasemaje Dokta?
 
Kumbe kuna komando Jide na kuna Malkia wa Jide? Asante kwa elimu mkuu
 
Okay but Malaika inaonekana wapogo tu kabla hata ya kuumbwa Adam, hao Akina mikaeli, gabriel, lucifa woote walikuepo kabla ya stori za waebrania hazijaanza, hapo unasemaje Dokta?
Aliyekuambia kwamba walikuwepo Ni Nani?
Jibu Ni simple ni Muebrania..
Je, Majina yao Yapo kwa Lugha Gani?
Ya Kiebrania..

Then bado unasema Walikuwepo Kabla ya waebrania??

Yaani Just Imagine una Babu yako ana Jina La kiswahili labda tuseme anaitwa Jasiri Mkubwa halafu Unasema alikuwepo Kabla ya Kiswahili Kuwepo Does It even Make sense??

Tuanze na hapo kwanza
 
Sasa mkuu kwani malaika na mwanadamu nani alianza kuumbwa? In refference to bible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…