Kwanini manabii wote miuujiza wanakuja kufanyia mimi na siyo vijijini kwao walikozaliwa?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
 
Ila unapoamka usiamke na Uzi wa matusi Japo ulichoongea kinaweza kuwa sahihi
 
Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
Ulikuwa ujenge hoja nzuri sana lakini ulipoingiza matusi na kejeli ukaharibu mada nzuri.. Ukiweza sahihisha
 
Matusi ni sehemu ya mada hasa yakiwa na uhalisia

Kwani siyo wajinga na wapumbavu?
 
Back
Top Bottom