HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ulikuwa ujenge hoja nzuri sana lakini ulipoingiza matusi na kejeli ukaharibu mada nzuri.. Ukiweza sahihishaManabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
Matusi ni sehemu ya mada hasa yakiwa na uhalisiaUlikuwa ujenge hoja nzuri sana lakini ulipoingiza matusi na kejeli ukaharibu mada nzuri.. Ukiweza sahihisha