Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Hata kama umecopy ila me kwaupande wangu kuna kitu nimejifunza
 
Secrecy for 27 years?..ni rahisi kumhukumu
Mimi nilivyoelewa kutokana kwa mleta mada ni kuwa Mandela alijua kuwa Winnie anacheat ila ni kama alitaka awe msiri ndo maana wakati wa kwenda Marekani Winnie alimwambia ataenda na mpofu ila Mandela akamkatalia.It means alijua mpofu ni mchepuko wa mkewe.alifanya wazi mpaka akaandikwa kwenye magazeti na hakujitokeza kukanusha.Ingekuwa ngumu kwa Madiba kujifanya hajaona.
 
Mapenzi yanaumiza moyo tata Madiba hana kisa kwa kuwa moyo unakikomo cha kuvumilia maumivu
 
Hakuwa na makosa ya kuzidi ,ila naona tu madiba aliamua isiwe tabu ,afate kilicho bora zaidi.

Nyinyi wanaume wa leo tu, mtu akilea miezi 6 ushachepuka na madada hata6.
Sema mama winnie alikosea kuendeleza libeneke
 
My comrade chige

People are hypocrites for over-looking Mandela's faults while elevating those of Winnie. That woman was in her late 20s when Mandela went to jail, yet she kept that man's legacy intact, while raising their kids. The first thing that man did was take a short cut to Mozambique instead of working things out with Winnie. She was a broken woman, but she was broken because of him. People compare her to Albertina Sisulu but they forget that Albertina was not the centre of the battle against apartheid. What that woman did in apartheid days was short of miraculous. My wife would not bear that pressure, not to even mention jail or being separated from her children.

If what is written about Winnie and the Advocate is true, then what she did was shameful. But from what I understand, this affair, if it happened, started at the time when Mandela was in prison. Did she expect Mandela to come back from prison? No, so she was moving on with her life. That man, Mandela, destroyed Winnie's life by getting her involved in politics, which ultimately destroyed her life. Winnie could have taken the Albertina Sisulu route and kept her life quiet, but she refused and instead became the face of the fight against apartheid. This is at the time when celebrated heroes like Trevor Manuel and Thabo Mbeki were in exile sipping wine and smoking cigars, only for them to come back as heroes.

Put your wife in this picture and you'll understand just how remarkable this woman was. Unless you don't have a wife or you mistreat her, then you won't understand the strong character of this woman. Winnie is the real hero here, and not Mandela.

I stand to be corrected....kule kwenye mtandao wa Afrika Kusini wa Mybrandbond nimewaambia hivyo!!
 
Winnie MANDELA kuhusika na mauaji ya mtoto wa miaka 14 akimtuhumu kuwa ni kibaraka wa Makaburu ilikuwa ni harakati za ukombozi wa watu wengi.
Kimapinduzi hili kosa lisingeweza kumfanya Mandela asimsamehe Winnie kwa sababu Makaburu waliwaua Waafrika wengi weusi, walimfunga yeye Mandela miaka 27 lakini aliwasamehe.
Mandela aliamua kuachana na Winnie kwa sababu Winnie alitenda kosa la kuvunja ahadi ya ndoa hadharani.
Kosa kama hili la Winnie kufanya uzinzi hata baada ya Mandela kutoka gerezani ni sababu pekee inayoruhusiwa na Kanisa (Wao wawili wakiwa ni wanandoa ya Kikristo) kuvunja ndoa.
 
Watu asee, sasa unataka aandke Reference, ftnt, citation etc kwan anaSubmit kaz ili apewe marks? Achen za ajabu habar imekufikia soma kaa kimya. Muache aliefanyiwa plag.. alalamike sio wewe. Sht Up. Kimyaaa!!
 
Mkuu barafu hii umeiweka vizuri kupitiliza - so painful. Winnie, by then Nomzamo ("she who tries") Winifred Zanyiwe Madikizela, met Nelson in 1957 at a bus stop in Soweto. She was the first black female to be employed as a social worker in the city and by then Nelson was already married to his first wife - Evelyn Mase. In 1962 was sentenced for life in prison.

Dah! Kwa uzuri wake hapana, angeweza kuolewa bilionea wa aina yoyote na akaishi maisha mazuri ajabu badala ya kuhangaika na mwanaume aliyefungwa jela maisha lakini aliona yote hayo sio kitu - uvumilivu tena kumvumilia mtu ambaye hatatoka jela! Alikuwa na courage ya ajabu sana huyu mama. Hata kama alifanya makosa ya aina gani alistahili msamaha. Nakubaliana na wewe Mkuu.

Halafu kila nikiangalia picha za huyu mama always najikuta natabasamu sijui kwanini! Nikiwa na hasira sana nakimbilia ku-Google picha zake akili inatulia. Aliumbiwa kitu cha kipekee sana. APUMZIKE KWA AMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…