Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Hata kama umecopy ila me kwaupande wangu kuna kitu nimejifunza
 
Secrecy for 27 years?..ni rahisi kumhukumu
Mimi nilivyoelewa kutokana kwa mleta mada ni kuwa Mandela alijua kuwa Winnie anacheat ila ni kama alitaka awe msiri ndo maana wakati wa kwenda Marekani Winnie alimwambia ataenda na mpofu ila Mandela akamkatalia.It means alijua mpofu ni mchepuko wa mkewe.alifanya wazi mpaka akaandikwa kwenye magazeti na hakujitokeza kukanusha.Ingekuwa ngumu kwa Madiba kujifanya hajaona.
 
Mapenzi yanaumiza moyo tata Madiba hana kisa kwa kuwa moyo unakikomo cha kuvumilia maumivu
 
Hakuwa na makosa ya kuzidi ,ila naona tu madiba aliamua isiwe tabu ,afate kilicho bora zaidi.

Nyinyi wanaume wa leo tu, mtu akilea miezi 6 ushachepuka na madada hata6.
Sema mama winnie alikosea kuendeleza libeneke
 
Kwangu naona kashifa ya Winnie kusimamia mauaji ya yule mtoto ndo ilikuwa kashifa mbaya zaidi kwa Winnie ingawaje kashifa ya usaliti nayo si ya kupuuza!

Si ya kupuuza kwa sababu it's not all about usaliti bali jinsi alivyoendesha huo usaliti.

Suala la Winnie kukisusa kitanda cha Tata lilikuwa ni suala gumu kuvumilia hasa ukizingatia kwamba, for the first time, baada ya miongo zaidi ya 3 kupita; ndipo labda Tata Madiba angeweza kulala kwa amani zaidi huku akiwa na mwanamke/mke pembeni yake kwa sababu; kama alivyonukuliwa Winnie, hata kabla Mandela hajaenda jela; bado mapenzi yao yalichukuwa nafasi ya pili baada ya harakati.

Sababu hiyo hapo juu pia haishangazi kuona Feminists wakimtetea Winnie. In fact, hapakuwa na tight bond ya kimapenzi kati ya Winnie na Mandela kutokana na harakati zao. No matter what, mwanamke; and in fact hata mwanaume needs attention ya mwenza wake! Harakati zinapokuwa ndio mwenza wako mkuu lazima nature itatafuta yule "mwenza halisi" yupo wapi! Mwenza anayekupa attention inayohitajika na nature kutengeneza strong bond.

Lakini pamoja na yote hayo; Winnie alivuka mipaka ya heshima ya ndoa pale alipoenda na Dali Mpofu US. Hiyo ilikuwa dharau kubwa kwa Tata; kama ambavyo Winnie alipenda kumuita Mandela!

Aidha, tusisahau kashifa ya matumizi mabaya ya pesa aliyofanya Winnie kumfurahisha Mpofu! Winnie alishapata kuidhinisha hundi ya maelfu ya Rands ambazo alichukua Dali Mpofu!!

But all in all kuna jambo linanishangaza! Nilifuatilia hili suala majuzi na kukuta all burden inamwangukia Dali Mpofu! Wana-ANC wengi wanamlaani Dali Mpofu kwa kutembea na "mama!"

Lakini ukiangalia status ya Winnie na Dali Mpofu unaona wazi kwamba Dali Mpofu alikuwa a victim of Winnie's loneliness! I doubt kwamba ni Dali ndie alianza kum-approach au hata kum-seduce Winnie kwa kuangalia heshima aliyokuwa nayo Winnie let alone umri!

Kuna uwezekano mkubwa kwamba ni Winnie ndie alim-seduce Dali Mpofu! Kama ndivyo, ni kwanini basi waone Dali Mpofu ndie mkosaji namba moja badala ya Winnie mwenyewe!!

All in all, Rest In Peace Mama! Tell Tata to tell Mwalimu that, the country he loved and fought for is no longer the same!

Rest In Peace y'all Freedom Fighters! If there's any nonsense outta there, I hope you'll also fight it! We're on our way... some a minute away and some a couple of decades!

Africa is left with weak people in the name of Activists and Politicians! No more or only a handful of revolutionists left here!! So, again, if there's any nonsense outta there; fight it like you did for Africa cuz' when we come, would love to meet a peaceful hell and not a shit hell preached in these colonial scriptures in sugarcoated name "The Holy Books"... The Bible and The Quran!

Y'all get blessed... AMEEN!
My comrade chige

People are hypocrites for over-looking Mandela's faults while elevating those of Winnie. That woman was in her late 20s when Mandela went to jail, yet she kept that man's legacy intact, while raising their kids. The first thing that man did was take a short cut to Mozambique instead of working things out with Winnie. She was a broken woman, but she was broken because of him. People compare her to Albertina Sisulu but they forget that Albertina was not the centre of the battle against apartheid. What that woman did in apartheid days was short of miraculous. My wife would not bear that pressure, not to even mention jail or being separated from her children.

If what is written about Winnie and the Advocate is true, then what she did was shameful. But from what I understand, this affair, if it happened, started at the time when Mandela was in prison. Did she expect Mandela to come back from prison? No, so she was moving on with her life. That man, Mandela, destroyed Winnie's life by getting her involved in politics, which ultimately destroyed her life. Winnie could have taken the Albertina Sisulu route and kept her life quiet, but she refused and instead became the face of the fight against apartheid. This is at the time when celebrated heroes like Trevor Manuel and Thabo Mbeki were in exile sipping wine and smoking cigars, only for them to come back as heroes.

Put your wife in this picture and you'll understand just how remarkable this woman was. Unless you don't have a wife or you mistreat her, then you won't understand the strong character of this woman. Winnie is the real hero here, and not Mandela.

I stand to be corrected....kule kwenye mtandao wa Afrika Kusini wa Mybrandbond nimewaambia hivyo!!
 
Winnie MANDELA kuhusika na mauaji ya mtoto wa miaka 14 akimtuhumu kuwa ni kibaraka wa Makaburu ilikuwa ni harakati za ukombozi wa watu wengi.
Kimapinduzi hili kosa lisingeweza kumfanya Mandela asimsamehe Winnie kwa sababu Makaburu waliwaua Waafrika wengi weusi, walimfunga yeye Mandela miaka 27 lakini aliwasamehe.
Mandela aliamua kuachana na Winnie kwa sababu Winnie alitenda kosa la kuvunja ahadi ya ndoa hadharani.
Kosa kama hili la Winnie kufanya uzinzi hata baada ya Mandela kutoka gerezani ni sababu pekee inayoruhusiwa na Kanisa (Wao wawili wakiwa ni wanandoa ya Kikristo) kuvunja ndoa.
 
Watu asee, sasa unataka aandke Reference, ftnt, citation etc kwan anaSubmit kaz ili apewe marks? Achen za ajabu habar imekufikia soma kaa kimya. Muache aliefanyiwa plag.. alalamike sio wewe. Sht Up. Kimyaaa!!
 
My comrade chige

People are hypocrites for over-looking Mandela's faults while elevating those of Winnie. That woman was in her late 20s when Mandela went to jail, yet she kept that man's legacy intact, while raising their kids. The first thing that man did was take a short cut to Mozambique instead of working things out with Winnie. She was a broken woman, but she was broken because of him. People compare her to Albertina Sisulu but they forget that Albertina was not the centre of the battle against apartheid. What that woman did in apartheid days was short of miraculous. My wife would not bear that pressure, not to even mention jail or being separated from her children.

If what is written about Winnie and the Advocate is true, then what she did was shameful. But from what I understand, this affair, if it happened, started at the time when Mandela was in prison. Did she expect Mandela to come back from prison? No, so she was moving on with her life. That man, Mandela, destroyed Winnie's life by getting her involved in politics, which ultimately destroyed her life. Winnie could have taken the Albertina Sisulu route and kept her life quiet, but she refused and instead became the face of the fight against apartheid. This is at the time when celebrated heroes like Trevor Manuel and Thabo Mbeki were in exile sipping wine and smoking cigars, only for them to come back as heroes.

Put your wife in this picture and you'll understand just how remarkable this woman was. Unless you don't have a wife or you mistreat her, then you won't understand the strong character of this woman. Winnie is the real hero here, and not Mandela.

I stand to be corrected....kule kwenye mtandao wa Afrika Kusini wa Mybrandbond nimewaambia hivyo!!
Mkuu barafu hii umeiweka vizuri kupitiliza - so painful. Winnie, by then Nomzamo ("she who tries") Winifred Zanyiwe Madikizela, met Nelson in 1957 at a bus stop in Soweto. She was the first black female to be employed as a social worker in the city and by then Nelson was already married to his first wife - Evelyn Mase. In 1962 was sentenced for life in prison.

Dah! Kwa uzuri wake hapana, angeweza kuolewa bilionea wa aina yoyote na akaishi maisha mazuri ajabu badala ya kuhangaika na mwanaume aliyefungwa jela maisha lakini aliona yote hayo sio kitu - uvumilivu tena kumvumilia mtu ambaye hatatoka jela! Alikuwa na courage ya ajabu sana huyu mama. Hata kama alifanya makosa ya aina gani alistahili msamaha. Nakubaliana na wewe Mkuu.

Halafu kila nikiangalia picha za huyu mama always najikuta natabasamu sijui kwanini! Nikiwa na hasira sana nakimbilia ku-Google picha zake akili inatulia. Aliumbiwa kitu cha kipekee sana. APUMZIKE KWA AMANI.
 
Back
Top Bottom