Kwanini Mangungu lazima akae pembeni?

Kwanini Mangungu lazima akae pembeni?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mangungu anaamini mno kwenye mpira wa kishirikina kuliko ufundi na uwezo. Hili linawakera sana wachezaji na bechi la ufundi. Kuna mambo ya kishirikana kutoka kwa Mangungu ambayo baadhi ya wachezaji hawakubaliani nayo, hii inasababisha uhusiano mbaya kati ya wachezaji na uongozi (Mangungu) kiasi cha kuwashusha viwango wachezaji ndani ya uwanja. Kuna wachezaji hawaamini kwenye mambo ya makabulini, maji ya maiti na mengine ya aina hiyo.

Mangungu akiondoka mtaona mabadiliko.
 
Mangungu ni Master Mind tu kufuatia u mbumbumbu wa mashabiki na Wana chama mfano kwenye mkutano mkuu wa klab kuletewa Manzoki n.k kwenye ushirikina Simba ni jadi Yao kabla ata Mangungu.
Alikuwepo Mwenyekiti wa Simba marehemu Amir Bamchawi, uyu jamaa kipindi Cha uongozi wake Alifanya ulozi wa kufuru mbaya, Si kumbuki kwa hivi karibuni kama Kuna Kiongozi aliye wahi kufikia au kukaribia uwezo wake wa kichawi/ fitina pale msimbazi.

Uyu jamaa kwenye fainali ya 1993 kabla mpira hauja anza alitangaza njia ambazo watapita na kombe lao ili kulifikisha pale klabuni msimbazi.
Bahati mbaya Kiongozi mwenzake alimzidi akili na timu ikapoteza mechi.

Uyu Amiri Bamchawi anaweza kuwa the Greatest of all time in witchcraft based on football pale Msimbazi.

Jamaa ilikua siku inayo cheza Simba na ikatokea mvua imenyesha kabla ya mechi basi mara nyingi Simba ilishinda na yeye ni kama mu asisi wa Simba na mvua.

Kule Angola wakati Simba inakwenda kucheza nusu fainali ya pili ya kombe la CAF/ Abiola cup, mvua ilikua haijawahi kunyesha kwenye eneo lile kwa miaka kadhaa lakini siku ya mechi ya Simba dhidi ya Petro Atletico Aviacao kule Angola mvua kubwa ili mwagika.
Simba ikapata suluhu ya bila goli na kutinga fainali.
Kumbuka mechi ya Awali pale shamba la bibi mechi ili Isha kwa ushindi wa Simba wa goli 3- 1
 
Jadili Bao 3 bila za CRB na ni mbinu zipi Gamondi atumie asiishie Makundi...?

Kumjadili 'Mtu' Mangungu ni kuonyesha kuwa Upo Kwenye Kundi la Watu Wenye Akili ndogo...!

Big brain discuss ideas, issues....!
Sio Mimi hii ni Kanuni..!
 
Mangungu ni Master Mind tu kufuatia u mbumbumbu wa mashabiki na Wana chama mfano kwenye mkutano mkuu wa klab kuletewa Manzoki n.k kwenye ushirikina Simba ni jadi Yao kabla ata Mangungu.
Alikuwepo Mwenyekiti wa Simba marehemu Amir Bamchawi, uyu jamaa kipindi Cha uongozi wake Alifanya ulozi wa kufuru mbaya, Si kumbuki kwa hivi karibuni kama Kuna Kiongozi aliye wahi kufikia au kukaribia uwezo wake wa kichawi/ fitina pale msimbazi.

Uyu jamaa kwenye fainali ya 1993 kabla mpira hauja anza alitangaza njia ambazo watapita na kombe lao ili kulifikisha pale klabuni msimbazi.
Bahati mbaya Kiongozi mwenzake alimzidi akili na timu ikapoteza mechi.

Uyu Amiri Bamchawi anaweza kuwa the Greatest of all time in witchcraft based on football pale Msimbazi.

Jamaa ilikua siku inayo cheza Simba na ikatokea mvua imenyesha kabla ya mechi basi mara nyingi Simba ilishinda na yeye ni kama mu asisi wa Simba na mvua.

Kule Angola wakati Simba inakwenda kucheza nusu fainali ya pili ya kombe la CAF/ Abiola cup, mvua ilikua haijawahi kunyesha kwenye eneo lile kwa miaka kadhaa lakini siku ya mechi ya Simba dhidi ya Petro Atletico Aviacao kule Angola mvua kubwa ili mwagika.
Simba ikapata suluhu ya bila goli na kutinga fainali.
Kumbuka mechi ya Awali pale shamba la bibi mechi ili Isha kwa ushindi wa Simba wa goli 3- 1
Baada ya Bamchawi anafuata Mangungu kwa uchawi. Waulize wanasimba kindakindaki wenyewe watakwambia. Wachezaji wageni hawazipendi njia zake ila wanashindwa kusema hadharani.
 
Kwa Mangungu Sina uhakika na ulozi ila ninachoweza kuelewa kuhusu Mangungu ni matumizi ya Akili katika kuteka mashabiki wa Simba.
(Master Mind) maana ana matukio mengi ya kucheza na akili za Wana chama na mashabiki wake.
 
Mangungu ni Master Mind tu kufuatia u mbumbumbu wa mashabiki na Wana chama mfano kwenye mkutano mkuu wa klab kuletewa Manzoki n.k kwenye ushirikina Simba ni jadi Yao kabla ata Mangungu.
Alikuwepo Mwenyekiti wa Simba marehemu Amir Bamchawi, uyu jamaa kipindi Cha uongozi wake Alifanya ulozi wa kufuru mbaya, Si kumbuki kwa hivi karibuni kama Kuna Kiongozi aliye wahi kufikia au kukaribia uwezo wake wa kichawi/ fitina pale msimbazi.

Uyu jamaa kwenye fainali ya 1993 kabla mpira hauja anza alitangaza njia ambazo watapita na kombe lao ili kulifikisha pale klabuni msimbazi.
Bahati mbaya Kiongozi mwenzake alimzidi akili na timu ikapoteza mechi.

Uyu Amiri Bamchawi anaweza kuwa the Greatest of all time in witchcraft based on football pale Msimbazi.

Jamaa ilikua siku inayo cheza Simba na ikatokea mvua imenyesha kabla ya mechi basi mara nyingi Simba ilishinda na yeye ni kama mu asisi wa Simba na mvua.

Kule Angola wakati Simba inakwenda kucheza nusu fainali ya pili ya kombe la CAF/ Abiola cup, mvua ilikua haijawahi kunyesha kwenye eneo lile kwa miaka kadhaa lakini siku ya mechi ya Simba dhidi ya Petro Atletico Aviacao kule Angola mvua kubwa ili mwagika.
Simba ikapata suluhu ya bila goli na kutinga fainali.
Kumbuka mechi ya Awali pale shamba la bibi mechi ili Isha kwa ushindi wa Simba wa goli 3- 1
Alikuwa mfadhili wa Manyema ya Ilala, Ashanti hawawezi kusahau alichowafanyia.
 
Badala ya kujadili timu lenu kuhusu mechi ijayo mnakaza mafuvu kwenye jambo lingine ndo maana mkapigwa 0-3 wiki 3 zote kusherekea goli 5 mkasahau mechi inayokuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mangungu ni Master Mind tu kufuatia u mbumbumbu wa mashabiki na Wana chama mfano kwenye mkutano mkuu wa klab kuletewa Manzoki n.k kwenye ushirikina Simba ni jadi Yao kabla ata Mangungu.
Alikuwepo Mwenyekiti wa Simba marehemu Amir Bamchawi, uyu jamaa kipindi Cha uongozi wake Alifanya ulozi wa kufuru mbaya, Si kumbuki kwa hivi karibuni kama Kuna Kiongozi aliye wahi kufikia au kukaribia uwezo wake wa kichawi/ fitina pale msimbazi.

Uyu jamaa kwenye fainali ya 1993 kabla mpira hauja anza alitangaza njia ambazo watapita na kombe lao ili kulifikisha pale klabuni msimbazi.
Bahati mbaya Kiongozi mwenzake alimzidi akili na timu ikapoteza mechi.

Uyu Amiri Bamchawi anaweza kuwa the Greatest of all time in witchcraft based on football pale Msimbazi.

Jamaa ilikua siku inayo cheza Simba na ikatokea mvua imenyesha kabla ya mechi basi mara nyingi Simba ilishinda na yeye ni kama mu asisi wa Simba na mvua.

Kule Angola wakati Simba inakwenda kucheza nusu fainali ya pili ya kombe la CAF/ Abiola cup, mvua ilikua haijawahi kunyesha kwenye eneo lile kwa miaka kadhaa lakini siku ya mechi ya Simba dhidi ya Petro Atletico Aviacao kule Angola mvua kubwa ili mwagika.
Simba ikapata suluhu ya bila goli na kutinga fainali.
Kumbuka mechi ya Awali pale shamba la bibi mechi ili Isha kwa ushindi wa Simba wa goli 3- 1
Mwenyekiti Amir Ali Bamchawi mwamba kabisa , na alikua akipika Pilau siku ya Mechi za Mnyama...

Huku Jukwaani unamkuta Ali Muchacho..na kidedea Group ,aaarh hatari sana enzi hiyo
 
Hivi nyie timu yenu unabadilisha uwanja wa kuingia, kuloga uwanjani mnaacha kuwajadili viongozi wenu wanaamini uchawi unarukia timu nyingine. Aliyesema huko wenye akili ni wawili hakukosea.
Kupitia mlango mwingine ni kukwepa uchawi wa simba. Uchawi wa simba ni dhahiri kwakuwa walikamatwa kule Afrika Kusini na kuadhibiwa na caf kwa kuwasha moto kiwanjani. Timu zote zinapocheza na Simba zinaogopa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguo kiwanjani, wanaogopa kupita mlango wa kawaida viwanjani, hii sio bure.
 
Mangungu ni Master Mind tu kufuatia u mbumbumbu wa mashabiki na Wana chama mfano kwenye mkutano mkuu wa klab kuletewa Manzoki n.k kwenye ushirikina Simba ni jadi Yao kabla ata Mangungu.
Alikuwepo Mwenyekiti wa Simba marehemu Amir Bamchawi, uyu jamaa kipindi Cha uongozi wake Alifanya ulozi wa kufuru mbaya, Si kumbuki kwa hivi karibuni kama Kuna Kiongozi aliye wahi kufikia au kukaribia uwezo wake wa kichawi/ fitina pale msimbazi.

Uyu jamaa kwenye fainali ya 1993 kabla mpira hauja anza alitangaza njia ambazo watapita na kombe lao ili kulifikisha pale klabuni msimbazi.
Bahati mbaya Kiongozi mwenzake alimzidi akili na timu ikapoteza mechi.

Uyu Amiri Bamchawi anaweza kuwa the Greatest of all time in witchcraft based on football pale Msimbazi.

Jamaa ilikua siku inayo cheza Simba na ikatokea mvua imenyesha kabla ya mechi basi mara nyingi Simba ilishinda na yeye ni kama mu asisi wa Simba na mvua.

Kule Angola wakati Simba inakwenda kucheza nusu fainali ya pili ya kombe la CAF/ Abiola cup, mvua ilikua haijawahi kunyesha kwenye eneo lile kwa miaka kadhaa lakini siku ya mechi ya Simba dhidi ya Petro Atletico Aviacao kule Angola mvua kubwa ili mwagika.
Simba ikapata suluhu ya bila goli na kutinga fainali.
Kumbuka mechi ya Awali pale shamba la bibi mechi ili Isha kwa ushindi wa Simba wa goli 3- 1
Watu wanajitoa ufahamu tu, Simba majuzi kati alienda South Africa dhidi ya Orlanda Pirates na akaenda kuroga uwanjani kabla ya mechi wakati wa warm up, FIFA sijui CAF wakaitwanga faini Simba milioni takribani 20 au 40 kwa kitendo kile.

Simba na mambo ya ulozi huwezi kuvitenganisha toka uwanja ufanyiwe ukarabati, Simba wamekuwa hoi saana.
 
Kupitia mlango mwingine ni kukwepa uchawi wa simba. Uchawi wa simba ni dhahiri kwakuwa walikamatwa kule Afrika Kusini na kuadhibiwa na caf kwa kuwasha moto kiwanjani. Timu zote zinapocheza na Simba zinaogopa hata kuingia vyumba vya kubadilishia nguo kiwanjani, wanaogopa kupita mlango wa kawaida viwanjani, hii sio bure.
inaonekana wewe kama sio mshirikina basi unaamini sana ushirikina.
 
Watu wanajitoa ufahamu tu, Simba majuzi kati alienda South Africa dhidi ya Orlanda Pirates na akaenda kuroga uwanjani kabla ya mechi wakati wa warm up, FIFA sijui CAF wakaitwanga faini Simba milioni takribani 20 au 40 kwa kitendo kile.

Simba na mambo ya ulozi huwezi kuvitenganisha toka uwanja ufanyiwe ukarabati, Simba wamekuwa hoi saana.
Aaaahaaa
 
Basi nikuibie siri unamkumbuka yule sultan Mangungo wa msovera ambaye aliingia mikataba ya ulaghai na wazungu? Basi ni mpwa wake na huyo Sultan Mangungu wa simba AKA Mangungu bay na kichwa chake kile kama parachichi me ananiudhi
 
Watu wanajitoa ufahamu tu, Simba majuzi kati alienda South Africa dhidi ya Orlanda Pirates na akaenda kuroga uwanjani kabla ya mechi wakati wa warm up, FIFA sijui CAF wakaitwanga faini Simba milioni takribani 20 au 40 kwa kitendo kile.

Simba na mambo ya ulozi huwezi kuvitenganisha toka uwanja ufanyiwe ukarabati, Simba wamekuwa hoi saana.
Yaani tangu zamani, ili uwe mwenyekiti na kiongozi wa Simba lazima uwe mchawi au anahusudu uchawi. Hata kaduguda alikiri mwenyewe kuwa ana sifa ya kuroga hadi viwanja nchi nyingine usiku wa manane. Ile kamati ya watu 21 iliyoundwa na mo muda mfupi kabla ya mechi ya simba vs yanga ilikuwa imesheheni walozi au wenye imani ya kilozi, na kwabahati mbaya baada ya mechi ile ile kamati haipo tena.
 
Mwenyekiti Amir Ali Bamchawi mwamba kabisa , na alikua akipika Pilau siku ya Mechi za Mnyama...

Huku Jukwaani unamkuta Ali Muchacho..na kidedea Group ,aaarh hatari sana enzi hiyo
Kuna mechi Amir Bamchawi aliletwa uwanjani siku ya mechi akiwa mgonjwa mahututi ili aroge simba ishinde lakini kabla ya mechi kwisha akadai arudishwe nyumbani kwake kwakua simba haitaweza kurudisha magoli yote iliyofungwa ugenini, na kweli simba haikuyarudisha magoli yote ikatolewa kwenye mashindano yale.
 
Hahahahaha,dah
 
Back
Top Bottom