Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Yupo yanga ana cheo gani?Manara yupo yanga na Kama mlimpokea mkijua ni mwanasimba inaonyesha jinsi gani alikuwa sahihi asilimia 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo yanga ana cheo gani?Manara yupo yanga na Kama mlimpokea mkijua ni mwanasimba inaonyesha jinsi gani alikuwa sahihi asilimia 100
Mlimchukua ni nyie, Sasa hivi yupo kifunfoni na kifungo kakipatia yanga.Yupo yanga ana cheo gani?
Huyu mtamfukuza very soonJadili Bao 3 bila za CRB na ni mbinu zipi Gamondi atumie asiishie Makundi...?
Kumjadili 'Mtu' Mangungu ni kuonyesha kuwa Upo Kwenye Kundi la Watu Wenye Akili ndogo...!
Big brain discuss ideas, issues....!
Sio Mimi hii ni Kanuni..!