kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Dunia nzima bila kujali taifa, dini wala bara inaamini kwenye ushirikina. Ushirikina ndio mtaji mkubwa wa viongozi wa dini duniani. Mafundisho na mahubiri yao yote ni kuhusu shetani, uchawi, husuda, mikosi, freemason, na majini zaidi kuliko Mungu. Uchawi na ushirikina ndio mtaji wao. Jamii zetu zote zinaamini kwenye uchawi na ushirikana; hebu fuatilia miziki, maigizo, filamu, ngoma na maisha ya watu duniani yote yanazunguukwa na uchawina ushirikina.inaonekana wewe kama sio mshirikina basi unaamini sana ushirikina.
Siku imani ya uchawi, ushirikina na majini ikiisha kwenye vichwa vya watu utakuwa ndio mwisho wa dini zetu zote.