IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Badala ya ku embrace Technological innovations Mna kazania mazingaombwe, li nchi limelaaniwa hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujanja ndo huu unapata connection kubwa za kimaisha baada ya s
Huna lolote.Connection hata Nyerere alipataUjanja ndo huu unapata connection kubwa za kimaisha baada ya shu
Tunawajua nyie ni nyumbu.Mnatafuta tu mlango wa kutolea nyongo.Badala ya ku embrace Technological innovations Mna kazania mazingaombwe, li nchi limelaaniwa hili.
Haujui kuwa your network is ur net worth.Huna lolote.Connection hata Nyerere alipata
Uko sahihi kwa sasa kwa sababu tayari tumeshakuwa na matabaka makubwa matatu ya kijamii(masikini, kipato cha kati na matajiri sana), ila zamani wote walikuwa wanachanganyika katika shule za umma tofauti na sasa, kwa sasa mtoto akisoma shule ya umma uwezekano mkubwa ni kuishia kuwa na circle/network ya masikini na wapiga kura tu.Haujui kuwa your network is ur net worth.
Kuna faida kubwa mtoto Kusoma shule bora Kama IST n.k
Tupo nyuma ya waksti tu.Mjomba wangu alikuwa anacheza kamari sana Las Vegas U.S. miaka ya tisini.Sisi huku leo kamari ndiyo inatuzuzua?Kwa sasa,jamii imehamia kwenye KAMARI.
Vituo vyote vya habari,matangazo yao yote na pia wanachezesha kamari.
Maisha yamebadirika.
Elimu Bora Kwa Sasa inapatikana Private sector.
Ila kule,mwalimu ananguvu ya kukwambia mzazi,au mlezi ama Mwanafunzi nwenyew kiwa:
Mtoto aelewe asielewe shauli yake,madamu Bank inasoma mwisho wa mwezi.
Walimu walikuja kupata ufahamu maana walikuwa gizani. Mazingaumbwe ni nguvu za giza kwa hiyo watoto walikuwa wanaingiziwa roho za kishetani.Wakati nasoma shule ya msingi kulikuwa na watu mbalimbali wanakuja shuleni kufanya maonyesho ya mazingaombwe, yale maonyesho yalikuwa na buradani ya aina yake, wanafunzi wengi walikuwa wanalipia pesa ya kiingilio cha kuingia kutazama na wanafanya juu chini kupata siti za mbele katika ukumbi mdogo wa shule uliokuwepo.
Miaka mili ya kumalizia shule ya msingi haya maonyesho ya mazingaombwe yalikuja kupotea kabisa na siku hizi sidhani kama bado yapo kokote nchini, sijui kitu gani kilitokea kikaipoteza hii burudani.
Na hii jf kilivyoingia tu kizazi cha kubebwa na mabasi ndio ikavurugika na mada | hoja za ajabu ajabu.shule za serikali watoto huwa mnaenda kukua na sio Kusoma na kuelimika .
Hayo mambo sikuwahi kuyaona shuleni kwetu
Kweli 100%Uko sahihi kwa sasa kwa sababu tayari tumeshakuwa na matabaka makubwa matatu ya kijamii(masikini, kipato cha kati na matajiri sana), ila zamani wote walikuwa wanachanganyika katika shule za umma tofauti na sasa, kwa sasa mtoto akisoma shule ya umma uwezekano mkubwa ni kuishia kuwa na circle/network ya masikini na wapiga kura tu.
Tatizo maisha ya waliowengi,wamegeuza kamari kama chanzo Cha mapato.Tupo nyuma ya waksti tu.Mjomba wangu alikuwa anacheza kamari sana Las Vegas U.S. miaka ya tisini.Sisi huku leo kamari ndiyo inatuzuzua?
Miaka ya 2000s hasa baada ya kuanzishwa shule za kata na shule za private kuongezeka ndio utengano mkubwa wa kimatabaka ulipoanza kutokea.Kweli 100%
Miaka ya zamani shule za umma zilikuwa na tija Sana na kulikuwa hamna matabaka.
Ila bado kitu ninachojifunza watoto wengi au vijana wengi waliosoma shule za umma kuanzia 2000s wapo na circle ya watu maskini.
NILISHUHUDIA BASKELI IKIENDESHWA JUU YA BATI..Wakati nasoma shule ya msingi kulikuwa na watu mbalimbali wanakuja shuleni kufanya maonyesho ya mazingaombwe, yale maonyesho yalikuwa na buradani ya aina yake, wanafunzi wengi walikuwa wanalipia pesa ya kiingilio cha kuingia kutazama na wanafanya juu chini kupata siti za mbele katika ukumbi mdogo wa shule uliokuwepo.
Miaka mili ya kumalizia shule ya msingi haya maonyesho ya mazingaombwe yalikuja kupotea kabisa na siku hizi sidhani kama bado yapo kokote nchini, sijui kitu gani kilitokea kikaipoteza hii burudani.
Sio kweli , JF mada nyingi ambazo hazina tija huwa zinaanzishwa na watu wazimaNa hii jf kilivyoingia tu kizazi cha kubebwa na mabasi ndio ikavurugika na mada | hoja za ajabu ajabu.
Tunapaswa kuwaandaa vijana watumie akili na maarifa kuishi na siyo ujanjaujanja au utapeli.Tatizo maisha ya waliowengi,wamegeuza kamari kama chanzo Cha mapato.
Kamari iliyotamalaki kwetu,sio rafiki mkuu.
Ilikuwa burudani sana mkuu, kuna ile ya njiwa au sungura nayo anatolewa kwenye box tupu.NILISHUHUDIA BASKELI IKIENDESHWA JUU YA BATI..
NILISHUHUDIA MTU ANAGEUZWA MWANAMKE
NILISHUHUDIA MTU ANAPOTEZWA VIUNGO VYA UZAZI
NILISHUHUDIA MTU ANACHOMWA KISU CHA TUMBO
NILISHUHUDIA MTU HAMALIZI VITUMBUA VITANO
NILISHUHUDIA MAKARATASI YANAGEUZWA PESAA
NILI SHUHUDIA PIPI ZINATOKEA FROM NOWHERE GAZETI LINA KUNJWA NA LINATOA PESA.
Ni mtazamo wako.Serikali haina matabaka.Nenda Mzumbe,UDSM kama hutakuta watoto waliotika hizo shule za serikali mfano za kata na wamefaulu vizuri na kuwa admitted kwenye faculties nzuri tu na wakimaliza wanakuwa recruited sehemu mbalimbali.Tunao maofisini na wengine wamejiajiri wanapata kipati kizuri.Hayo mambo ya connection ni tamaa tu na fikra za kimasikiniUko sahihi kwa sasa kwa sababu tayari tumeshakuwa na matabaka makubwa matatu ya kijamii(masikini, kipato cha kati na matajiri sana), ila zamani wote walikuwa wanachanganyika katika shule za umma tofauti na sasa, kwa sasa mtoto akisoma shule ya umma uwezekano mkubwa ni kuishia kuwa na circle/network ya masikini na wapiga kura tu.
Watoto wa afumbili hamuwezi kuelewaMazingaombwe yanayofanywa na Watanzania?