Siku hizi vijàna wà Mwamposa wako kila màhali wàkiingia na mafuta ya upako mwànamazingaombwe anakimbia, hii niliiona morogoro pale masika stand ya zamani jamaa alitaka kufanya mazingaombwe akaja mzee na upako akamwaga mfanya mazingaombwe akajitia kimtisha halafu àkala kona.
Hii niliona kweli maana mwana mazingaombwe alikuwa kakusanya watu anafanya viini macho watu wakaanza kununua zile sijui dawa ndo mzee wa upako akatokea kila kitu kikaharibika.
Nilishangaa sana kumbe zile roho ni kinzani sana.
Cc
Mshana Jr