Kwa sababu hakuna vyuo vya binafsi vizuri zaidi ya vyuo serikali nchini na sehemu nyingi duniani vyuo bora ni vya umma, hata hivyo matajiri wengi sasa hivi wanapeleka watoto wao kusoma vyuo vya nje. Pia graduates wengi wasio na ajira/kazi ni wa masikini.Ni mtazamo wako.Serikali haina matabaka.Nenda Mzumbe,UDSM kama hutakuta watoto waliotika hizo shule za serikali mfano za kata na wamefaulu vizuri na kuwa admitted kwenye faculties nzuri tu na wakimaliza wanakuwa recruited sehemu mbalimbali.Tunao maofisini na wengine wamejiajiri wanapata kipati kizuri.Hayo mambo ya connection ni tamaa tu na fikra za kimasikini
Nakazia.Tunapaswa kuwaandaa vijana watumie akili na maarifa kuishi na siyo ujanjaujanja au utapeli.
Napenga alitudhihirishia hadharani.Siku hizi hayo mazingaombwe yamehamishiwa kwenye siasa! Na hasa wakati wa kumtangaza mshindi.
Mazingaombwe, Mazingara, UchawiTangu kipindi hiko cha shule kwa miaka mingi sana mkuu sijawahi kukutana na mazingaombwe tena popote iwe sokoni au stendi.
Comrade, Mazingaombwe ni saikolojia na akili tu. Hakuna cha mazingara, wala uchawi.Mazingaombwe, Mazingara, Uchawi
Stupid nimetoka huko Sasa ni mhadhili wa chuo kikuushule za serikali watoto huwa mnaenda kukua na sio Kusoma na kuelimika .
Hayo mambo sikuwahi kuyaona shuleni kwetu
Stupid nimetoka huko Sasa ni mhadhili wa chuo kikuu
Inawezekana maana sina ujuzi katka hili eneo nikakubishia. Ni mweupeComrade, Mazingaombwe ni saikolojia na akili tu. Hakuna cha mazingara, wala uchawi.
Mbona hiyo ni rahisi sana.Mwana mazingaombwe hadi nimkubali nampa sharti ajimeze kwanza
DuuhMbona hiyo ni rahisi sana.
Bado haujaktana na "mazingambwa" wewe!How can you trick a trickster ? Leo hii kila kitu kipo wide open ukileta mazingaombwe ya ajabu ajabu madogo wameshaangalia Youtube n.k. na wanajua ni nini unafanya na utafanya hata kabla haujafanya...
Hivyo unless ufanye bure unaweza kujikuta unafanyia / onyesha darasa tupu na watazamaji ni Kuta.....
Safi sana.Ila,ungewakumbusha wakufundishe namna bora ya uandishi na kanuni zake Ms.Akilimingi!nilikuwaga kajinga sana enzi hizo nyumbani nilikuwa napewa hela halafu nakula vitumbua na silipii sababu nilikuwa nayaogopa. pili kuna baadhi ya walimu walikuwa wananipenda sababu kipindi hicho nilikuwa na akili sana hivyo wananiingiza bure kwa woga wangu naruka kupitia dirishani au najificha nyumba nilikuwa nayaogpa sana
sijasema nina akili nyingi nimesema kipindi kile shule ya msingi kati ya top 5 usingenikosa. ni kwa kipindi kile sio sasa elewa nilichomaanisha mpenziSafi sana.Ila,ungewakumbusha wakufundishe namna bora ya uandishi na kanuni zake Ms.Akilimingi!
UongooWalimu walikuja kupata ufahamu maana walikuwa gizani. Mazingaumbwe ni nguvu za giza kwa hiyo watoto walikuwa wanaingiziwa roho za kishetani.