Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

Kwa yale maisha yao ya Seminarini, ni ngumu sana kuwa na tabia ya kupiga kelele hovyo au kushinda kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Elimu inawasaidia sana wale jamaa. Sio kama sisi makanjanja tu ataka kutumia sehwmu ya ulaji na kuneemesha matumbo yetu. Lazima utakua muongeaji tu kulainisha mambo
 
Wadau hamjamboni nyote?

Sababu ninini? Elimu? Makuzi? Desturi? Mazoea?
Kwanini wengineo japo baadhi wapo tofauti? Tunabishana nao mitaa, tunagombana nao barabarani?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Kanisa moja takatifu la Mitume
Wewe unafikiria nini,ili utusaidie kukupa majibu sahihi?
 
Back
Top Bottom