Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

Kwanini Mapadre wakimya, wastaarabu, wanyenyekevu na wenye subira? Kwanini huwezi kuta wanaropoka au kubishana hovyo vijiweni au vichochoroni?

Mapadre wamekwenda shule ki uhakika. Wale hawanaga mitihani iliyovuja, kwa wana Elimu halali ndo maana ni wastaarabu na wanyenyekevu.
 
Hayo ndo matokeo ya Filosofia, huwezi piga kelele kila wakati ni tafakuri
 
Back
Top Bottom