Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

Hakuna kuogopa kinachotokea ni kuwa hao mnaowaona wakianguka na kupiga kelele hawakuwagi na mapemo wala majini bali ni watu waovu, wanafanya uovu wao wenyewe kwahiyo yale mafundisho yanagusa sana roho zao na kujisikia vibaya kiasi cha kuangua vilio na kupiga mayowe

Ndiyo maana kuna idadi kubwa ya watu walioarhirika na adhabu za majini lakini pamoja na kuombewa imeshindikana kupona kabisa
Watu wenyewe wana matatizo ,nilikuwa naona hayo mapepo yanafunguka siku ya kipind cha dini nikiwa O level ...Siku nyingine hauwezi kuyasikia 😀😀😀 wakiona walimu wa dini wamefika wanaanza klele..Kingine 100% ya wahanga ni wanawake tu.
 
Sababu Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu.

Na jina YESU/ Yeshua ni jina la Mungu.

Mungu ni mmoja tu.
 
Dhahania tuliyoibeba sisi watu weusi mambo ya ovyoovyo sana yanatufanya tufikirie maisha au Dunia Ina watu wabaya sijui mapepo sijui majini
Mtu anafika kanisan na mihemuko yake nakuanza kupiga kelele kujirusha rusha ovyo hisia tu hakuna kitu
Huwa tuna kasumba ya kuzipa kipaumbele habari za kusadika kuliko ukweli wa mambo
 
Watu wenyewe wana matatizo ,nilikuwa naona hayo mapepo yanafunguka siku ya kipind cha dini nikiwa O level ...Siku nyingine hauwezi kuyasikia 😀😀😀 wakiona walimu wa dini wamefika wanaanza klele..Kingine 100% ya wahanga ni wanawake tu.
Majini,mapepo mara vibwengo hizi hadithi miaka ya 90 zilitaradadi mno ,mara kuna jini mwanamke nimekutana nae yani wabongo kwa kuzusha kitu hatujambo. Cha kushangaza humu hakuna aliewahi kukutana na jini 😆
 
Mkuu hii dunia ina viumbe wengi sana usidhani upo peke yako. Kama ambavyo huwezi kuwaona bacteria na wadudu wengine wadogo basi jua pia kuna viumbe wengine pia ambao huwezi kuwaona. Gesi huioni lakini unawasha jiko linawaka.
Usitoe chakula cha watoto na kuwapa mbwa au nguruwe.

Kila mtu anavuna anachopanda
 
Tunapenda miujiza na ni miujiza ya uongo hta hakuna kitu kama icho Tena miujiza inayotendwa na binadam aliyezaliwa kama mim
Nonsense
Kuwasimamisha watu mda mrefu mikono juu waite yesu yesu yesu tu , na kuwateka kihisia kwa maneno na vitisho ,then kufanya ishara wadondoke wale dhaifu hiyo hata mimi naweza , nashangaa hizi trik za kijinga watu wana amini eti
 
Dhahania tuliyoibeba sisi watu weusi mambo ya ovyoovyo sana yanatufanya tufikirie maisha au Dunia Ina watu wabaya sijui mapepo sijui majini
Mtu anafika kanisan na mihemuko yake nakuanza kupiga kelele kujirusha rusha ovyo hisia tu hakuna kitu
Trueee
Emotions, hisid.

Seconded
 
Kuwasimamisha watu mda mrefu mikono juu waite yesu yesu yesu tu , na kuwateka kihisia kwa maneno na vitisho ,then kufanya ishara wadondoke wale dhaifu hiyo hata mimi naweza , nashangaa hizi trik za kijinga watu wana amini eti
Maji na mafuta ya upako nikitaka kucheka iyo siku nafungulia hizo chanel nisikilize shuhuda za watu😄😂😄😂 wachungaj wanatafuta hela nyinyi khaa
 
Mkuu hii dunia ina viumbe wengi sana usidhani upo peke yako. Kama ambavyo huwezi kuwaona bacteria na wadudu wengine wadogo basi jua pia kuna viumbe wengine pia ambao huwezi kuwaona. Gesi huioni lakini unawasha jiko linawaka.
Nilikwelewa vizuri sana, kwanini nimesema haya nikwasababu kuna idadi kubwa sana ya watu waliokosana na Majini mpaka leo wanateseka sana na maombi na visomo walivyofanyiwa havijavua dafu. Idadi yao ni kubwa sana tunao mitaani

Yupo mzee mmoja ameoza mwili mzima baada ya kuombewa sana akasema ukweli kuwa ana masharti na Jini lakini ameharibu yeye, wakapambana mpaka leo hawajavua dafu

Ameshaoza sana amebakia mifupa, omba sana usiadhibiwe na hawa kwasababu utahangaika dunia nzima majibu hayajapatikana

Ukiona mtu anakwambia alikua na pepo likatoka huyo hakuwa na pepo kweli labda ni mizimu
 
Usitoe chakula cha watoto na kuwapa mbwa au nguruwe.

Kila mtu anavuna anachopanda
Maneno ya defense haya, imani ina swaga nyingi za kujilinda, hilo neno linakinzana na lile kwamba "hakuja Kuwaita wanaojiona wana haki , bali wenye dhambi wapate kutubu"
 
Maji na mafuta ya upako nikitaka kucheka iyo siku nafungulia hizo chanel nisikilize shuhuda za watu😄😂😄😂 wachungaj wanatafuta hela nyinyi khaa
Nikikumbuka kikombe cha babu wa loliondo huwa naishia kusema yule babu alikua na akili mingi sana
 
Nilikwelewa vizuri sana, kwanini nimesema haya nikwasababu kuna idadi kubwa sana ya watu waliokosana na Majini mpaka leo wanateseka sana na maombi na visomo walivyofanyiwa havijavua dafu. Idadi yao ni kubwa sana tunao mitaani

Yupo mzee mmoja ameoza mwili mzima baada ya kuombewa sana akasema ukweli kuwa ana masharti na Jini lakini ameharibu yeye, wakapambana mpaka leo hawajavua dafu

Ameshaoza sana amebakia mifupa, omba sana usiadhibiwe na hawa kwasababu utahangaika dunia nzima majibu hayajapatikana

Ukiona mtu anakwambia alikua na pepo likatoka huyo hakuwa na pepo kweli labda ni mizimu
Huyo mzee ameokoka yaani amempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake?
 
Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote

"Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41

Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza. Mapepo na maroho mabaya hutafuta kuharibu maisha ya watu, lakini tunayo habari njema Yesu Kristo ndiye Mbabe wa mapepo na maroho yote mabaya.

Yesu Kristo si wa kawaida. Alikuwepo kabla ya mwanzo wa dunia, akiishi pamoja na Mungu Baba Mbinguni. Mapepo yanamjua tangu enzi hizo, na yanatetemeka mbele yake kwa sababu ya mamlaka aliyo nayo. Katika huduma yake duniani, Yesu alikutana na watu walioteswa na mapepo, lakini kwa neno moja tu, aliwatoa huru.

Katika Marko 5, "Yesu alikabiliana na mtu aliyekuwa na jeshi la mapepo. Walimtambua na kumwomba asiwaangamize. Hili linaonesha wazi kuwa Yesu ana mamlaka kuu juu ya kila roho chafu".

Umejuaje wanamuogopa? Au wanaogopana? Unaprove vipi?
 
Tuyakusanye tuyahoji
 
M
Watu wenyewe wana matatizo ,nilikuwa naona hayo mapepo yanafunguka siku ya kipind cha dini nikiwa O level ...Siku nyingine hauwezi kuyasikia 😀😀😀 wakiona walimu wa dini wamefika wanaanza klele..Kingine 100% ya wahanga ni wanawake tu.
Mwenzako nimeshuhudia live nikiwa nasomo Ifunda Tech. Nilishudia kijana anachapwa viboko na mtu asiye onekana bila huruma kwasababu tu kafaulu shule ya ufundi.
 
M
Mwenzako nimeshuhudia live nikiwa nasomo Ifunda Tech. Nilishudia kijana anachapwa viboko na mtu asiye onekana bila huruma kwasababu tu kafauru shule ya ufundi.
"bila huruma " unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom