Watu wenyewe wana matatizo ,nilikuwa naona hayo mapepo yanafunguka siku ya kipind cha dini nikiwa O level ...Siku nyingine hauwezi kuyasikia πππ wakiona walimu wa dini wamefika wanaanza klele..Kingine 100% ya wahanga ni wanawake tu.Hakuna kuogopa kinachotokea ni kuwa hao mnaowaona wakianguka na kupiga kelele hawakuwagi na mapemo wala majini bali ni watu waovu, wanafanya uovu wao wenyewe kwahiyo yale mafundisho yanagusa sana roho zao na kujisikia vibaya kiasi cha kuangua vilio na kupiga mayowe
Ndiyo maana kuna idadi kubwa ya watu walioarhirika na adhabu za majini lakini pamoja na kuombewa imeshindikana kupona kabisa
Huwa tuna kasumba ya kuzipa kipaumbele habari za kusadika kuliko ukweli wa mamboDhahania tuliyoibeba sisi watu weusi mambo ya ovyoovyo sana yanatufanya tufikirie maisha au Dunia Ina watu wabaya sijui mapepo sijui majini
Mtu anafika kanisan na mihemuko yake nakuanza kupiga kelele kujirusha rusha ovyo hisia tu hakuna kitu
Watu mahututi hawana imani?Unaponywa kwa Imani. Hata uombewe na watu wote duniani kama huna imani ni kazi bure.
Faith is the connectimg link between you and what you want to be, have and do.
Tunapenda miujiza na ni miujiza ya uongo hta hakuna kitu kama icho Tena miujiza inayotendwa na binadam aliyezaliwa kama mimHuwa tuna kasumba ya kuzipa kipaumbele habari za kusadika kuliko ukweli wa mambo
Majini,mapepo mara vibwengo hizi hadithi miaka ya 90 zilitaradadi mno ,mara kuna jini mwanamke nimekutana nae yani wabongo kwa kuzusha kitu hatujambo. Cha kushangaza humu hakuna aliewahi kukutana na jini πWatu wenyewe wana matatizo ,nilikuwa naona hayo mapepo yanafunguka siku ya kipind cha dini nikiwa O level ...Siku nyingine hauwezi kuyasikia πππ wakiona walimu wa dini wamefika wanaanza klele..Kingine 100% ya wahanga ni wanawake tu.
Usitoe chakula cha watoto na kuwapa mbwa au nguruwe.Mkuu hii dunia ina viumbe wengi sana usidhani upo peke yako. Kama ambavyo huwezi kuwaona bacteria na wadudu wengine wadogo basi jua pia kuna viumbe wengine pia ambao huwezi kuwaona. Gesi huioni lakini unawasha jiko linawaka.
Kuwasimamisha watu mda mrefu mikono juu waite yesu yesu yesu tu , na kuwateka kihisia kwa maneno na vitisho ,then kufanya ishara wadondoke wale dhaifu hiyo hata mimi naweza , nashangaa hizi trik za kijinga watu wana amini etiTunapenda miujiza na ni miujiza ya uongo hta hakuna kitu kama icho Tena miujiza inayotendwa na binadam aliyezaliwa kama mim
Nonsense
TrueeeDhahania tuliyoibeba sisi watu weusi mambo ya ovyoovyo sana yanatufanya tufikirie maisha au Dunia Ina watu wabaya sijui mapepo sijui majini
Mtu anafika kanisan na mihemuko yake nakuanza kupiga kelele kujirusha rusha ovyo hisia tu hakuna kitu
Maji na mafuta ya upako nikitaka kucheka iyo siku nafungulia hizo chanel nisikilize shuhuda za watuππππ wachungaj wanatafuta hela nyinyi khaaKuwasimamisha watu mda mrefu mikono juu waite yesu yesu yesu tu , na kuwateka kihisia kwa maneno na vitisho ,then kufanya ishara wadondoke wale dhaifu hiyo hata mimi naweza , nashangaa hizi trik za kijinga watu wana amini eti
Nilikwelewa vizuri sana, kwanini nimesema haya nikwasababu kuna idadi kubwa sana ya watu waliokosana na Majini mpaka leo wanateseka sana na maombi na visomo walivyofanyiwa havijavua dafu. Idadi yao ni kubwa sana tunao mitaaniMkuu hii dunia ina viumbe wengi sana usidhani upo peke yako. Kama ambavyo huwezi kuwaona bacteria na wadudu wengine wadogo basi jua pia kuna viumbe wengine pia ambao huwezi kuwaona. Gesi huioni lakini unawasha jiko linawaka.
Maneno ya defense haya, imani ina swaga nyingi za kujilinda, hilo neno linakinzana na lile kwamba "hakuja Kuwaita wanaojiona wana haki , bali wenye dhambi wapate kutubu"Usitoe chakula cha watoto na kuwapa mbwa au nguruwe.
Kila mtu anavuna anachopanda
Nikikumbuka kikombe cha babu wa loliondo huwa naishia kusema yule babu alikua na akili mingi sanaMaji na mafuta ya upako nikitaka kucheka iyo siku nafungulia hizo chanel nisikilize shuhuda za watuππππ wachungaj wanatafuta hela nyinyi khaa
Ndo maana nikasema watanzania tunapenda miujizaNikikumbuka kikombe cha babu wa loliondo huwa naishia kusema yule babu alikua na akili mingi sana
Huyo mzee ameokoka yaani amempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake?Nilikwelewa vizuri sana, kwanini nimesema haya nikwasababu kuna idadi kubwa sana ya watu waliokosana na Majini mpaka leo wanateseka sana na maombi na visomo walivyofanyiwa havijavua dafu. Idadi yao ni kubwa sana tunao mitaani
Yupo mzee mmoja ameoza mwili mzima baada ya kuombewa sana akasema ukweli kuwa ana masharti na Jini lakini ameharibu yeye, wakapambana mpaka leo hawajavua dafu
Ameshaoza sana amebakia mifupa, omba sana usiadhibiwe na hawa kwasababu utahangaika dunia nzima majibu hayajapatikana
Ukiona mtu anakwambia alikua na pepo likatoka huyo hakuwa na pepo kweli labda ni mizimu
Kwani biblia ilianza kuja Afrika kwanza au ilianza kwa wazungu? Maana biblia ndio imetoa siri za mapepo.Trueee
Emotions, hisid.
Seconded
Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote
"Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41
Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza. Mapepo na maroho mabaya hutafuta kuharibu maisha ya watu, lakini tunayo habari njema Yesu Kristo ndiye Mbabe wa mapepo na maroho yote mabaya.
Yesu Kristo si wa kawaida. Alikuwepo kabla ya mwanzo wa dunia, akiishi pamoja na Mungu Baba Mbinguni. Mapepo yanamjua tangu enzi hizo, na yanatetemeka mbele yake kwa sababu ya mamlaka aliyo nayo. Katika huduma yake duniani, Yesu alikutana na watu walioteswa na mapepo, lakini kwa neno moja tu, aliwatoa huru.
Katika Marko 5, "Yesu alikabiliana na mtu aliyekuwa na jeshi la mapepo. Walimtambua na kumwomba asiwaangamize. Hili linaonesha wazi kuwa Yesu ana mamlaka kuu juu ya kila roho chafu".
Tuyakusanye tuyahojiYesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote
"Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41
Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza. Mapepo na maroho mabaya hutafuta kuharibu maisha ya watu, lakini tunayo habari njema Yesu Kristo ndiye Mbabe wa mapepo na maroho yote mabaya.
Yesu Kristo si wa kawaida. Alikuwepo kabla ya mwanzo wa dunia, akiishi pamoja na Mungu Baba Mbinguni. Mapepo yanamjua tangu enzi hizo, na yanatetemeka mbele yake kwa sababu ya mamlaka aliyo nayo. Katika huduma yake duniani, Yesu alikutana na watu walioteswa na mapepo, lakini kwa neno moja tu, aliwatoa huru.
Katika Marko 5, "Yesu alikabiliana na mtu aliyekuwa na jeshi la mapepo. Walimtambua na kumwomba asiwaangamize. Hili linaonesha wazi kuwa Yesu ana mamlaka kuu juu ya kila roho chafu".
Mwenzako nimeshuhudia live nikiwa nasomo Ifunda Tech. Nilishudia kijana anachapwa viboko na mtu asiye onekana bila huruma kwasababu tu kafaulu shule ya ufundi.Watu wenyewe wana matatizo ,nilikuwa naona hayo mapepo yanafunguka siku ya kipind cha dini nikiwa O level ...Siku nyingine hauwezi kuyasikia πππ wakiona walimu wa dini wamefika wanaanza klele..Kingine 100% ya wahanga ni wanawake tu.
"bila huruma " unamaanisha nini?M
Mwenzako nimeshuhudia live nikiwa nasomo Ifunda Tech. Nilishudia kijana anachapwa viboko na mtu asiye onekana bila huruma kwasababu tu kafauru shule ya ufundi.