Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

Huyu bwana na matata kweli kweli. Kaandika kitabu kizuri sana kinaitwa THE LIFE AND TIMES OF ABDULWAHEED SYKES, THE MUSLIM STRUGGLE FOR THE INDEPENDENCE OF TANGANYIKA. Kila mwenye nia ya kujua historia sahihi ya Nji hii ni lazima akisome kitabu hiki kinauzwa pale TPH. Angalizo ni kwamba baada ya miaka mitatu mine hivi - WHEN HE GOT CIVILISED - akaandika tafsiri ya Kiswahili, maudhui yakawa tafauti kabisa. Sasa kikawa ni cha Mwislamu siasa kali, kila kitu kosa la Nyerere, kila kitu dola Kristo. Kitu kingine kidoogo ni Ukabila. Huyu bwana ni Mmanyema kwa hiyo katika tafsiri ya Kuswahili hata Wazanzibari wakawa Wazanzibara, yaani kumbe Waislamu sasa kukawa na Waislamu Wamanyema na Waislamu baki. He is a learned fellow, no doubt about that, kashoma IFM ambayo kwa maoni yangu ni bora kuliko Harvard. Sasa mirejee hili la Zanzibar. Kwenye kitabu cha Abdulwaheed alimsifu Rais Karume kwa ushipavu wake na uzalendo wake - kuna Waislam siasa kali wakiitwa AMNUT walimwendea kumuomba msaada dhidi ya Nyerere akawafukuzilia mbali kwamba Nyerere hawezi kugombana na Waislam. Kwa hiyo hii dhana ya mapinduzi MATUKUFU iko kwenye Kitabu orijino ila kwenye translation feki kaingiza siasa kali hizo za kibaguzi nilizosema. Sasa tusubiri atatoa wapi jibu kama ni orijino au feki.
Umebambwa unadanganya hata jina la kitabu.
 
Back
Top Bottom