Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?



Vipi ukigundua nae ni mwanasesere Kama wengine tu?


“Mtumwa hakosi alama.
 

[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]


Huu ni Uwongo.
 
Mburushi wa Iran huyo. Sema waarabu wa Igunga, Bukene, ukenyenge wanakijua kisukuma na walishaassimilate. Sema ni ili malengo yao ya kibiashara yatimie.
Ngosha huyu....Kuna miaka tulikula sana hela zake huyu jamaa....hana baya.
 
Kwenye kupiga mziki wa viwango huwa kuna DJ, disk, mixer na speaker. Hiyo mixer ndio huyo Rostam sasa na speaker ni Saa100. Ili speaker ipige mziki anaoutaka DJ lazima mixer ifanye kazi yake vyema.
 
Rostam ni mfanyabiashara mkubwa hivyo kufuatana na Rais ni moja ya fursa
 
Rostam Aziz mutu ya deal fursa kubwa kubwa, huulizwa maswali yanayofungua milango migumu ya baadhi ya nchi zenye kulinda sana wafanyabishara wa kiTanzania wasipewe leseni, lakini Rostam Aziz atasema hiyo siyo sawa Tanzania milango ipo wazi lakini yenu hamtaki kuwafungulia wafanyabiashara wa kutoka Tanzania .... kama katika msafara huu mmoja atupa swali gumu kwa watendaji wa nchi moja ya nje


View: https://m.youtube.com/watch?v=FR-ewkpb0HE
 
Aseme tu kua alinunua amani na Magufuli kwa kumrudisha Lowassa CCM ili Magufuli abariki mradi wa Taifa Gas na kumpa uhuru wa miradi yake Rostam.

Rostam akamrudisha Lowassa,akawapa CCM Channel Ten na Magic FM kama nyongeza
Sii kwambaa Rostam alirudi Tz baada ya ile kesi uchwara ya mdogo wake ya ujangili!?
 
Watu nje ya serikali kama kina Rostam, John Ulanga n.k huwa ni lulu katika kuelezea mafanikio fursa na mazingira ya uwekezaji kuliko mangi-meza maofisa wa juu wa serikali warasimu

Mfano Mr. John Ulanga, alipokuwa CEO of Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) akitoa muhadhara


View: https://m.youtube.com/watch?v=AcmZIsqnFsU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…